Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

Kati ya vitu vinavyohafifisha mapenzi ni kujua idadi halisi ya wapenzi aliowahi kuwa nao mpenzi wako, lakini pia kwa upande mwingine wa shilingi ni heri ujue maana usipokuwa makini unaweza kuishi nyumba moja na mme/mke mwenzio ukiamini kuwa ni kaka/dada/wa mke/mmeo.

Swali hapa je kipi bora kujua ama kutojua?

Karibuni wakuu
..No future without a Past kiongozi,lazima Ujue unaDeal na mtu wa Aina Gani,mfano unaDate na mtu ashakuwa na wapenzi 4 na zaidi,huyo hana tofauti na wa Buguruni wanatofautina advertising methods tu
 
Wadada wengi hawapendi wachunguzwe kama walikua au wana idadi ya wanaume wangapi,badala yake huhimiza kwakusema tuanze tulipokutania,lakini kiukweli wadada wakiwa na list tuseme ya wanaume kumi,huwa hawana ujasiri wa kuwapiga stop wote badala yake huendelea nao kisirisiri pale na pale wanapotaka kumgonga humgonga bila ya wasiwasi.Mwanamke mwenye historia ya kuwa na wanaume wengi anashauriwa asiolewe na mwanaume mwenye wivu sana kwasababu hao wengi aliotembea nao kabla ya mume huwa na vitu mbalimbali ambavyo mume mpya hawezi akawazidi na wengine.Mfano:maumbile ya miili kama uume,vifua nakadhalika.Ewe mwanaume,mchunguze mwanamke kabla ya kuingia nae kwenye mahusiano yale serious yanayoweza kupelekea mkafunga ndoa,ukigundua kua alikua na wanaume wengi,hakika nakuhakikishia wewe mwanaume mwenzangu,hataweza kuwapa sababu zitakazo halalisha wamwache na akikwambia kua atawaacha,unadanganywa,na kama ukiamwamini kua alishawaacha,nakusihi usimchunguze unaweza kupata kiharusi na tukakupoteza kabla ya wakati.
 
nilimuuliza majibu nilopewa daa Inauma hisia zangu Imeamia kwa house gal
 
Kutakuwa na haja ya kuchunguza iwapo kuna dalili ya kuwepo mawasiliano yasiyo na tija katika uhusiano wenu, baina ya mwenza wako na mwanaume mwingine (mathalani mpenzi wake wa zamani).

Chunguza kwa lengo la kulinda uhusiano wenu siyo kujidai unajua sana kumlinda yeye asikusakiti.

Hayo yanaweza kuepushwa na jitihada zako za kufanya mazungumzo kuhusu kuimarisha uhusiano wenu kwa kuweka mazingira mazuri yatakayowezesha kuepuka 'vidudumtu' kuingilia uhusiano wenu.

Mwisho, kumbuka kumlinda mwanamke ni sawa na kulinda roho yake dhidi ya malaika mtia roho.


HUKU UNAHAKIKIWA NA SERIKALI HALAFU UKAJIKAANGE KWA KUULIZA MAMBO YALIYOPITA?

SASA FANYA HUO MCHEZO UFARIKI MAPEMA
 
Kati ya vitu vinavyohafifisha mapenzi ni kujua idadi halisi ya wapenzi aliowahi kuwa nao mpenzi wako, lakini pia kwa upande mwingine wa shilingi ni heri ujue maana usipokuwa makini unaweza kuishi nyumba moja na mme/mke mwenzio ukiamini kuwa ni kaka/dada/wa mke/mmeo.

Swali hapa je kipi bora kujua ama kutojua?

Karibuni wakuu
ukiwa unamfukuzia/ wakati unapanga kuanzisha mahusiano ni jambo la msingi sana kuyajua hayo ili upime dhamira na uwezo wa uthubutu wa ku-handle kashfa zitakazo muandama mwenzi wako wakati mkishaanza rasmi kuwa wapenzi!
ukikata shauri na kuishi na mtu, ile siku uliyoamua kuchukua uamuzi wa kufungua naye ukurasa mpya, then sahau watu wake wa zamani, jua hawakuhusu! isipokuwa kama alikuwa na mume/mke au mzazi mwenzie hayo ni muhimu kujua, mume/mke hata kama hajazaa naye, hizo ni records za msingi!
mume/mke ni watu wanaotambulika kisheria, na kwa hiyo kama mahusiano ya level hiyo yalifika ni vema ukajiridhisha kuwa uhusiano wao ulisitishwa officially kwa maana ya formal talaka ilikuwepo!
kuna baadhi ya watu hudai kuwa talaka ikitamkwa tu basi inatosha, yes kiimani lkn kisheria bado unaweza kupoteza haki zako za msingi! wapo watu kadhaa wameishi na wenza kumbe jamaa wana ndoa sehemu nyingine na kwa baadhi ya madhehebu (kama RC) hii ndoa yako inakufa automatically!
so jua mahusiano ya zamani ya mwenza wako yale yatakayoendelea kuwafuata ktk misingi ya kisheria, yale ya wivu achana nayo kwa kuwa huwa hayana mwisho, kama mtu wako kicheche utawajua wa zamani lkn yeye kila siku anaanzisha mahusiano mapya, sasa itasaidia nini!?
 
MIE DEMU WANGU CKU YA KWANZA NAANZA KUMGONGA NIKAMUULIZA
"ulisha sex na wanaume wangapi kati ya hao ex wako ulikuwa nao.... Wote??? "

AKASEMA
" HAPANA... Yule classmate wa form six hakunigonga... Yule wakat niko first year chuo alinigonga sana tu... Na yule wakat niko final year pia alinigonga sana tu... Ni hao wawili tuu mpenzi wangu... "

NIKASEMA
" DAAAAAAH.... Basi hamna namna.. Majamaa ndio hivo tena yashaniwahi... Ngoja niambulie makombo tuu.... "

[HASHTAG]#Chief[/HASHTAG] Eng
Yaani hapa kakupa moyo tuu,.ila niuongo dhahirii
 
Ni mbaya sana kujua wapenzi wa nyuma wa mpenzi wako,ni sawa na kugundua umeathirika kwa HIV,unafahamu tatizo halafu huna uwezo wa kuliondoa! kila ukikutana na washkaji zake wa zamani unahisi jana walikula kitu,msongo wa mawazo unaanzia hapo na kuendelea mpaka miaka ya hamsini mwishoni.
[emoji23][emoji23][emoji23]miaka ya hamsini mwisho
 
Anzia pale mlipokutana, hayo ya nyuma hayakuhusu kabisa. Watu wengine mkikaa bila kuugua mnaamua kujitaftia walau presha, sijui hizo akili ni za wapi jamani, pengine hata mzee wako alishabinua mzigo we unataka kujua ili iweje! Kama hukumkuta bikra we vunga
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Back
Top Bottom