Je, kuna uhusiano gani kati ya kwenda hijja na harakati za uganga ama tiba za kisuna?

hizo ni tabia za watu,hata zenji kwenye uislamu 99% wanaongoza kwa ushoga
View attachment 2166692
Biblia inasisitiza kila mara kwamba ushoga ni dhambi (mwanzo 19:1-13; mambo ya walawi 18: 22; warumi 1:26-27; wakorintho wa kwanza 6:9). Warumi 1:26-27 inatufundisha ya kwamba ushoga ni njia mojawapo ya kumkana na kutomtii Mungu. Mtu anapodumu katika dhambi na kutokuamini biblia inatuambia ya kwamba “Mungu huwaachilia” kutenda maovu zaidi ili wapate kujua ubatili wa maisha bila Uwepo wa Mungu. Wakorintho wa kwanza 6:9 inasema kuwa mashoga hawataurithi ufalme wa Mungu.

Mungu haumbi mwanadamu mwenye tamaa ya ushoga. Biblia inatuambia mtu huwa shoga kwa sababu ya dhambi. (warumi 1:24-27), na pia kwa sababu ya uamuzi wake mwenyewe. Mtu anaweza kuzaliwa na msukumo juu ya ushoga kama vile watu pia huzaliwa na msukumo juu ya fujo na dhambi nyinginezo. Hili halihalalishi dhambi yoyote inayofanywa na wanadamu. Je, mtu akizaliwa na msukumo wa hasira mbaya, ni halali aendeleze hasira zake mbaya? La, hasha. Hata kwa ushoga pia si halali.

Hata hivyo Biblia haiitaji dhambi ya ushoga kuwa ndiyo kubwa zaidi. Kila dhambi ni chukizo kwa Mungu. Ushoga ni mojawapo ya mambo yaliyoorodheshwa katika wakorintho wa kwanza 6:9-10 yatakayozuia mtu asiingie katika ufalme wa Mungu. Kulingana na Biblia msamaha wa Mungu juu ya shoga upo sawa na wa mzinzi, muabudu sanamu, muuaji, mwizi na kadhalika. Mungu tena aahidi uwezo juu ya kushinda dhambi, pamoja na ushoga, kwa wale wote watakao mwaminiYesu kristo kwa wokovu wao (wakorintho wa kwanza 6:11; wakorintho wa pili 5:17).
Unaongelea Zanzibar, kwani Zanzibar ni msikiti au Kanisa? Huelewi jinsi Wataliano walivyojazana huko? Unafikiri watu wa Vatikano watakileta nini zaidi ya ufuska na ushoga?

Sisi tunaongelea ndani ya makanisa, dunia nzima, watu wanalawitiana kama hawana akili vizuri, hulijuwi hilo?
 
Ungeweka na andiko la biblia linaloruhusu kufanya hayo wanayofanya , mbali na hapo hao ni wapuuzi tu kama wanofanya mapenzi na watoto wa miaka 9

Koran inasema shoga ashutwe na kupigwa kidogo na makobasi
 
Unaongelea Zanzibar, kwani Zanzibar ni msikiti au Kanisa? Huelewi jinsi Wataliano walivyojazana huko? Unafikiri watu wa Vatikano watakileta nini zaidi ya ufuska na ushoga?

Sisi tunaongelea ndani ya makanisa, dunia nzima, watu wanalawitiana kama hawana akili vizuri, hulijuwi hilo?
Allah anawaonea huruma mashoga, anasema wasutwe tu na kupigwa kidogo na makobazi

4:16. Na wawili kati yenu wafanyao hayo waadhibuni.
Tafsir al-Jalalayn 4:16 .... act adultery or homosexual intercourse punish them both with insults and beatings with sandals; ..
 
Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,
Usipotoshe watu hapo alikuwa anamuongelea Mfalme suleiman (Nabii Suleiman)
Nimeweka tafsiri yake hapa;

12- 13. Na Suleiman tuliufanya upepo umtumikie. Safari yake ya asubuhi ni mwendo wa
mwezi mmoja, na safari yake ya jioni ni mwendo wa mwezi mmoja. Na tukamyayushia
chemchem ya shaba. Na katika majini walikuwako walio kuwa wakifanya kazi mbele
yake kwa idhini ya Mola wake Mlezi. Na kila anaye jitenga na amri yetu katika
wao, tunamwonjesha adhabu ya Moto unao waka.
Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, na madeste
makubwa kama mahodhi, na masufuria makubwa yasiyo ondolewa mahala pake. Enyi
watu wa Daudi! Fanyeni kazi kwa kushukuru. Ni wachache katika waja wangu wanao
shukuru.
 
Sasa nimepotosha nini? Allah alimtengenezea Suleiman masanamu na kuyaweka msikitini, masanamu yalikuwa ya Malaika , mitume na watumishi wa Allah

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Embu nipe verse Allah alikuja kukataza masanamu na kwa nini?
 
