Walitaka kuwatapeli watu tu,hakuna uhusiano wowote yoyote anayekwenda hijja anatarajiwa ajipambe na "sifa za kumcha Allah" ikiwa kinyume chake hata hijja yake inatia shaka.
[10]Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
[11]wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Usipotoshe watu na SURA AL- BAQARA
Kilichokuwa kinaongelewa kwenye hiyo Sura ni Hedhi, kuwa msiwaingilie wanawake ila baada ya Hedhi mnaweza kuendelea.
Na wala wala tupu ya Nyuma haikutolewa kama mbadala wa kuwaingilia wanawake wakiwa kwenye hedhi...ACHA UPOTOSHAJI!!
Vifungu ulivyo quote hivi hapa;
222 - 223 Na wanakuuliza juu ya hedhi. Waambie, huo ni uchafu. Basi jitengeni na
wanawake wakati wa hedhi. Wala msiwaingilie mpaka wat'ahirike. Wakisha t'ahirika
basi waendeeni alivyo kuamrisheni Mwenyezi Mungu. Hakika Mwenyezi Mungu
huwapenda wanao tubu na huwapenda wanao jisafisha.
Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini
jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika
nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini.
"Na kuziendea konde zenu mpendavyo, si sehemu ya nyuma, bali ni sehemu ambayo panapatikana uzazi na ndio ikafananishwa na konde/ shamba kwa sababu shamba hulimwa na kuota mazao ambayo kwayo hupatikana mavuno"
Reference nyingine kwa kifupi:
1. Allaah Hatomtazama mwanamume mwenye kumuingilia mkewe kwa nyuma" (an-Nasaaiy na Ibn Hibbaan kwa Isnadi nzuri).
2. "Amelaaniwa mwenye kumjia mwanamke kwa nyuma" (Ahmad, Abu Daawuud na Ibn 'Adiy).
3. "Mwenye kumuingilia mwenye hedhi au mwanamke kwa nyuma au kumuendea mchawi na kumuamini kwa anayosema basi amekufuru kwa aliyoteremshiwa Muhammad" (Abu Daawuud, at-Tirmidhiy na Ibn Maajah, na Isnadi yake ni Sahihi).

Mutah ni sexual pleasure ambayo inalipiwa Allah kasema mfanye hii kwa siku tatu au zaidi , Sheria yake ni mtoto ata akizaliwa hana haki yoyote kwa baba na wala hataweza kumjua baba yake
[1]Msifanye sanamu yo yote, wala msijisimamishie sanamu ya kuchonga, wala mnara, wala msiweke jiwe lo lote lililochorwa katika nchi yenu ili kulisujudia; kwa kuwa mimi ndimi BWANA, Mungu wenu.
[10]Asionekane kwako mtu ampitishaye mwanawe au binti yake kati ya moto, wala asionekane mtu atazamaye bao, wala mtu atazamaye nyakati mbaya, wala mwenye kubashiri, wala msihiri,
[11]wala mtu alogaye kwa kupiga mafundo, wala mtu apandishaye pepo, wala mchawi, wala mtu awaombaye wafu.
Mungu alipiga marufuku wabashiri lakini Mohammad anajiita mbashiri
Alipiga marufuku kuwaomba wafu lakini maislam yanaendelea kuwaomba makaburini View attachment 2166719
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Nchini Tanzania, watu 20 wanaotuhumiwa ushoga walikamatwa katika kisiwa cha Zanzibar na polisi walipokuwa wakati ambapo walikua wakishiriki semina kuhusu UKIMWI iliyoandaliwa na shirika moja lilsilo…
HEBU TWAMBIENI HATUA MNAZOZICHUKUA NYINYI KUONDOA USHAGA WENU BASHITE KAWATAJA MPKA KACHOKA HAMUONI AU HUKO UMEHALALISHWA???
www.jamiiforums.com
MAUSIA/MAADILI YA MUNGU WALIPEWA WAYAHUDI ,KUPITIA BIBLIA(AGANO LA KALE NA JIPYA)
Warumi 3
Neno: Bibilia Takatifu
Uaminifu Wa Mungu
3 Basi kuna faida gani kuwa Myahudi? Je, kutahiriwa kuna faida yo yote? 2 Ndio, zipo faida nyingi. Kwanza, Mungu aliwaka bidhi Wayahudi maagizo yake. 3 Na hata kama baadhi yao hawaku amini,je, kutokuamini kwao kutamfanya Mungu aache kuwa mwaminifu? 4 Hata kidogo!Mungu ataendelea kuwa wa kweli hata kama kila mwan adamu atakuwa mwongo. Kama ilivyoandikwa katika Maandiko,“Wewe Mungu, uthibitishwe kuwa wahaki katika maneno yako, na mshindi katika hukumu.”
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.