Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

Invigilator

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2016
Posts
3,219
Reaction score
6,080
Kati ya vitu vinavyohafifisha mapenzi ni kujua idadi halisi ya wapenzi aliowahi kuwa nao mpenzi wako, lakini pia kwa upande mwingine wa shilingi ni heri ujue maana usipokuwa makini unaweza kuishi nyumba moja na mme/mke mwenzio ukiamini kuwa ni kaka/dada/wa mke/mmeo.

Swali hapa je kipi bora kujua ama kutojua?

Karibuni wakuu
 
Ishi nae maisha ya sasa. Labda ukijua itokee tu katika stori.

Maana background ya mpenzi wako ni kama maji usipoyaoga utayanywa
 
Anzia pale mlipokutana, hayo ya nyuma hayakuhusu kabisa. Watu wengine mkikaa bila kuugua mnaamua kujitaftia walau presha, sijui hizo akili ni za wapi jamani, pengine hata mzee wako alishabinua mzigo we unataka kujua ili iweje! Kama hukumkuta bikra we vunga
 
MIE DEMU WANGU CKU YA KWANZA NAANZA KUMGONGA NIKAMUULIZA
"ulisha sex na wanaume wangapi kati ya hao ex wako ulikuwa nao.... Wote??? "

AKASEMA
" HAPANA... Yule classmate wa form six hakunigonga... Yule wakat niko first year chuo alinigonga sana tu... Na yule wakat niko final year pia alinigonga sana tu... Ni hao wawili tuu mpenzi wangu... "

NIKASEMA
" DAAAAAAH.... Basi hamna namna.. Majamaa ndio hivo tena yashaniwahi... Ngoja niambulie makombo tuu.... "

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
Yes,ila nadhani hvyo huwaga baada ya kujilia mzigo na kukuta njia nyeupe na ushamzimikia ktk mienendo yke na kujiridhisha hyu namchukua jumla sasa umeshaona njia nyeupe vijiswali km hvyo ni vzuri kumuuliza km ww ni kidume halisi ila unaviuliza ki technic sn,basi utakuta binti anafunguka yoooote sababu naye ameshaona hapa hamna jinsi atamalizia naomba unisamehe ctafanya tn kwani nishakupata ww naomba tugange yajayo,hapo ss utajijua mwenyewe ila inakuwaga ktk furaha flan faraghan unameza funda unampindua uanaendelea kujilia tunda lako maisha yaende Mkuu
 
Maisha ya safari ya kimapenzi kuelekea kumtafuta yule ambaye ameujaza moyo wako....ni safari ndefu sana...na iliyojaa misuko suko mingi sana.....misuko suko ambayo wakati mwingine inakufanya ukate tamaaa.....

Kila mtu anapenda kuwa na historia safi ya mapenzi....lakini kwenye nyakati hizi ambazo uongo na unafiki vimekuwa sehemu ya maisha yetu imekuwa ni ngumu...kumpata mtu ambaye anajisikia vile ambavyo wewe unajisikia juu yake........waongo na watu wema na wanafiki wote wanaongea lugha moja na kauli tamu.....kwa hivyo kuwagundua na kuwachambua kunataka uwezo wa ziada.....

Si vyema kumhukumu mtu kwa mambo amabayo ameyafanya kipindi cha nyuma....kwani hakuna mkamilifu kati yetu wa kuweza kumnyooshe kidole mwenzio.....

Kama umempenda mtu....na yeye anakupenda kwa dhati....nguvu zenu na akili zenu....zielekezeni kwenye kulijenga penzi lenu na sio kuangalia historia za mwenzako......
a718f5d383fe0111817e3b3076b566f4.jpg
 
MIE DEMU WANGU CKU YA KWANZA NAANZA KUMGONGA NIKAMUULIZA
"ulisha sex na wanaume wangapi kati ya hao ex wako ulikuwa nao.... Wote??? "

AKASEMA
" HAPANA... Yule classmate wa form six hakunigonga... Yule wakat niko first year chuo alinigonga sana tu... Na yule wakat niko final year pia alinigonga sana tu... Ni hao wawili tuu mpenzi wangu... "

NIKASEMA
" DAAAAAAH.... Basi hamna namna.. Majamaa ndio hivo tena yashaniwahi... Ngoja niambulie makombo tuu.... "

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
K haina makombo mkuu
 
umeniuzi ujue sipendagi ujinga mimi? nani sasa alikuwa makombo? looooh tafadhali punguza ukali wa maneno yako.
 
umeniuzi ujue sipendagi ujinga mimi? nani sasa alikuwa makombo? looooh tafadhali punguza ukali wa maneno yako.
[emoji1] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji3] [emoji3]
 
umeniuzi ujue sipendagi ujinga mimi? nani sasa alikuwa makombo? looooh tafadhali punguza ukali wa maneno yako.

WE VIPI.....?????
KIBAYA NILICHO SEMA HAPO NI NINI HASA!!!!!

Demu wangu ndio alikua makombo...
Haya unasemaje sasa???????

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
 
WE VIPI.....?????
KIBAYA NILICHO SEMA HAPO NI NINI HASA!!!!!

Demu wangu ndio alikua makombo...
Haya unasemaje sasa???????

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
halafu wewe Chief weweeee, unataka nisemeje kwa mfano?

nitakupigia baadae nikwambie
 
Kutakuwa na haja ya kuchunguza iwapo kuna dalili ya kuwepo mawasiliano yasiyo na tija katika uhusiano wenu, baina ya mwenza wako na mwanaume mwingine (mathalani mpenzi wake wa zamani).

Chunguza kwa lengo la kulinda uhusiano wenu siyo kujidai unajua sana kumlinda yeye asikusakiti.

Hayo yanaweza kuepushwa na jitihada zako za kufanya mazungumzo kuhusu kuimarisha uhusiano wenu kwa kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha kuepuka 'vidudumtu' kuingilia uhusiano wenu.

Mwisho, kumbuka kumlinda mwanamke ni sawa na kulinda roho yake dhidi ya malaika mtia roho.
 
Back
Top Bottom