,,,,,Mkuu inaonyesha una elimu pana sana kuhusu dhambi inavyochumwa kule hijja.
,,,,Na hayo majina mapya ni yapi hayo mkuu?
,,,,,,,Na ni nini kinawafanya wawe wanganga wakati wametoka ktk ibada TAKATIFU.
Lete Nondo Mkuu.
Mkuu sinaufahamu sana kuhusu hlo majina mapya huwa huyajui?
Nitafuatilia then ntaleta uzi Mungu akinijalia uzima
 
Mimi nimeona mnabusu jiwe
Kwa nini mnabusu jiwe
Kimsingi hakuna mahala popote tulipo elekezwa kubusu jiwe ila kwa mujibu wa Picha zako;
Hapo wanapoweka kichwa ni kidirisha kilicho achwa wazi ili watu waweze kuchungilie ndani ya Kaaba. Kuhusu shape ya hicho kidirisha nafikiri waliweka cha round kwa shape ambayo ni more convenient kwa mtu kuweka kichwa na kuona ndani ila hilo la kufananisha na k hayo ni mawazo yako

Ni sawa na mtu anavyoweza kusema mlango wa Nyumba umefanana na mlango wa Kaburi nk haimaanisha sasa mlango wa nyumba ni kaburi
 
Wote wezi tu. Unafikiri wajanja wajanja ni wale wanaoitwa "wachungaji" tu?

Wajinga ndio waliwao.

Hao wote na hayo yote uliyoyasema hayapo katika mafundisho ya Uislam.

Uislam umeamrisha watu wasome na ndiyo maana Uislam ukatoa mabingwa wa kila fani. Kwenye medicine tuna Ibn Sinna aka Avicenna. Kwenye sayansi zingine tunao kina Alkhwaarizim aka Algorithm. Tunao Al Jabr (Aljebra).

Sifahamu kwanini wazungu waliwabadili majina yao na kuyafanya yasieleweke kuwa ni ya Waislam?Jiulize wewe kwanini?
samahani jina la kiarabu ndio jina la kiislam???
 
Kimsingi hakuna mahala popote tulipo elekezwa kubusu jiwe ila kwa mujibu wa Picha zako;
Hapo wanapoweka kichwa ni kidirisha kilicho achwa wazi ili watu waweze kuchungilie ndani ya Kaaba. Kuhusu shape ya hicho kidirisha nafikiri waliweka cha round kwa shape ambayo ni more convenient kwa mtu kuweka kichwa na kuona ndani ila hilo la kufananisha na k hayo ni mawazo yako

Ni sawa na mtu anavyoweza kusema mlango wa Nyumba umefanana na mlango wa Kaburi nk haimaanisha sasa mlango wa nyumba ni kaburi
Acha kupotosha hakuna kuchungulia ni kubusu , na hiyo shape ya uke inamaana nenda kasome
 
hajaril Aswad ni jiwe jeusi acha kukwepeshakwesha Qullu Haqi Walaukana Murra
 
Sasa nimepotosha nini? Allah alimtengenezea Suleiman masanamu na kuyaweka msikitini, masanamu yalikuwa ya Malaika , mitume na watumishi wa Allah

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Embu nipe verse Allah alikuja kukataza masanamu na kwa nini?
kabla ya kuongelea masanam
Labda nikujulishe kuwa Msingi wa Mungu ( Allah) upo katika Sura Al- Ikhlas (112)
Yaaani;
1. Mungu ni wa pekee (ni mmoja tu wala hana mshirika)
2. Mwenye kuabudiwa na Viumbe vyote.
3. Hakuzaa wala hakuzaliwa.
4. Hana wa kufanana naye
 
Allah katengeneza masanamu na kuyaweka msikitini kwa Suleiman , hayo mengine hayataji masanamu

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Nimekwambia nipe verse Allah alikuja kusema yasiwekwe msikitini na kwa Nini?

Mambo ya kuzaa kasema kwa sababu hana mke!
 
Acha kupotosha hakuna kuchungulia ni kubusu , na hiyo shape ya uke inamaana nenda kasome
kwa sababu mimi kwa kusoma kwangu Quran na Biblia kwa miaka 7 sikukutana na hizo habari naomba wewe unielekeze nikasome kitabu gani?
 
Allah katengeneza masanamu na kuyaweka msikitini kwa Suleiman , hayo mengine hayataji masanamu

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Nimekwambia nipe verse Allah alikuja kusema yasiwekwe msikitini na kwa Nini?

Mambo ya kuzaa kasema kwa sababu hana mke!
Sura Al maida (5)
90 - 91. Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na
kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili
mpate kufanikiwa.
Hakika Shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari,
na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali. Basi je, mmeacha?

