Daktari W Sindabhalla
JF-Expert Member
- Jan 29, 2017
- 600
- 580
- Thread starter
-
- #121
Okay?Mk 16:16 SUV
Aaminiye na kubatizwa ataokoka; asiyeamini, atahukumiwa.
sawa Mkuu.Walitaka kuwatapeli watu tu,hakuna uhusiano wowote yoyote anayekwenda hijja anatarajiwa ajipambe na "sifa za kumcha Allah" ikiwa kinyume chake hata hijja yake inatia shaka.
Okay.
Ivi Allah anavyo waambia mfanye mutah (umalaya) ni maadili?Kwa uchache tazama tu Waislam na wasio Waislam uone maadili ya kibinadam unayapata wapi, bila kujidanganya nafsi yako.
Usipotoshe watu na SURA AL- BAQARA
Icho kitabu ni Cha kweli au uongo?Usipotoshe watu na SURA AL- BAQARA
Kilichokuwa kinaongelewa kwenye hiyo Sura ni Hedhi, kuwa msiwaingilie wanawake ila baada ya Hedhi mnaweza kuendelea.
Na wala wala tupu ya Nyuma haikutolewa kama mbadala wa kuwaingilia wanawake wakiwa kwenye hedhi...ACHA UPOTOSHAJI!!
Vifungu ulivyo quote hivi hapa;
222 - 223 Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Basi jitengeni na
wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka wat'ahirike. Wakisha t'ahirika
basi waendeeni alivyo kuamrisheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu
huwapenda wanao tubu na huwapenda wanao jisafisha.
Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini
jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika
nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.
"Na kuziendea konde zenu mpendavyo, si sehemu ya nyuma, bali ni sehemu ambayo panapatikana uzazi na ndio ikafananishwa na konde/ shamba kwa sababu shamba hulimwa na kuota mazao ambayo kwayo hupatikana mavuno"
Reference nyingine kwa kifupi:
1. Allaah Hatomtazama mwanamume mwenye kumuingilia mkewe kwa nyuma" (an-Nasaaiy na Ibn Hibbaan kwa Isnadi nzuri).
2. "Amelaaniwa mwenye kumjia mwanamke kwa nyuma" (Ahmad, Abu Daawuud na Ibn 'Adiy).
3. "Mwenye kumuingilia mwenye hedhi au mwanamke kwa nyuma au kumuendea mchawi na kumuamini kwa anayosema basi amekufuru kwa aliyoteremshiwa Muhammad" (Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na Ibn Maajah, na Isnadi yake ni Sahihi).
sijawahi kukutana na maandishi yoyote kwenye Quran yakielekeza kubusu jiweIcho kitabu ni Cha kweli au uongo?
Nina swali nimekuuliza
Kwa nini mnabusu jiwe?
Mimi nimeona mnabusu jiwesijawahi kukutana na maandishi yoyote kwenye Quran yakielekeza kubusu jiwe
Kama unayo naomba unijuze na mimi nielimike
sijawahi kukutana na maandishi yoyote kwenye Quran yakielekeza kubusu jiwe
Kama unayo naomba unijuze na mimi nielimike
Na kwanini hili jiwe linewekewa umbo la uke?sijawahi kukutana na maandishi yoyote kwenye Quran yakielekeza kubusu jiwe
Kama unayo naomba unijuze na mimi nielimike
"mutah" ndio nini? ndio huo umalaya uusemao? Umefundishwa wapi hilo? Nadhani waliokufundisha walitaka kukufanya malaya wao.Ivi Allah anavyo waambia mfanye mutah (umalaya) ni maadili?
Mutah ni sexual pleasure ambayo inalipiwa Allah kasema mfanye hii kwa siku tatu au zaidi , Sheria yake ni mtoto ata akizaliwa hana haki yoyote kwa baba na wala hataweza kumjua baba yake"mutah" ndio nini? ndio huo umalaya uusemao? Umefundishwa wapi hilo? Nadhani waliokufundisha walitaka kukufanya malaya wao.
Kunajiwe lilichorwa hapo? Au huoni? Hulijuwi hilo jiwe? Tukepe elimu?Biblia. Mambo ya Walawi 26:1
[1]Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
View attachment 2166726
Mutah girl, kufanya mutah ni maadili mmefundishwa?"mutah" ndio nini? ndio huo umalaya uusemao? Umefundishwa wapi hilo? Nadhani waliokufundisha walitaka kukufanya malaya wao.
Huyo hawaombi wafu, anawaombea wafu.Biblia. Kumbukumbu la Torati 18:10-11
[10]Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
[11]wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Mungu alipiga marufuku wabashiri lakini Mohammad anajiita mbashiri
Alipiga marufuku kuwaomba wafu lakini maislam yanaendelea kuwaomba makaburini
View attachment 2166719
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Sio lazima wala sio akida ni mahaba ya mtu tu. Kama vile kumbusu mama'ko ni mahaba yako tu.Nauliza
Kwa nini mnabusu jiwe?
Sasa Unguja ndio Uislam? We poyoyo lweli kweli.waislam wana maadili gani ya maana
ushoga,ugaidi,n.k
ZANZIBAR: UNGUJA YATAJWA KUONGOZA KWA UKAHABA NA USHOGA
Waziri Dkt. Saada Salum Mkuya amesema #Unguja ina Wanawake 4,854 na Pemba 700 wanaofanya Biashara ya kuuza miili yao
Wanaume wanaojihusisha na mapenzi ya jinsia moja #Zanzibar ni 3,300
Soma - https://jamii.app/UshogaUkahaba
Watu 20 wakamatwa kwa kushtumiwa ushoga Zanzibar - RFI
Watu 20 wakamatwa kwa kushtumiwa ushoga Zanzibar
Nchini Tanzania, watu 20 wanaotuhumiwa ushoga walikamatwa katika kisiwa cha Zanzibar na polisi walipokuwa wakati ambapo walikua wakishiriki semina kuhusu UKIMWI iliyoandaliwa na shirika moja lilsilo…www.rfi.fr
Serikali chukueni hatua Zanzibar inaharibiwa na ushoga
HEBU TWAMBIENI HATUA MNAZOZICHUKUA NYINYI KUONDOA USHAGA WENU BASHITE KAWATAJA MPKA KACHOKA HAMUONI AU HUKO UMEHALALISHWA???www.jamiiforums.com
MAUSIA/MAADILI YA MUNGU WALIPEWA WAYAHUDI ,KUPITIA BIBLIA(AGANO LA KALE NA JIPYA)
Warumi 3
Neno: Bibilia Takatifu
Uaminifu Wa Mungu
3 Basi kuna faida gani kuwa Myahudi? Je, kutahiriwa kuna faida yo yote? 2 Ndio, zipo faida nyingi. Kwanza, Mungu aliwaka bidhi Wayahudi maagizo yake. 3 Na hata kama baadhi yao hawaku amini,je, kutokuamini kwao kutamfanya Mungu aache kuwa mwaminifu? 4 Hata kidogo!Mungu ataendelea kuwa wa kweli hata kama kila mwan adamu atakuwa mwongo. Kama ilivyoandikwa katika Maandiko,“Wewe Mungu, uthibitishwe kuwa wahaki katika maneno yako, na mshindi katika hukumu.”
Kwa hiyo jiwe halina maana yoyote?Sio lazima wala sio akida ni mahaba ya mtu tu. Kama vile kumbusu mama'ko ni mahaba yako tu.