Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?

Vipimo vya wangapi wamesoma si sahihi kwa kupima uwezo wa akili. Wanawake wengi hawajasoma sidhani kama ni IQ ndogo ndo changamoto.
 




Kwa kuongelea kuhusu IQ ya mtu kuhusu:
UFUPI : Nakataa sababu nikiangalia Wachina na Wakorea basi wao wangekuwa na IQ ndogo sana sana..
SEHEMU ULIYOTOKEA: Hii naweza kuikubali kwani hata maadili unaambiwa KATIKA ETHICS vitu vinavyo kushep wewe uwe kama ulivyo ni kutokana na: Mazingira uliyozaliwa nayo, Jamii inayo kuzunguka, elimu yako uliyopita, makuzi n.k. Hivyo kama ulikuwa ktk watu ambao wanapenda mchaka mchaka wa maendeleo na kusoma nawe utalazimika kuwa hivyo hivyo.


Ila kinacho nishangaza tu ni pale MWALIMU J.K NYERERE alikuwa napinga sana yale makabila makubwa yasiwe Rais..Wakati makabila haya ndio yenye watu wengi wenye IQ kubwa...sasa sielewi anataka tuongozwe na wenye IQ ndogo au vipi
 
Baba wa Taifa nae alikuwa Mchagga ama mnyakyusa ama mhaya ....maana wakati akistruggle kudai Uhuru kidiplomasia hayo makabila yako yenye IQ kubwa yalikuwepo tu utumwani na viji PhD vyao.


Kwanini aliambatana na akina Chief Marialle, na bado alijua kabisa wale ni IQ kubwa..

nakubaliana na Paskal kabisa IQ inatokana na mazingira na malezi........ angalia hata yule mzee wa Kibamia IQ yake na ametokea mkoa gani vile?
 
Umaskini: Lishe ya kutosheleza tangia mtoto akiwa tumboni na kuendelea ina mchango mkubwa kwa iQ.. Hivyo, kiwango cha umaskini kinaleta iQ ndogo kwa sababu ya lishe duni. Kwa hio makabila yenye watu wengi wa iQ ndogo yako hivyo sababu ya umaskini wao
 
nimejaribu kusoma kidogo kuhusu IQ..kwa mleta mada japo sijamaliza kuisoma ila nina mawazo yangu ambayo yana majibu mazuri kuhusu IQ ya mtu..

IQ IPO TOFAUTI KWELI HII NI KWASABABU TU YA MAELEKEZO AU MAFUNZO AMBAYO MTU ANAWEZA PEWA KUTOKA KWA MJUZI WA MAFUNZO AU MAELEKEZO HAYOO...PIA MAZINGIRA NI KITU KIKUBWA SANA KINACHOFANYA IQ YA MTU MOJA NA MWINGINE KUWATOFAUTI NA ATA KUMUONA MTU MWINGINE NI CHIZI HII YOTE NI SABABU YA MAZINGIRA
HIVYO BASI IQ ZINAWEZA KUWA TOFAUTI AU SAWA KULINGANA NA UMRI WA MTU AU KUFANYA JAMBO FULANI KWA MUDA ..

SASA TUKIJA KWA JUMA NKAMIA YEYE ANAWEZA KUWA ANAYO IQ KUBWA AMA NDOGO ....KWASABABU YA MAWAZO ANAYO YATOA...

KWA MFANO... UMRI WA RAIS KUONGEZWA NI WAZOO TU LAKE AMBALO ANADHANI KWA SABABU YA MUDA TUTAWEZA PATA MAENDELEO...SASA APA TUKIJA KUPIMA IQ YAKE KWA MAWAZO YAKE TUNAKUJA KUPATA JIBU KUWA NI NDOGOO AU KUBWA..

