Umeshasema timu za Ulaya.
Wakiwa wanachezea Ulaya, wachezaji weusi wanakuwa na mentality tofauti na wakichezea timu zao za Africa.
Hata kampuni hapa Africa ikiongozwa na mzungu na wafanyakazi wote wawe Waafrica inaperform vizuri na watu wanatamani wafanye kazi hapo. Ila kampuni hiyo hiyo ukimpa mwafika aongoze inafanya vibaya au kufa kabisa.
Hongera sana! Fanya umuoeHahaha alaf ujue na date na mzungu seriously?
Hakuna laana.Sasa si ndo laana yenyewe ww unahisi mpk mtu apigwe tunguli?
Kizazi cha 7 uzezeta! 😂😂😂😂😂 Hiii uzezeta sana neno la kuuma hili 😂😂😏Kuna yale mahindi ya njano tulipewa na wazungu kama msaada walikula Mababu zetu, ndo mpaka leo kizazi cha 7 wanaendeleza uzezeta
Halafu utaona wanaofuata wanakufa kifo hiko hiko....awali nilidhani Senegal na Congo watajifunza kupitia South Africa na Ivory CoastKuna mwandishi alisema wachezaji weusi hawawezi kukupa concentration kwa zaidi ya dakika 60. Watu wakamjia juu nadhan huko aliko anapata nguvu ya kusimamia kauli yake. South Africa, congo, ivory coast na senegal wamekufa ugonjwa mmoja.
Angalia Tanzania, haijawahi kushiriki WC ila mdomo sasaSio laana ni kutojituma. Angalia Africa Kusini , DRC na Senegal
Concept nzima ya laana ni fiction tu ya Imani/dini. Binadamu wanavyotenda ni matokeo ya genes, mazingira, makuzi, interactions, nyakati na bahati.Laana ni nini, na kwa nini uikatae? Kwani mtoto asiyefundishika tu kasema kalaaniwa tutakuwa tumwkosea?
Laana sio mpka ndumba
Hili la kuongozwa kma linaukweli fulani hv🤔Muafrika anaweza kufanya kazi yoyote ile vizuri sana kama akiwa anaongozwa na watu wengine, kama vile wazungu. Lakini wakijiongoza wenyewe, hawafiki popote.
Angalia siku za nyuma, makampuni ya Japan yalipokuwa yanatengeneza barabara Tanzania, wafanyakazi zaidi ya 90% ni watanzania, viongozi Wajapan, barabara safi kabisa. Serikali ikaanzisha kampuni ya ujenzi wa barabaraya, kilometa 1 ilikuwa inajengwa hata kwa miaka 2, ikianza kutumika, mwaka wa kwanza tu, mashimo kila sehemu.
Hata leo hii, wafanyakazi wakabakia hawa hawa huko ATCL, TANESCO, wakapewa wazungu kusimamia, utashangaa ufanisi utakavyobadilika.
Hii ndiyo ile maana ya Trump kusema:
"Africa needs to be recolonized"
Sure na curse ndo unaingia humo humo, sio superficial hata kidogo...Concept nzima ya laana ni fiction tu ya Imani/dini. Binadamu wanavyotenda ni matokeo ya genes, mazingira, makuzi, interactions, nyakati na bahati.