Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Ni Kweli kabisa ndugu. Ushirikina umerudisha sana nyuma maendeleo ya nchi yetu. Watu wanaamini katika ushirikina na imepelekea jamii zetu kuwa nyuma sana.

Kuna haja kubwa ya kuweka mkakati maalum ukihusisha Serikali na Viongozi wa Dini ili kuzibadilisha jamii zetu kifikra.
 
I.Q ya mtu huezi kupima kwa kutumia bunge la JMT na mithani ya bongo mzer. Halafu inamaana Ruvuma IQ yao Ni ndogo kuliko mikoa ya pwani, sio kweli broo km utakuwa umemuelewa Pascal mayalla

Sent using Jamii Forums mobile app
Mosi, unatakiwa kufahamu kitu kinachotwa sarcasm, pili, sijahusisha suala la IQ na mitihani au Bunge la JMT bali nimezungumzia suala la watoto wa madrasa na akili za darasani!!
 
Ukikaa na watu wenye IQ ndogo akili inalala unawafanana! IQ is genetic hereditary from Mama!! sasa yategemea asili ya Mama!! ukiwa na mama mjinga bila kuangalia kabila lake family nzima inakuwa wajinga wote! mtu akiwa mjinga mtafute mama yake ujue maisha yao!!
 
Ukikutana na wayaudi wanakupinga ktk genetic Watakwambia anarithi kupitia mazoea ya mama
 
Ko mtu mwenye kujipendekezapendekeza kwa watawala na mabeberu au wakoloni, hasa akiwa anajua kingereza, amegraduate UDSM, mtanashati na anatumia iPhone ndio huwa na Iq kubwa? Au mi ndo sjaelewa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu Mirindi, mirindimo , asante kwa bandiko hili, kiukweli huyu DC is an issue!.
The other time alikamata coster ya watu waliokuwa wanapelekwa kuangalia maeneo ya kununua, akawalaza wote ndani toka Jumamosi mpaka J.3!. Hao wananchi wanakosa gani?.

Unavamia makazi ya watu usiku wa manane kwa mtindo wa DC Sabaya, unavunja mlango, unamkosa mmiliki, unamchukua mkewe, mtoto na mgeni!, wao wanakosa gani?.
Hizi impunities zikiendelea, wao bila kujua, kupitia karma, wanamponza bosi wao!, karma inakuja kuwatandika wote!.
Tena DC huyu hapo alipo anamzigo mkubwa wa karma, badala ya kuutua kwa kutenda mema yeye anaiongeza!, hawa watu hawajifunzi kwa Sabaya?!.

Huyu DC ana inferiority complex kudhani people are looking down on how hii is, hivyo sasa ana practice superiority complex kuwaonyesha yeye sio mchezo!. Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Niliwahi kuandika humu kuhusu Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?

Pia nimewahi kuandika Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

DC Magoti is an issue bila ya yeye mwenyewe kujijua kuwa ni issue!, asaidiwe!,

P
 
Yule Magoti mhurumieni tu, ana matatizo makubwa ya kimtazamo.
He wants to be what he is not!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…