Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

IQ inahusiana na genes,ndio maana certain people from certain places can be distinguished from the rest in term of IQ..........ila mazingira nayo yanaplay part...and the current accepted view is both environment and genes plays a part ....(epigenetics)......ila saa nyingine nadhani tunatumia wrong scale kupima,lol....nakumbuka zamani kabla watu hawajaingia marekani kulikua na mtihani wa kufanya kupima IQ, waafrica wakawa wanafeli huo mtihani,tukawa branded stupid people from shithole country LOL (nilisimuliwa tu ,sijui kama ni kweli)...waligundua baadae lugha ndio ilikua tatizo...........generally waafrica tuna low IQ lakini kuna mtoto kutoka Africa ambae ndio the brightest in the world(again,nilisimuliwa tu)...ukipata muda litafute mwenyewe lol

Rebeca 83,
Of late, studies have concluded that the IQ test is fundamentally flawed and therefore irrelevant. It is not surprising, nonetheless, that at times the test has been used to cement the misguided stereotype that black people have low intelligence.

And, this very false notion is the central argument of this thread - tribes having been substituted for races.

There is absolutely no link between one:s race and their intelligence. The fact is all human beings are born without built-in mental content and therefore all knowledge comes from experience or perception.
 
IQ za wanasiasa wa awamu hii zinadumazwa na woga. Wanasiasa hawajikiti kwenye kutafuta mbinu za kutatua matatizo ya wananchi bali wanashindana kumsifia na kumfurahisha magu ili wajihakikishie usalama na maslahi yao. Eti aongozewe muda, kwa kipi kikubwa alichowafanyia wananchi mpaka sasa?

Magu hata ateue ma PHd watupu kuongoza wilaya na mikoa na halmashauri zote bado haitaifanya awamu hii kuwa bora kiuchumi kuliko awamu zilizopita. Woga ndani ya umasikini hautaliacha taifa salama.
Kweli bwan kwani kuwasha taa usiku haimaanishi ndio kumekucha
 
Nahitaji kujua yafuatayo ndugu zangu katika haya maisha ya kila siku
  1. The expirence of supper man can no longer face the reality of poor one?
 
Yeah! The IQ test attempts to measure intelligence.

School exams are achievement tests that measure skills and knowledge learned in a given grade level.

There is another type of test called Montreal Cognitive Assessment (MoCA) that measures things like one's general knowledge, memory, reasoning and judgement.

For the actual purpose of the central idea of this thread, MoCA should be substituted for IQ.

Thanks for your insightful input. MoCA could definitely work. But as you mentioned in one of your previous posts, as a nation, we haven't done proper investments in education and other social services which could act as social disparity equalizers. For example, we don't have good teachers and the education gap between those who have financial resources and those who don't is becoming wider everyday. So I am afraid that we will continue to be in the same state of affairs for many years to come.
 
Rebeca 83,
Of late, studies have concluded that the IQ test is fundamentally flawed and therefore irrelevant. It is not surprising, nonetheless, that at times the test has been used to cement the misguided stereotype that black people have low intelligence.

And, this very false notion is the central argument of this thread - tribes having been substituted for races.

There is absolutely no link between one:s race and their intelligence. The fact is all human beings are born without built-in mental content and therefore all knowledge comes from experience or perception.

Again thanks for your input. Just to spice up a bit, originally, the IQ test was devised to identify and help children with mental or learning disabilities. However, over the years, it has evolved to cover the entire spectrum of intelligence which is a very difficult thing to do. So when we take the historical context of the test itself, I believe we need to take some steps back and examine if we have the right concept at hand and whether we use it correctly to address issues patterning to our societies. It is nonsense to use IQ as a badge of honor when we don't know what it entails.
 
Swala la IQ huwezi kuliweka ivo mkuu pasco hata kidogo uko wrong kwa asilimia kama 80, Kwanza unaposema mikoa fulani iko Juu ki IQ kuliko mingine inabidi utazame Historical background na Lishe za Hio jamii yani Vyakula vyao, Maumbo ni natural tu ya Jamii Tazama wachina na Wakorea Vimo vyao na Waliopo sasa,

Wakoloni Walipoingia Kuna hasa wamisionari walianza kuingia inland bara huko ili unajua Hawa jamaa ndio wameleta mifumo ya Shule hizi na vyuo ila Pwani Kule walianza Waarabu hawa ni Vilaza na ndio wamezorotesha Ustawi wa Coastal zones, Ila Africa kinachotupoza mpaka tusipate Watu super na maendeleo ni Swala la Ukanda na Umimi sana leo kisa mnyakyusa ni Top officer Migration au TRA basi anataka kujaza jamaa zake Wa huko huko kwao regardless theirs skills yani hana muda wa kufikiri more na kumpa kazi,