JIBU...KULINGANA NA MAWAZO YA NKAMIA TUNAONA IQ YAKE NI NDOGO KWASABABU HANA SABABU ZA MSINGI AMBAZO TUNAWEZA KUZIONA KWA MACHO KUA ANAITAJI UMRI UONGEZWE ILI IWEJE...MAANA CHAMA AMBACHO KIMEKAA MIAKA MINGI KTK UONGOZI NDICHO KINAONGOZA NA HAKUNA MAMBO AMBAYO MTU MMOJA MOJA ANAWEZA SEMA NIMENUFAIKA NA NCHI YANGU KWA HIKI NA HIKI,KAMA WATAKUEPO HAIFIKI ASILIMIA 45 YA WATANZANI

KWAIYO BAC UWEZO WA NKAMIA NI MDOGO KTK KUANGALIA MAENDELEO TUNAYO YATAKA KULINGANA NA MUDA FULANI...ANGEKUJA NA WAZO LA KWAMBA MUDA WA RAISI UWE MDOGO MIAKA 3 NA PIA RAISI YEYOTE ATAKAE INGIA MADARAKANI ANATAKIWA KUMALIZIA MIPANGO MKAKATI YA RAISI ALIYEPITA NDANI YA MIAKA 15 TUNAKUA KTK UCHUMI WA KATI...MAANA KWA KIPINDI CHA MUDA MFUPI TUTAPATA RAISI TENA MPAKA WA UPINZANI ANAWEZA AKAPATA TUKAONA MAWAZO TOFAUTI YANAYOLETA MAENDELEO KTK NCHI MOJA KWA KUTUNGA KATIBA MPYA AMBAYO ITASIMAMIWA NA SERIKALI NA SI CHAMA ...AMBAYO ITAMTAKA RAISI KUTUMIA IQ YAKE MWENYEWE KULETA MAENDELEO NA SIO KUKUMBUSHA IQ ZA RAISI WALIOPITA(NYERERE) TUKIDHANI TUTAPATA MAENDELEO.

ILA TUKAE TUKIJUA HAKUNA KIPIMO KINACHOONESHA MWANADAMU ANAJITAMBUA KWA ASILIMIA MIA WOTE TUPO SAWA NA NDIO MAANA MTU AKIFANYA MAZURI ATAPONGEZWA AKIFANYA VIBAYA ATAKOSOLEWA...TUUU HAMNA NAMNA HAPO...TZ YETU SOTE
 
LABDA UNISAIDIE KUFAHAMU KITU KIMOJA: JE, 2020 ccm ITAKAPOKUWA INACHUKUA MAJIMBO YA UPINZANI IQ YA WATU WA MAENEO HAYO ITAKUWA IMEPUNGUA?
IQ ni mtizamo! Siamini kwamba ngome za CCM ni zile za wenye IQ ndogo. Na kwamba kila aipingaye CCM ana IQ kubwa! Je, wale wanaoipinga CCM kwa sababu tu ya kulishwa maneno ya chuki na wakaichukia CCM na kuwapa upinzani kura, IQ yao ikoje? Je, wote wakiwa na IQ kubwa na kuwapa upinzani nafasi ya kutawala, upinzani utakuwepo? Unaipimaje IQ ya mtu kwa hali ya kawaida?
Ni kweli kwamba IQ ya watu inategemea mambo mengi ikiwa ni pamoja na maingiliano (social interruction); vipato (income / economic wellbeing); ufahamu wa mambo / elimu (knowledge accessibiliy); uthibiti wa maradhi ( health / hygenical assimilation); nk lakini huwezi kuipima kwa vigezo vya uamuzi katika masanduku ya kura!
 
[emoji23][emoji23] Kwahiyo Gogo,Rangi,sandawe,Harzabe,Zaramo,Digo,sambaa nk! hii ngoma yoteeee machepele? Duh! [emoji56]
 
Paskali, umechambua vizuri na umekuwa objective kuliko kawaida yako Mkuu, kudos!

Ni kweli uko uhusiano mkubwa, usio na mashaka, wa ukweli na wa moja kwa moja kati ya umaskini + ujinga = kuichagua CCM.

Ndio maana mimi ni mmoja wa hao wenye kuchangia kila inapopatikana fursa na kusema ujinga na uduni wa elimu ni mpango na kazi ya CCM 100%, ila kwa faida zao wanufaikaji tu. Hufanya hivyo ili tu ibaki madarakani na kutawala kwa urahisi. Ukiitazama Elimu ya Tanzania ni dhaifu mno kuliko ya Kenya na Uganda kwa ubora; ushahidi tazama uwezo wa wananchi wa kawaida tu katika kusikiliza, kuchambua au kutenda jambo utaona tofauti - hivyo binafsi sina tena shaka kuwa wanaoharibu elimu yetu wanafanya hivyo sio kwa bahati mbaya bali ni kimkakati na kwa lengo fulani.