SARA AN NAAM (6)
74. Na pale Ibrahim alipo mwambia baba yake, Azar: Unayafanya masanamu kuwa ni
miungu? Hakika mimi nakuona wewe na watu wako mmo katika opotofu ulio wazi.
 
kwa sababu mimi kwa kusoma kwangu Quran na Biblia kwa miaka 7 sikukutana na hizo habari naomba wewe unielekeze nikasome kitabu gani?
Biblia imekataza wazi mambo ya mawe
Umar aliona kabisa Muhammad anawaongiza chaka mambo ya kubusu jiwe , akasema nakubusu tu wewe jiwe kwa sababu Muhammad anakubusu ila huna maana yoyote wewe jiwe

I am kissing you, whereas I know that you are a stone, but I saw Allah's Messenger (ﷺ) kissing you (that Is why I kiss you). Sahih Muslim 1270b
 
Sura Al maida (5)
90 - 91. Enyi mlio amini! Bila ya shaka ulevi, na kamari, na kuabudu masanamu, na
kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya Shet'ani. Basi jiepusheni navyo, ili
mpate kufanikiwa.
Hakika Shet'ani anataka kutia kati yenu uadui na chuki kwa ulevi na kamari,
na akuzuieni kumkumbuka Mwenyezi Mungu na kusali. Basi je, mmeacha?
Kwa hiyo Allah alijisahau yeye ndie muanzilishi wa masanamu

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Hujaweka sababu ya yeye kubadili masanamu yasiwekwe msikitini
 
Jack, Jack, Jackwillpower,,,,,,,,,,
what's wrong with you?
Mtu anaweza kuvaa KANZU & KOFIA ukadhani ni MUISLAM safi katoka HIJJA,,,,,,,,
kumbe ni MGANGA WA KIENYEJI KUTOKA UHEHENI IRINGA.
Usimuhukumu mtu kwa MAVAZI ama MUONEKANO WAKO WA NJE.

Na kuhusu kuombea wafu, BIBLIA imekataza.
Je, QU'RAN inasemaje?
Japo ktk yote Mimi nashauri ANAEKULA SAMAKI, ASIMUHUKUMU ASIYEKULA.
KWASABABU HII, UISLAM UMERUHUSU KUMTAFUNA MWANAMKE KWA MBELE NA KW NYUMA.
...... Je, UKRISTO umeruhusu umeruhusu kutafunana hivyo ktk VITABU VYAO?
 
Biblia imekataza wazi mambo ya mawe
Umar aliona kabisa Muhammad anawaongiza chaka mambo ya kubusu jiwe , akasema nakubusu tu wewe jiwe kwa sababu Muhammad anakubusu ila huna maana yoyote wewe jiwe

I am kissing you, whereas I know that you are a stone, but I saw Allah's Messenger (ﷺ) kissing you (that Is why I kiss you). Sahih Muslim 1270b
MBONA NACHANGANYIKIWA SASA?
SI TUFANYE TU YALE ANAYOTUAGIZA MTUME MUHAMMAD [ S.A.W}
 
Kwa hiyo Allah alijisahau yeye ndie muanzilishi wa masanamu

Koran 34:13. Walikuwa wakimfanyia alipendalo, kama mihrabu, na masanamu, ...........
Ibn Abbas, Koran 34:13 They made for him what he willed: synagogues and statues of angels, prophets and other righteous servants so that people look at them and follow their example of worshipping Allah,

Hujaweka sababu ya yeye kubadili masanamu yasiwekwe msikitini
Nimeona niangalie Quran yangu ya Kiingereza kuona kama unayo tafsiri niliyo nayo au hiyo ya kwako ni tofauti....

(34:12) And We subdued the wind to Solomon: its morning course was a month's journey and its evening course was a month's journey.17 We gave him a spring flowing with molten brass,18 and We subdued for him jinn who, by his Lord's permission,19 worked before him. Such of them as swerved from Our commandment, We let them taste the chastisement of the Blazing Fire. (34:13) They made for him whatever he would desire: stately buildings, images,20 basins like water-troughs and huge, built-in-cauldrons:21 “Work, O house of David, in thankfulness (to your Lord).

Nafikiri usome tena hiyo English version halafu unijulishe ni wapi masanam yalitengenezwa na kuwekwa msikitini?
 
We poyoyo kweli kweli unailinganisha Qur'an na mkusanyiko wa vitabu (Biblia) vilivyotungwa na watu? Huwezi kuilinganisha Qur'an na Biblia hata kidogo, huwezi linganisha maneno ya Mwenyezi Mungu na manaeno ya binadam wenzio.

Ni ujuha huo.
sasa yaliyomo hume kwenye quran 80% ndio hayohay yaliyomo kwenye biblia iliyotungwa
 
Back
Top Bottom