Leo tunaona wasukuma Mnashika Nafasi nyeti kabisa za Taifa hili Mfano mkuu wa Majeshi, Naibu waziri wa madini,Mkuu wa usalama wa taifa, mkuu wa Chama tawala, Mkuu wa UVCCM na Ma RC,DC, RPO, DSO wengi ni Wa Kanda ya ziwa

Hili linatengeneza network fulani ambapo mbeleni huko kwa vile tu mtajaa serikalini basi mtajiona Mko top ki IQ, Pata picha leo mchaga ashike nchi, Pwani tumetoa Maraisi wawili wa Taifa hili ambao hawana Ukanda fatilia structure ya uongozi Wa JK na Mwinyi

Pascal Mayalla We Paskali njaa ndo zinakusumbua. Hivi huna Kazi za kufanya au maisha yako ndo umeyaelekeza humu JF.
 
Nakubaliana na hoja za mleta mada IQ za watu wa mikoa kama ya Kagera, Kilimanjaro, Arusha na Mbeya huwezi kufanaisha na maeneo kama Dodoma Mtwara Pwani Tabora au Zanzibar, kuna mambo mengi yanachangia mojawapo ni elimu, na mifumo ya kiimani iliyowekwa na wamosionari wa kikiristo. Karibia 90%ya maeneo yote yenye watu wanaojitambua ktk nchi hii ukristo umeshika mizizi sana na hivyo elimu kwao ni jambo la lazima, na hayo maeneo CCM inapata sana taabu kupata kura kwa sababu kuna wajinga wachaje..... UKWELI MCHUNGU.
 
Hata wewe Paskali IQ yako ni ya ajabu sana....kuba wakati unaonekana kama una IQ kubwa ..kuna wakati loooh!Hili suala ni tete sana....! Kule Kolomije ,Mwashimba nk kuna watu hawajui na hawataki kijua kutumia kitu inaitwa choo...kuna Zahanati moja kaskazini mwa Mji Wa Misungwi haina Choo ,au tutumie jina LA kitaalamu tundu LA choo'tangu ilipojengwa mwaka 1977!na huko ndio shina LA Royal Tribe !sasa na sijui na hii kama inauhusiano na na Mada yako!!????
Wanabodi,

Usingizi umekata kutokana na mawazo ya huku kukaza kwa vyuma!, mtu unalala hujui kesho siku itaanza vipi, ukiwa totally empty!. Hivyo faraja yangu pekee ni JF. Nimesoma uzi fulani, nikaanza kuwaza na kujiuliza maswali huku mengine nikijijibu mwenyewe.

Huu ni uzi wa swali kuhusu I.Q za baadhi ya wanasiasa wetu wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, wakiwemo mawaziri, wabunge na wakuu wa mikoa, na vigogo wengine wengi, hivyo nikajiuliza kwanza jee ni kweli hawa wanaotuhumiwa kuwa na low I.Q, jee ni kweli wana low I.Q, au ni mtu tuu ametoa mawazo tofauti, wewe huyapendi, ndio unamtukana ana low I.Q?.
I.Q Ni Nini?, na Inapimajwe?.
I.Q ni kifupi cha Intelligence Quonset, ambao ni uwezo wa uelewa wa mambo wa akili ya binadamu, katika ufahamu, uelewa, kujieleza, kuchambua mambo, kujenga hoja, hekima, busara na mambo mengine yote yanayohusiana na kutumia ubongo, a,napo watu wenye I.Q kubwa, hufanya vizuri darasani na kwenye mitihani, watu wenye I.Q ndogo hufanya vibaya.

Kwa kawaida, I.Q ya mtu hupimwa kwa vipimo mbalimbali, kipimo kikuu kikiwa ni kufanya aptitude test. Mimi nilipoajiriwa na FCO, ya UK, (Foreign Commonwealth Office), shortlisting tulikuwa watu 10, tukaitwa kwenye oral interview, tukabaki 5, tukaingia kwenye final aptitude test, nikapata kazi.

Test ninayoitumia hapa, ni matokeo ya ufaulu wa darasa la saba kuingia sekondari, na matokeo ya ufauli wa kidato cha nne, sio kwa mtindo wa data collection, bali general sampling. Kwa nini watu wa maeneo fulani fulani, wanafaulu zaidi kuliko watu wa maeneo mengine, au kwanini watu wa makabila fulani fulani, wana akili kuliko makabila mengine!.

Maswali ya Kujiuliza Uhusiano wa Akili na Eneo, Kabila, Umasikini na Kimo.
Ndipo nikaanza kujiuliza, jee kuna uwezekano watu wenye I.Q ndogo ni kutokana na makabila yao, kiwango chao umasikini kwenye makuzi, au pia heights zao have something to do with low I.Q, yaani mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi?.