Haiwezekani baada ya miaka takriban 60 ya kujitawala uwe na Taifa lenye watu wajinga na uwezo duni wa kufikiri, kwa idadi kubwa/wingi kama iliyo nayo Tanzania!

Kwa hiyo Paskali historia na sayansi zinakubaliana katika kujibu swali lako - ndio ni kweli umaskini na maeneo wanayoishi watu huadhiri au huakisi IQ zao. Na kisiasa ndio mbaya zaidi!
 
nani kakupa kazi ya ku judge wenzio? je IQ ya mtu ikiwa kubwa au ndogo inakusaidia nini paskal.watanzania bwana wa ajabu sana sisi yaani unaandika ujinga tu ukitoka hapo unalalamika vyuma vimekaza tafuta grisi ulainishee basi.acha mawazo finyu piga kazi pesa chungu mzima mitaani sema uvivu wako tu.
#ukwel_unauma
 
Wakati nasoma huu uzi nilikuwa namkumbuka Mbunge wa kuitwa Kibajaji......Hivi Mtera ipo Dodoma eeh?
 

sasa si ungetuambia wanaitwa nani hao watu wanaoishi Dodoma, Tabora na Kilimanjaro. Kwa taarifa yako hakuna kabila lililojipatia jina la kabila lao wenyewe, makabila yote walipewa majina ya makabaila yao na majirani zao. Mfano Wahehe, nie Hehe walipewa na Wairaqw miaka hiyo ya zamani sana kutokana na vita baina ya hayo makabila, n.k. Hoja iko pale pale kwamba kuna uhusiano kati ya IQ na kabila, urefu na umaskini?
 
bila shaka wewe ni miongoni mwa wenye IQ ndogo kama ya kwangu. unasema haisadii wakati hii ni platform ya great thinkers. Si tunaweza kushauru namna ya kuweza kuondokana na tatizo hilo kwenye jamii husika ikiwemo kufanya crossbreeding na kuboresha lishe kwa wajawazito na watoto wadogo. ina maa wewe hujaweza kupata chochote kutokana na andiko hilo? bila shaka IQ yako ni ndogo yakhe.
 
Mkuu Pascal Mayalla Habari...............Usingizi Ulikata au upo busy na kazi za Kuandika Ripoet kwa ajili ya Mradi wa UUUUUUUUUUUUU Kule kwenye Bonde................!!!??????
 
Mhhh. Hivi IQ inarithishwa au ni mazingira? Ukimtoa Mhaya kwake,akaenda Singida wanakokula ugali,kwa maana yako je akili yake itafanana na Wanasingida?

Soma vitabu vya sociology mazingira yanainfluence tabia za viumbe hai including binadamu.
 
Nasikitika sana mwl mm nimeiona huu Uzi kwa kuchelewa. Nianze hivi kuna mambo muhimu sana yanayochangia IQ ya mtu. Mambo haya naomba niyataje kwa uchache

1) genetics, ikiwa mtu ama ukoo fulan umeasilika kwa watu wenye IQ kubwa basi Hili hurithiwa kwa vizazi vijavyo.
Mfano: Koo nyingi za kichaga ziliasilika kwenye kuzaana na wagen hasa wamissionary na wafanyakazi biashara waliokuja miaka ile enzi za ukoloni. Kuzaana huku kulipelekea kuwa na hybrid yenye mawazo mapana kama wazazi wao walivyo. Lkn pia Koo nyingi ziliasilika kwenye maisha ya kuchaguliana wenza kwamba binti fulan mwenye akili ataolewa nyumba fulan yenye pesa. Na hii kuleta watt wenye akili za maisha na za darasani
2) mazingira mtu anayokulia yanasababisha akili ya mtu kupanuka na kuwaza kwa mapana zaidi hivyo kuongea IQ. Mtu aliyekulia mazingira yenye kuhamasisha elimu lazima atakuwa tofauti sana na yule ambaye kjiji kuzika ni yy tuu amebahatika kwenda shule. Mtu huyu anayetoka kijiji cha wasomi lqzima kuna mambo yatakayo kuwa amejifunza toka nyumban na pengin yakaongeza IQ yake sana

