Je, kuna uhusiano kati ya IQ, Dini ya mtu na Longevity? Naomba kuwatumia Marais wa Tanzania kama Sampling

kwa mwandishi mzee mzima, kutumia maneno 'aliunga unga' ni dharau na chuki za wazi kwa wahusika. Nilifikiri uzee ni dawa kumbe loh! Nashukuru mchango #15 umeongea kitu cha msingi sana na kwa heshima. Majibu yapo pale na sidhani km mleta mada alikuwa hawezi kufika huko katika kufikiri kutokana na umri na uzoefu wake ila ndo kwa vile ana lake jambo dhidi ya hii jamii aichukiao.

Halafu, sijui nina mawazo mfu, napata wapi ujasiri wa kuponda elimu ya mtu ikiwa mtu huyo ametumia hiyo elimu yake 'inayoitwa ya kuungaunga' kunizidi kila kitu?!!!!!! Fedha, umaarufu, madaraka, malezi bora ya kifamilia n.k vyote kanizidi. Mimi 'mwenye iq' iliyoshiba haikuweza kuonekana hata kwenye maoni ya ubunge tu. Sasa naongea nn?!!!! Kwani elimu na matarajio yake ni nn haswa?!!!!!

Shaabash!!!
 
mtoto alikuwa akienda madrasa anfundiswa kuandika kuanzia kulia kuja kushoto akienda shuleni anafundishwa kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto
Kazi ikawa ngumu kwa mwalimu kumtia stick mtoto maana anachanganyikiwa
Hebu ziangalie nchi kama Saudi Arabia,United Arab Emirates,Kuwait,Oman,Qatar na Bahrain,angalia uchumi wao na utajiri wao,halafu jiangalie wewe unayejisifia una elimu na una andika toka kushoto kwenda kulia.
 
Pia jamii hizo ndio zilizoshika uchumi hata huku kwetu kwani hao aliowaita direct to University wengi wanategemea ajira na sio IQ kutengeneza fursa
 
What is your take on this? Why think about this? Ultimately what do you think you intend to achieve and for whose interests? Seems explosive and inflammatory, my opinion anyway, decisive prone issues are no entry zone
 
Kuzidiwa umaarufu si kutokuwa bora, everything can be put sarcastically and for jokes but not all the time and everywhere and for everyone
 
Kwanza unatakiwa utambue mtu yoyote anaweza kuzaliwa kwenye dini yoyote, na binadamu wote ni sawa.
Sio kila kitu lazima kiwe na sababu mambo mengine ni coincidence na yanatokea tu.

Pili hili swali ni sawasawa na kuuliza kwanini marekani iwe west na je kuna uhusiano wowote wa kuwa upande wa west na Americans WOTE kuwa na IQ kubwa?
As kwamba Americans wote wana IQ kubwa wakati kuna wajinga na vilaza waliopitiliza viwango vya ujinga na ukilaza.
Ni kama kusema kwamba kwakua ndege wote wana mabawa hivyo basi viumbe wote wenye mabawa ni ndege, which is logical fallacy and it doesn't make any sense. ni hoja au swali lisilo na logic na kuja na hitimisho lisilo sahihi lililoegemea zaidi kwenye Imani (belief)
Tatu hiyo sample ni ndogo sana kuweza kulinganishwa na watu zaidi ya million 30 kwa kila kundi, kuna watu smart na vilaza kila sehemu.

Mimi nasema maswala ya dini na ukabila ni vitu ambavyo vinachangia watanzania kuwa masikini na wajinga sababu watu wanaanza kudefine au kumtambua mtu kutokana na labels na identifications badala ya kumtambua mtu kama binadamu na utu wake, kiumbe ambaye wote mpo sawa.

Tunaanza kutambuana kwa utambulisho wa kubandikwa tena mwingi ni wa kuletwa na ulioletwa kwa dhumuni la kutenganishana (kitu ambacho wamefanikiwa kutokana na swali la uzi huu) yaani superior na inferior na kusahau wote ni viumbe walewale.
Naita hichi kitu kukosa utu, hekima, heshima na nidhamu kwa kufupisha ni dharau.

Nakuuliza wewe sasa: Mtu asiye na dini (atheist) utamdefine vipi?
Na ni kitu gani kinamfanya binadamu awe binadamu? (what makes human a human?)
 
mtoto alikuwa akienda madrasa anfundiswa kuandika kuanzia kulia kuja kushoto akienda shuleni anafundishwa kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto
Kazi ikawa ngumu kwa mwalimu kumtia stick mtoto maana anachanganyikiwa
Well nakuliiza swali jepesi sana: Nini kinamfanya binadamu awe binadamu?
 
Ah nimesoma were Nikapata Jambo. Kwanza kabisa #PaschalMayala# Ni mdini ana lengo la kutufarakanisha wanajf juu yA dini za Marais wetu na kile walicholifanyia taifa hili.
Pengine Ni maoni fikirishi bila lengo nililotaja juu lakini kwa wenye ufinyu wa fikra Pana Kama Mimi, Mayala Ni mchonganishi wa watu walioamua kuijenga nchi hii bila kujali udini, elimu Wala Kanda walimotoka wait au Marais wao.
Nb.
Sina uhakika lakini pengine huyu Ni msomi ambae kwa bahati mbaya aweza teuliwa kua hata waziri akaleta maoni haya ya ovyo na kuligawanya taifa katika vipande vya wazi.
K
 
Wa
Waislam mbona mnachuki sana hii dunia mngekuwa wenyewe kusingekuwa salama vita ingekuwa kama chai
 
mtoto alikuwa akienda madrasa anfundiswa kuandika kuanzia kulia kuja kushoto akienda shuleni anafundishwa kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto
Kazi ikawa ngumu kwa mwalimu kumtia stick mtoto maana anachanganyikiwa
Hoja hii inajibu maswali mengi directly pamoja na indirectly.
 
mtoto alikuwa akienda madrasa anfundiswa kuandika kuanzia kulia kuja kushoto akienda shuleni anafundishwa kuandika kuanzia kulia kwenda kushoto
Kazi ikawa ngumu kwa mwalimu kumtia stick mtoto maana anachanganyikiwa
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] nacheka km mwehu.
 
Jakaya Kikwete hakuunga unga

Alipasua kibaha A level, Udsm pia alifaulu ingawa yasemekana alikuwa a"disco" ila walimbeba kumaliza Bachelor Degree yake ya Uchumi pale UDSM
Sasa kumbe ali disco. Ni aliunga unga, full stop.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…