Thread ya Kuulizia I.Q ya Mtu.
Mtu wa kwanza kujiuliza kuhusu I.Q ta mtu sio mimi, bali kuna thread ilipanda humu!.
Naomba kukiri zaidi ya kukosa usingizi, nimekuwa inspired na motivated kupandisha bandiko hili kutokana na hoja za mwana jf huyu, jidu-la-mabambasi, katika bandiko lake hili
Juma Nkamia ana tatizo la msingi!

Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, kwa sababu kupata kazi Tanzania, hakuna aptitude test, wala sijafanya nae test kujua scores zake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q ya mtu nikimaanisha akili, na abject poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.

Umasikini na Ufaulu, Mkoa Tajiri Wanafaulu Sana, Mikoa Masikini Wanafeli Sana
Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wahadzabe, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!.

Data Zangu ni Random Sampling ya Cut of Points za Kupasi ma Ufaulu wa Form IV
Data zangu ni kwa mujibu wa random sampling ya matokeo ya mitihani ya kidato cha 4!. Hili hata Mwalimu Nyerere aliliona, hivyo hadi leo, japo Tanzania nzima wanafanya mtihani mmoja wa darasa la saba lakini cut off points za kufaulu kwenda sekondari ni tofauti mikoa na mikoa ili Watanzania wote wapate fursa sawa za kuendelea kielimu. Tungetumia uniform cut off points, shule zote za sekondari nchini, zingejaa watu wa baadhi ya makabila tuu, au baadhi ya maeneo, wakiwemo Wachagga, Wahaya na Wanyakysa na kuna makabila na maeneo, wasingegusa kabisa secondary, saves for the exceptional to the case.

Kuna Primitive Tribes na Advanced Tribes
Tanzania japo tuna makabila 120, makabila haya hayalingani, kuna makabila makubwa, na kuna makabila madogo, the biggest tribe or the giant ni Sukuma, the smallest ni Hadzabe.

Uwezo wa akili za makabila haya unatofautiana, hivyo kuna advanced tribes, developed tribes na primitive tribes, hawa developed tribes wana akili zaidi za dasani kuliko the primitive tribes, lakini when it comes to intelligence, kuna primitive tribes wako more intelligent kuliko developed tribes, mfano the Masai are the best in alternative medicine, na ndio wana the best birth control, hawazaliwi vilema, wala zeruzeru!.

Baadhi ya advanced tribes hadi kuzungumza kwa kilugha wanachomekea kimombo kidogo, mfano " mugambire inafu", "anigambire fulishi infront of my wife", wengine.

Hawa developed tribes unakuta hadi vijijini wana nyumba bora, maji ya bomba na umeme, wakati wengine bado wanaishi kwenye tembe!. Jee akili zitafanana?.

Viwango Tofauti vya Ufaulu, Wengine Wana Akili, Wengine Vilaza!'
Tulipopata uhuru, nchi zote zinazotawaliwa na Uingereza, tulifanya mtihani mmoja tuu wa Cambridge, ulitungwa London, hivyo ni watu wa baadhi tuu ya makabila waliweza kufauli kuingia sekondari.

Tukadhania ni kwa sababu mitihani inatungwa London, hivyo tukaachana na mitihani ya London, tukaanzisha NECTA, tukatunga mitihani yetu, bado tukakuta ni baadhi tuu ya makabila wanafanya vizuri, hivyo tukiendelea hivi kuna makabila shule wataushia kuisikia tuu.

Ndipo Nyerere akaamua kubadili viwango vya ufaulu, ili kila Mtanzania asome na elimu ilikuwa bure.

Mwalimu Nyerere aliwahi kuwasomesha kwa nguvu watoto 4 wa kabila la Wahadzabe, wote walifeli darasa la saba, lakini akalazimisha waende sekondari kwa lazima. Wakasomea pale Pugu, na wote wanne walipata Divisheni Zero!.

Niliwahi kuuliza swali hili, sikupata jibu
Inawezekana Vipi Zanzibar Hakuna Div I, Div II, wala Div III , Wao ni Div IV na Div Zero Tuu?!.

Jee Kuna Uhusiano Kati ya Height ya Mtu na Akili Zake?.
Ila pia kuna uhusiano kati ya heigh ya mtu na akili zake, mtu akiwa mfupi, anakuwa na akili fupi!' Anza kuwa observe heights za waropokaji bungeni, utaniambia!'
Hili la watu wafupi, nililizungumza hapa, wanafanya vitu vya ajabu kutafuta recognition ili ku compensate inferiority complex yao inayosababishwa na height!.

