Je! kuna uhusiano wa akili (intelligence) ya mama na mtoto?


Kwa hiyo kuwa intelligent kwako lazima uwe good public speaker? maana naona unamponda Muhongo kwa kumsikiliza...basi sawa
 
Give me a break...vipaji bongo???kwa mazingira yapi ya ku apply hivyo vipaji????

Yani mwanangu wa kiume kabisa anambie mama I want to be a designer...ntamtoa dima...

Tuache unafiki...kila mzazi hapa anataka mtoto wake asome...sababu future haiko certain...labda huko first world...

 
Kwa vigezo vyao alifeli lakini inaonekana walitaka aende shule ambayo inamfaa zaidi..

Kwa kusema "inaonekana walitaka aende shule ambayo inamfaa zaidi" unakuwa unadokeza ni kama vile alifanyiwa hila na akafelishwa.

Sasa nikuulize, kwa nini "inaonekana" hivyo? Na anayeona hivyo hivyo ni nani na nani? Au ni wewe tu?
 
Kwa hiyo kuwa intelligent kwako lazima uwe good public speaker? maana naona unamponda Muhongo kwa kumsikiliza...basi sawa

Njia moja wapo ya kukufahamu wewe ninani is through what you speak in public. Nimeandika mengi umeliona hilo tu?
 

Hili jibu lingetakiwa kufunga mjadala mzima!!
Halafu wanasema mbeba mabox kumbe ni an undercover genologist and philosopher!
 
Are you referring to me or Muhongo...lol...(maana unaongelea speech na hujawai niona naongea)
You want me to feel shy/ashamed...?
Ungejua unae argue nae kadata ungejaribu kwingine...
Lakini inaonekana unavutiwa na mwandiko wangu...ndio maana umeamua kuni follow...lol

Njia moja wapo ya kukufahamu wewe ninani is through what you speak in public. Nimeandika mengi umeliona hilo tu?
 
Nilisoma article nyingi tu zina prove kuwa akili ya mtoto inatoka kwa mama...

Na pia kuna majarida kadhaa yenye kuhusianisha ukubwa wa nyonga za mwanamke na uwezo wa kiakili wa watoto wazaliwao...

Wenye nyonga kubwa hutoa watoto werevu zaidi ya wale wenye nyonga ndogo...
 
Mmmmnnnnhhh...article nyingi ngapi?
Basi sie black tungeongoza kwa akili duniani...

Umenikumbusha kuna siku tulikuwa na mjadala (wakati wa dinner fulani)...
Rafiki zangu wa nchi fulani Europe ambayo ni ya kifalme wakaanza kusema queen au princess haruhusiwi kuzaa kwa njia ya kawaida...
Na sababu ni imani kuwa kuzaa kwa kawaida kunamuumiza mtoto na hata kuathiri intelligensia yake (kama nakumbuka)
Nilishangaa sana...ila ndio hivyo nchi nyingi za kifalme hawataki mfalme mtarajiwa adhurike...

Wenyewe walikuwa wanacheka wanaona kama funny...

Na pia kuna majarida kadhaa yenye kuhusianisha ukubwa wa nyonga za mwanamke na uwezo wa kiakili wa watoto wazaliwao...

Wenye nyonga kubwa hutoa watoto werevu zaidi ya wale wenye nyonga ndogo...
 
Kama binti kilaza na wewe kilaza, definitely mtoto atakua kilaza! Ila ukiwa genius basi watoto watakuwa size ya kati na wachache vilaza na wengine magenius
We hujawahi shangaa watoto wa mama professor na baba professor wanakuwa magenius, ila ikitokea wamepata kilaza anakuwa kilaza kwelikweli
 

Siyo wewe nilikua nasema kama itatokea ha ha ha haaa! Napenda ku argue na wadada waliodata kama wewe maana at the end I will learn something. Ila naamini una lugha nzuri tu that's all.
 
Kuna uhusiano wa ki-urithi kati ya uwezo wa akili ya mtoto na uwezo wa akili ya mama.wataalam wanadai kuwa mtoto ana uwezekano mkubwa wa kurithi akili ya mama kwa 75% na baba humrithisha mtoto kwa 25% tu.kwa hiyo ukioa mke butu una hatari ya kuzalisha mabumunda.teh teh. Namaanisha watoto wenye uwezo mdogo ea i.q.
 
je ni haki kutumia matokeo ya darasani/shule kama njia pekee ya kujua intelijensia ya mtu?

i.q hupatikana kwa kuchukua umri wa makuzi/umri wa akili mara 100. Mie naona si halali kwani mtoto anaweza kuwa na skill nyingine ambayo haikupimwa.
 
Nimeshawahi kuweka uzi hapa MMU...

Hiyo article hata mimi nshaiona...
Ila ndio hivyo...najaribu kuwa criticize hao waloiandika...
Maana nikiangalia wanawake wengi wa UK mfano...huwezi tofautisha t.ako, kiuno, na tumbo...lakini wana watoto vichwa...

But hey...nyonga ni nini?...isije kuwa sijaelewa chochote hapa...inaweza kuwa ni upana wa kiuno...lol
 
But hey...nyonga ni nini?...isije kuwa sijaelewa chochote hapa...inaweza kuwa ni upana wa kiuno...lol

Hahaha...nimemaanisha hips sijui kama tafsiri yake nimepatia maana kuna maneno tunayatumia kwa nadra...

Unajua uwezo wa kiakili unaweza kudumazwa au kuboreshwa....

Mimi nadhani sisi hatuna mbinu bora za kuboresha uwezo wa watoto wetu kila si kwamba uwezo wa kiakili ni mdogo...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…