Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

Wewe acha kujitesa ukishajuwa ? Alaf usihangaike na kitu ambacho kwanza kikioshwa kinarudia upya wake
 
Mawazo ya mtoa mada ni mawazo ya kitoto.......ni mawazo ya mtu asiyejimini na mwenye mashaka mengi kwenye maisha yake......
Mkuu usemacho sio kwel,after all laiti kama ungefuatilia mada kwa makin usingenijudge hivyo aisee,UNAJUA KUMWAMBIA MTU MZIMA ANA MAWAZ YA KITOTO NI TUSI ZITO,MAANA MTOTO HAJUI HATA JINSIA YAKE,UKIMVALISHA SKIRT/GAUN ANAONA KAPENDEZ(HATA KAMA NI WA KIUME)kama kwel unaustarab nitake radhi aisee!!!..
 
Nakutaka radhi mkuu......ulimi ulinitereza......[emoji122]
 
Kuna jamaa anaishi kwa hofu na mkewe baada ya kuuliza uliza na kuambiwa kuwa mtangulizi wake alikuwa na 'mkono wa mtoto mdogo' na yeye akijiangalia ana 'kibamia cha maneromango'.

Usimchunguze sana bata, huwezi kumla mkuu.

Work on present mkuu.
 
Mawazo ya mtoa mada ni mawazo ya kitoto.......ni mawazo ya mtu asiyejimini na mwenye mashaka mengi kwenye maisha yake......
Umeona eehh unataka kupata idadi ili iweje.....wakati mwengine tunatafuta matatizo wenyewe anaweza kukupa idadi ikakuletea jeraha la moyo kila unapomtazama mke/mume.....ukishapata idadi ndio umewajua na sura pia idadi inaweza ongezea hata akiwa kwenye mahusiano
 
Kujua idadi ni muhimu ili umjue tabia kuna kinguru wasio fugika...hao wanaosema hawataki kujua hata wakifumaniwa wanasamehe...wehu huo
 
Kamwe hatakuambia ukweli,ila kama unampango nae ulizia kimya kimya maana kujua background nayo inaumuhimu wake mfano kama alie soma nae secondary anakwambia alikua na mabwana 10 mpk anamaliza shule au kama unapata story kuwa kila bwana aliekua nae lazima alifilisika inakupa picha flani,background muhimu sana na sio lazima akwambia find other sources..[emoji849]kama umepata mwanamke ila unakuja kujua alikua muuza bar sehemu nadhan kuna picha flan utaipata
Kuna maswali mengine sio ya kuuliza eti kati ya mm na ma ex wako nani aliekua vzur kitandani hahaaha unaweza kupewa jibu na likawa la kweli hadi ukadata..[emoji1495]
 
Kuna wanaokuwa kwenye mahusiano hata rafiki hawajui wanakutana faragha kwa siri je hao utapataje idadi?....ukweli wa idadi itabaki kwa muhusika mwisho wa siku mtaishia kufanganyana na siku ukipata ukweli unazidi kuumia
 
Umeona eehh unataka kupata idadi ili iweje.....wakati mwengine tunatafuta matatizo wenyewe anaweza kukupa idadi ikakuletea jeraha la moyo kila unapomtazama mke/mume.....ukishapata idadi ndio umewajua na sura pia idadi inaweza ongezea hata akiwa kwenye mahusiano
Wakati Mwingine jifunze kutofautisha kati ya STATEMENT na INTEROGATIVE,ni vizur ukaelew nimeuliz SWALI lililo na OPTION,je kipi kilicho bora,KUJUA au KUTOJUA?
 
Kuna wanaokuwa kwenye mahusiano hata rafiki hawajui wanakutana faragha kwa siri je hao utapataje idadi?....ukweli wa idadi itabaki kwa muhusika mwisho wa siku mtaishia kufanganyana na siku ukipata ukweli unazidi kuumia

Yaaah ndo mana nasema ukitaka akwambie hatakwambia ukweli,kuna mshkaj alikua na demu kumbe mm nilishapita katika kupiga story akaniambia demu alimwambia tangu aje hayo maeneo hajawahi kuwa na bwana nilipompa makavu jamaa akaona daah ntakua nimedanganywa vingi,ila swala la mahusiano halina siri mamito marafiki zako wanaweza wasijue ila marafiki wa hyo mshkaj wako wooote wakajua yani swala la siri kwenye mapenzi ni hakuna labda useme inachelewa kujulikana ila unaweza ukaficha wote ila boda boda akajua..[emoji23][emoji23]
 
Kudadeki!!! Nimemuuliza anadai aliwahi kudate na jamaa mmoja ambaye alikuwa anamkunjia kwenye maua ya kwao kila siku jioni!!! .....nimuulize swali gani tena wakuu????
 
Kila mtu anaona haifai kuuliza coz reflection ya past zake sio nzuri, guilty pia, kuona kuwa it's ok to engage in sex with many partners nk. Kizazi ambacho kinaona sex is a normal thing, ambacho vijana wanaanza sex wakiwa primary na secondary, huna sababu ya kuuliza maswali ambayo probably majibu yake unayo. That's huwa nasema, ukipata mdada karne hii kalala na less than five, jua umeokota dodo chini ya mbuyu.
 
Kuna duu wangu anaolewa mwakani January, nimemgonga sana na naendelea kumgonga hadi kesho. Nimemwambia tuachane ili aboreshe mapenzi kwa Mr wake, kagoma.
So kule kafuata ndoa. Binafsi sioni haja ya kuuliza hilo swali kwani lazima udanganywe.
 
Wakati Mwingine jifunze kutofautisha kati ya STATEMENT na INTEROGATIVE,ni vizur ukaelew nimeuliz SWALI lililo na OPTION,je kipi kilicho bora,KUJUA au KUTOJUA?

kwani toka mwanzo umeona nimeandika nini nawe jifunze kusoma comment za wengine na kukubaliana na mawazo yao
 
Back
Top Bottom