Sema choo kikiwa safi??.jibu hakuna huko duniani choon hakuwekwi ndRa pl tafiti zinaonyesha vyoo vyenye kusafishwa kikamilf ni salama hata kula kuliko kitanda au Viti vya kukalia seblen au viti vya gari ushaona mtu amekaa kwenye kiti aungar mapaja waz au hajavaa mikwapa waz anapaka majasho kwenye viti hapo ndio mfano na hayo tunaona waz hata hapa kwetuTafadhali husika na iyo mada leo nimeenda kumtembelea ndugu yangu katika maongezi alinambia wao chooni kwao yeye na mumewe hawavai viatu kabla sijamshauri nakuja kwenu munipe na mm ushauri je hili ni sawa?
Mhm hapana unatumia maji ya kitawazioChoo kinakuwaje kikavu mkuu?
Au ndo vile wanatumia majani kuchamba? 😁
Labda vyoo vinatofautiana ama mtu anajisaidia pembeniKuna mamilioni ya bakteria kwenye "kimba" na mkojo wa binadamu.
kwenye kila jambo lazima uweke pombe...😂Mimi natumia choo changu peke yangu , nikilewa naingia bila viatu bila shida yoyote nafanya yangu , nikizidiwa na pombe nalala chini nafungulia maji yanimwagikie tu🤔
Ni mlipa kodi mzuri ndio maanakwenye kila jambo lazima uweke pombe...😂
Kaka kakaa au nidanganyee tu basi tufanye hapa nakunywa azam embe tu 😊kwenye kila jambo lazima uweke pombe...😂
Hahahaha😂😂😂Kaka kakaa au nidanganyee tu basi tufanye hapa nakunywa azam embe tu 😊
embe kabisa sema unakunywa maziwa tuKaka kakaa au nidanganyee tu basi tufanye hapa nakunywa azam embe tu 😊
Natafuta mshangazi nikate hii pombe na maziwa ya binadamu bwasheeembe kabisa sema unakunywa maziwa tu
Mimi natumia choo changu peke yangu , nikilewa naingia bila viatu bila shida yoyote nafanya yangu , nikizidiwa na pombe nalala chini nafungulia maji yanimwagikie tu
una dhambi nyingi sana!.Natafuta mshangazi nikate hii pombe na maziwa ya binadamu bwashee
Sio kweli kiongoziuna dhambi nyingi sana!.
sawaSio kweli kiongozi
Kaka pombe inasema ukweli , mimi unafki sipendi kabisa, mwanzoni nikiwa humu nilikua mnafki now nimeishinda hiyo tabiasawa
Hiki hata gambe unapiga bila shida