Je, kuna ukweli watu wafupi wana inferiority complex hivyo kukasirika sana wanapohisi kudharauliwa?
Madhara ya Kisiasa ya Poverty Stricken Areas
Hili la poverty level na low I.Q lina athari kubwa kisiasa, angalia levels za umasikini kwenye maeneo watu waliochagua upinzani, ulinganishe na ngome za CCM, utakuta kwenye umasikini uliotopea ndizo ngome za CCM, na kule kwenye ehueni, na maeneo ya mijini, ndio wamewachagua wapinzani, angalia Kilimanjaro, Bukoba, Arusha, Tanga, Iringa, Mbeya etc, mkoa kama Dodoma hauwezi kuchagua upinzani, they are just too poor to make an informed decision to understand wanachagua nini!, t-shirt, kofia na shibe ya siku moja, inatosha kushawishi wachague nini!. Hata Singida, Lissu is an exceptional case. Hivyo hii situation ya I.Q level ina effects kwenye siasa zetu, hivyo kuendelea kushinda kwa CCM, has something to do with this na nilisema hapa
Watanzania ni ignorants au tumelogwa? October 25, tutafanya informed decision au tutachagua tuu?

Mtazamo: Kanda ya Kaskazini, CCM imechokwa mpaka basi!

Ikitokea CCM ishinde, Je ushindi huo ni kutokana kuwekeza kwenye Maendeleo au kwenye Ignorance?

Kuichagua tena CCM, Je ni kielelezo cha kufanya informed decision, au ni Ignorance?
IQ za Watanzania ni za Ajabu, Zinabadilika Badilika!.
Hoja zote hizo zinauhusiano na I.Q, na kitu cha ajabu kabisa, ni kuwa I.Q is supposed to be constant, na static, lakini I.Q za Watanzania no ni za ajabu sana, they are dynamic and hence they change with time and place, kwa kadri vyuma vinavyobana, ndivyo CCM inavyoimarika, hivyo 2020 mtashuhudia, karibu majimbo yote ya upinzani kama sio yote kabisa huku bara, yatairejesha CCM, upinzani utaanza tena 2025 baada ya rais Magufuli kuipeleka Tanzania kwenye uchumi wa kati, na kuumaliza umasikini.

Every General Rule, Has Exceptional To The Cases
NB. Kwenye every general rules, there is always exceptional to the case, hivyo hivyo kuna watu wa makabila masikini wenye high I.Q, na kuna watu wafupi wenye akili ndefu na kuna mijitu mibonge yenye akili fupi and vice versa!.

Paskali
Rejea

Psychoanalysis: Superiority Complex ni Dalili ya Inferiority Complex!. Maneno Mafupi Vitendo Virefu.

Character Assassination ni Modus Oparandi ya Madikiteta Katili Wote Duniani!

Kuwa Kichaa Sio Mpaka Kuokota Makopo!. Jee Tanzania Tuna Vichaa Wengi Kuliko Tunavyojidhania?!.
------------

Mdau field marshall1 amepanua wigo wa mjadala huu. Unaweza kusoma hoja zake na kushiriki mjadala >> Tatizo la ufukara kwa baadhi ya makabila ni mfumo wa maisha (Lifestyles)
 
hapa ndo unanifanya nipate swali la kukuuliza point yako ya kuwa IQ za watanzania zinapanda na kushuka kwa IQ nayo in graph maana mtu kama IQ yake kubwa hata akizeeka still bado anafanya vitu vya uakika sembuse kijana ndo anakua na IQ ya kupanda na kushuka
 
Wakati Mkuu Paschal unajadili makabila ya bongo na kuuliza wakina nani ni VILAZA, please pitia hii ramani, yaelekea SOTE ni vilaza Mkuu

Kwa mujibu wa map hii tunawazidi hata Cameroon, Ethiopia, ila ni vilaza kupita mabara yote

iq_by_country.png

Source:global map of IQ distribution - Recherche Google:
 
Kuna hoja ipo kwamba jamii ya wafugaji wana IQ kubwa ukilinganisha na jamii za wakulima ambao hawanywi maziwa ya kutosha. Mimi nimewahi kusoma na Wamasai kadhaa na uwezo wao ni mkubwa sana.Ningependa pia mtoa mada Ni mjulishe jambo moja kuwa si kwamba Jamii ya Wamasai hawazaliwi vilema au albino ni kwamba wakizaliwa wanawatelekeza aidha hospitali au porini.
 
Hii thread imejaa , ubaguzi wa kidini ,kikabila na kimaeneo. Huu ni upuuzi wa kiwango cha kutovumilika. Hata yesu alizaliwa katika umaskini
 
Nami nina hoja,
kwa Kipimo chako cha ufaulu, hivi wasukuma ambao ni zaidi ua 5milion unalinganishaje na wanyiramba ambao ni chini ya laki tano??? hapo ni wazi wale wengi wataonekana zaidi karibu katika kila kitu. mfano kama ni ufaulu wa kwenda secondary wao watakuwa wengi tu kwa sababu ya wingi wao na hivyo IQ Ikawa sio dili tena.
 
Back
Top Bottom