Hii crossbreeding nimeiona sana kwa wanyakyusa na wachaga miaka hii mitano iliyopitaIQ ni mojawawapo ya basic superior qualities zinazorithiwa kutoka kwa wazazi.
Kuna kizazi (jamii) ambavyo gene ya high IQ ni dominant wakati vingine night recessive.
Maeneo fulani yanatakiwa yafanye upgrading ya watu wao kwa kufanya crossbreeding na kwingine.
Hata hivyo, ni muhimu kutambua kuwa mambo yote ya kurithi ni ya asili na hivyo hubadlishwa kwa njia hizo hizo.
“Iq kubwa ni aghalabu kupatikana kwenye umasikini”, nakubaliana na hoja......
Hii crossbreeding nimeiona sana kwa wanyakyusa na wachaga miaka hii mitano iliyopita
Sio kidogo mpaka nashangaa kuna siri gan katika hili swalawanaoana mno!!
Uzi wa kichochezi huu! HaahahahahaKidogo umetuchambulia, lakini mm nimejichukia ghafla baada ya kusoma uzi wako, kwa sababu natoka kanda ya kati.
Mimi mwenyewe hapa!weka ushahidi kuwa wana IQ kubwa, itapendeza
Kwahiyo mkuu, unamaanisha kwamba, IQ si kitu ambacho mtu huzaliwa nacho bali hulelewa nacho? Mfano, mtu mfupi wa jamii ya warefu atakuwa na IQ ndogo akiwa kwa warefu bali atakuwa na IQ kubwa punde tu aendapo kuishi na mbilikimo? IQ ni nini na inapimwaje? Je, yatosha tu kumpima mtu IQ yake kwa matokeo yake ya mitihani?“Iq kubwa ni aghalabu kupatikana kwenye umasikini”, nakubaliana na hoja.
Kwenye umasikini kuna mambo mengi yanayochangia low iq.
Pia culture ina contribute hapo.
Kwenye kimo sidhani. However, kuna studies zinaonyesha watu wafupi kuwa na low self esteem.
People who experience social situations from a lower height - in other words short people - are more prone to feelings of paranoia, inferiority and excessive mistrust.
In a study in the journal Psychiatry Research, scientists showed that making a person's virtual height lower than it actually is can make them feel worse about themselves and more fearful that others are trying to harm them.