3) life style na njia za uchumi za eneo. Mtu anayetoka eneo ambalo jinsi ya maisha yao ni kusaka maendeleo,na njia kuu za uchumi ni biashara huyu lazima awe na IQ kubwa zaidi. Nasema hivyo kwasabb yapo maneno yanayotumika nyumban na ukifika shule unakuta application yake

Mfano: mimi wakati nakua nilijua kibaba kutumia kupima maharage na nisawa na ujazo gan kea kufuata vipimo vya kizungu ( kipimo cha ujazo wa nusu kilo), nilijua kwamba chibuku ndogo ile ya kupimia mbege ni ujazo sawa na kibaba na hata wakati wa kuosha vyombo nilijikuta napima maji kuangalia kama kweli ni sawa. Chibuku kubwa nilijua kuwa ni ujazo wa lita moja hivyo hata nikienda dukan akinipimia kilo lazima nihakikishe nyumban kwamba itajaa chibuku kubwa na isipojaa sitonunua tena kwenye duka hilo. Sasa nilipo kuwa mkubwa nikakuta eti kuna ujazo wa pishi. Ukitizama pishi ni uzan wa ungo mmoja ambao hata kwenye kilo huwez sema ni kilo ngapi .

Tuache hilo miaka mm nakua nilikuta kahawa zimepandwa kwa mstari hivyo toka Shuna hadi.shona ni.mita moja. Hii japo ilipimwa kwa hatua lkn walikuwa wanaweza kufanya application ya vipimo vya kizungu kwa njia za kienyej. Niliyokuwa shule nalima nilijua urefu wa cm 60 kati ya shina la mhindi na urefu wa mita moja kati ya mstari na mstari.wa mhindi hivyo haya yakawa ni sehem ya maisha yangu. Yaan unajifnza practically.

Katika kusafiri nikaenda mkoa mmoja nikakuta wao kulima ni kutuma tu mbegu hovyo hovyo bila vipimo maalum. Nkajiuliza hivi Sasa application ya yale ya darasani inakuwaje?

Mwanafunzi usimuulize ndio kubwa ya maji ina ujazo gan hajui lkn mtt aliyetoka kwenye familia iliyokuwa inafanya biashara anakuambia kabisa ndio kubwa ni sado nne sawa na kilo 20. Anakuambia gunia la kawaida yale ya katani no debe ngapi hivyo humdanganyi.

4) aina ya watu wa karibu yako toka ukiwa mtoto mdogo. Ikiwa mtt atazaliwa na kulelewa kwa watu ambao mitazamo yao ni ya akili mtoto hukua kwa namna hiyo hiyo na iq yake huongezeka sana. Jinsi mtt anavyojifunza lugha za nyumban na mwenendo wa watu wa karibu yake.

Mfano mtt aliyezaliwa kwenye familia muda wote anaona kuna mtu anasoma anaandika ama anaenda shule huanza kupenda kuandika, na kusoma mapema sana na muda mwingine hujikuta akidaka maneno ya kielimu ambayo hukuza zaidi akili yake.

5) aina ya maisha ambayo mtt alikulia toka tumboni kwa mama yake.wakati wa ujauzito ni muhimu sana mama kuzingatia hali ya ukuaji ea kichanga ndani ya tumbo lake. Uvutaj wa sugars, ulevi, kutokula vyakula vyenye kujenga ubongo mzuri wa mtoto hupunguza sana IQ ya mtoto. Vyakula vyenye protein, vitamin, wanga na madini ni muhimu sana kwa ukuaji wa mimba na akili ya mtoto

7) vyakula anavyokula mtoto wakati wa utoto na kuendelea. Watt wanaosumbuliwa na unafiki huwa akili zao huduma. Ila mtoto anayekuja vzr akashiba akapata protein vzr, vitamin vzr, wanga wa kutosha madini na maji huyu kwanza hasimbuliwi na magonjwa halafu huchangamka muda wote na hivyo kufanya IQ kuwa kubwa.

8) magonjwa hasa ya kurithi na ya mda mrefu. Mtt anayeumwa mara kwa mara na magonjwa ya muda mrefu huathiri sana akili ya mtoto. Ndio maana ni vyema zaid wazazi wanahitaj kumanage magonjea haya mapema ili kuepusha kuharibu akili ya mtoto.

Nitaendelea baadae
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…