Je kuna shida gani kiafya kuingia chooni bila viatu ata kama choo anatumia mke na mume

Haina shida kiafya ila kuvaa viatu ni kustaaribika na kuwa na maturity nakumbuka kipind nipo kinda ilikuwa kuvaa ndala ni vita mwendo wa kupekua(kutembea pekupeku) kila siku napoteza ndala lakini sahivi hunitoi nje hata hatua 10 bila malapa.
Enzi zangu walikua wanasema nina viwembe mguuni, nilikua nakata ndala balaa.
Zilipoingia yeboyebo ndio ikawa pona yangu.
 
uje utuwekee lipicha mjongeo la private halafu utuambie kumradhi!, tutamtafuta radhi tu kwasababu kum tunamjua!..😂
Mimi nafahamika kama mlevi humu hata nikiweka watu watajua ni utani wangu wa pombe tu🤣🤣
 
tunakutegemea sana kwenye swala zima lakutuchangamsha!, hivyo usiicheleweshe hiyo burudani mujarabu!.
Hahahaha sio kweli bro haitokaa itokee 🤣 mimi sio Fala kihivyo japo sikatai naweza jisahau nikaposti utumbo ila sio video wala picha inayonihusu mimi bwashee hilo sahau, mnajisahau sana mimi kuwa ni Jack sparrow 🤔
 
Wanaanzaga hivihivi na majina majina baadae linabadilika linakuwa jack makoneksheni...🤣
 
Wanaanzaga hivihivi na majina majina baadae linabadilika linakuwa jack makoneksheni...🤣
Mimi ni Jack sparrow bwashee , nikiwa high school washkaji walivuta bangi na kula viroba kama mimi baada ya matokeo ya mwisho wakaniita snitch 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…