Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Paskali kuna mtu alishaandika humu kuwa enzi ya ukoloni kuna makabila ambayo wakipata kazi kwa mzungu ni jikoni na kufua
 
Hili suala la IQ linawasumbua watu kwa kuwa hawahusisha IQ na nasaba (genetics) za kabila hilo. Mtu hataelewa kamwe suala hili kama atakalia kuhusisha IQ na vitu vidogo vidogo oohhh sijui wale walipendelewa kipindi cha ukoloni kwa kujengewa miundombinu ya kielimu - hakuna kitu hicho, ukitaka kuelewa why you are doing either nicely or badly in examinations, pliz try to associate your genetically background, halafu ndo ueleze hivyo visababu vidogovidogo.
 
Ndugu yangu Pascal Mayalla,

Rejea "An intelligence quotient (IQ) is a total score derived from several standardized tests designed to assess human intelligence. The abbreviation "IQ" was coined by the psychologist William Stern for the German term Intelligenzquotient, his term for a scoring method for intelligence tests at University of Breslau he advocated in a 1912 book.[1] Historically, IQ is a score obtained by dividing a person’s mental age score, obtained by administering an intelligence test, by the person’s chronological age, both expressed in terms of years and months. The resulting fraction is multiplied by 100 to obtain the IQ score.[2] When current IQ tests were developed, the median raw score of the norming sample is defined as IQ 100 and scores each standard deviation (SD) up or down are defined as 15 IQ points greater or less,[3] although this was not always so historically. By this definition, approximately two-thirds of the population scores are between IQ 85 and IQ 115. About 2.5 percent of the population scores above 130, and 2.5 percent below 70.[4][5]"

https://en.wikipedia.org/wiki/Intelligence_quotient - accessed on 18th January 2018.

Je una data za kusupport haya uliyoandika kwenye post yako?
 
Ndugu neene, paschal hajauliza IQ inakokotolewaje, kauliza kama IQ inauhusiano wowote na kabila au height ya mtu, nilidhani unamjibu kumbe na wewe unauliza.
 
Ndugu mleta mada hata yeye paschal kaleta mada yake kama swali, nilidhani unamjibu kumbe na wewe unauliza.
Rejea alichoandika Pascal Mayalla
"Na anawawakilisha jimbo gani?
Mkuu Jidu, kwa vile mimi nimefanya kazi na Mhe. Juma Mkamia alipojoin RTD, hivyo naomba nisicomment kuhusu I.Q yake, ila generally kuna uhusiano mkubwa kati ya kiwango cha I.Q na object poverty. Maeneo yenye umasikini uliotopea, I.Q za wengi ziko low!.

Angalia level ya umasikini ukanda wa Pwani, including Zanzibar, mikoa ya Singida, Dodoma, Lindi na Mtwara, au makabila yenye umasikini uliotopea kama Wagogo, Warangi, Wanyaturu, Wabarbaig, Wasandawe, Wataturu, Wahadzabe, Wazaramo, Wandengereko etc, linganisha na mikoa yanye neema, Kilimanjaro, Bukoba, Mbeya, Iringa, Mwanza, etc, angalia I.Q za Wachagga, Wahaya, Wanyakyusa etc, bila kusahau the royal tribe, Wasukuma, watu wanaokula vizuri, wanakuwa na I.Q kubwa. Makabila ya mlo mmoja, wanakuwa na low I.Q!."
 
Rejea mpangilio wa wakoloni walitenga maeneo ya kutoa labour force (manamba) kwa sababu walishawtambua uwezo wao wa kufikiri na kuongoza ni mdogo, leo hii ndio wanatuongoza elewa shida hazitakwisha,
 
Mpuuzi hujasoma historia ya pre colonial africa otherwise usingeandika shithole hapa!
 
Rejea mpangilio wa wakoloni walitenga maeneo ya kutoa labour force (manamba) kwa sababu walishawtambua uwezo wao wa kufikiri na kuongoza ni mdogo, leo hii ndio wanatuongoza elewa shida hazitakwisha,
Hapana, hizo hazikuwa sababu, bali population na aina ya udongo.
 
Wewe ndo labda haujasoma chochote, na ndo maana unabwabwaje tu, isitoshe sijaongela Afrika bali nimesema Tanzania, na narudia kulikuwa hakuna haya mnayoyaita Makabila kama tuyajuavyo leo hii kabla ya kuja Wazungu na Waarabu!
Unazidi kuonesha umbumbumbu wako.. kwanza hiyo Tanzania unayoitaja haikuwepo kabla ya ukoloni labda ndomana unajichanganya, kulikua na empire kibao zilizojengwa kwa msingi wa makabila kama nyamwezi, yao, bunganda nk!
 
Kwa huyu wa miaka 7 ya uraisi wallah sina kipangamizi hata chembe, ni kweli tupu! nenda ktk jimbo lake ndio utajua ukweli. backward Province in Tz. Hata walimchagua lazima utaona kuna tatizo.
 
Wewe ndo labda haujasoma chochote, na ndo maana unabwabwaje tu, isitoshe sijaongela Afrika bali nimesema Tanzania, na narudia kulikuwa hakuna haya mnayoyaita Makabila kama tuyajuavyo leo hii kabla ya kuja Wazungu na Waarabu!
Makabila yapo miaka yote acha ubishi ya kwenu! ndio maana wanaongea tofauti. na makabila yapo Enzi na Enzi! soma hata vitabu vitakatifu.
 
Unazidi kuonesha umbumbumbu wako.. kwanza hiyo Tanzania unayoitaja haikuwepo kabla ya ukoloni labda ndomana unajichanganya, kulikua na empire kibao zilizojengwa kwa msingi wa makabila kama nyamwezi, yao, bunganda nk!


Wewe ndo unazidi kuonyesha hata usivyoelewa Historia yetu, hakuna kitu kama Kabila la Wanyamwezi Dunia hii kama vile ilivyo kuwa hakuna kabila la Wachaga, Wahaya au hat Wagogo!

Hao wanaojiita Wanyamwezi siyo Kabila, kwanza unajua ni kwa nini wanaitwa Wanyamwezi? Hilo jina walipewa na watu wa Pwani wakati wa Biashara ya utumwa na Pembe za Ndovu, enzi za makaravani ktk Kongo mpaka Pwani, hivyo kabla ya kuanza kwa Biashara ya makaravani watu waliokuwa wanaishi hilo eneo hawakujiita Wanyamwezi kwa maana nyingine hilo unaloliita Kabila la Wanyamwezi halikuwepo kama vile Wagogo inatokana na magogo yaliyokuwa kwenye njia ya karavani sasa watu eneo hilo wakaitwa Wagogo lkn siyo Kabila ni kwamba imezoeleka hivyo tu, hata Wachaga ni hivyo hivyo siyo Kabila bali ni makundi ya watu mbali mbali yanaoyoongea lugha mbali mbali yaliounganishwa na Muzungu (Mjerumani) na kuitwa Wachaga!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…