Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

Je, kuna umuhimu wa kujua mpenzi wako alishakuwa na wapenzi wangapi kabla ya ndoa?

Ukitaka demu wa peke yako labda umuumbe mwenyewe,au ukate mgomba ufiche mtaani usishindaniwe!!! Wakikumegea demu wako nawe tafuta mnyonge umumegee,haipunguzi maumivu ila inarudisha hadhi ya kiumee!!!
 
Kujua aliachana vipi na huyo ex kabla ya wewe ni sawa,


Ila kuanza kufukunyua sijui ulianza mapenzi mwaka gani, umetembea na wangapi, yupi ulimpenda sana, kwanini ulimpenda, na blah blah zingine,
wala sioni maana yoyote.
 
Hakuna umuhimu na inaweza kabisa kuwa chanzo cha kuharibu penzi lenu. Mwenyewe akiamua kufunguka na kukuelezea history yake hakuna ubaya kusikiliza, lakini usiwe king'ang'anizi wa kutaka kujua amewahi kuwa na boyfriends/girlfriends wangapi.

Kati ya vitu vinavyohafifisha mapenzi ni kujua idadi halisi ya wapenzi aliowahi kuwa nao mpenzi wako, lakini pia kwa upande mwingine wa shilingi ni heri ujue maana usipokuwa makini unaweza kuishi nyumba moja na mme/mke mwenzio ukiamini kuwa ni kaka/dada/wa mke/mmeo.

Swali hapa je kipi bora kujua ama kutojua?

Karibuni wakuu
 
Kuna haja ya kujua alikua na wapenzi wangapi na vilevile uwajue hata kwa picha ili uepukane nabkudanganganywa kuwa huyu ni mjomba mara huyu ni kaka kwani wanawake wa siku hizi wengi wao wanapenda kuwarudia ma-x wao hasa pale wanapowamis.Kutojua mpenzi wako alikua na ma-x wangapi kunafanya mtu uonekane kama boya unayeweza kuibiwa muda wowote huku washikaji wakijua kuwa hujui.Na tena unaibiwa kwa uhuru kuliko yule mtu anayejulikana kuwa alikua mpenzi wake nawewe unajua.Anyway inatakiwa ijulikane kuwa kilakitu kina faida na hasara,hasara ya hili jambo la kujua ma-x wa mpenzi wako hupunguza muda mwingine kujiamini hasa pale unapofanya mlinganisho vilevile hupunguzs imani kwa mpenzi uliyenaye kuwa si mwaminifu na mambo mengine mengi.Tuwachunguzecwapenzi wetu ksbla ya kuingia kwenye mahusiano hii itatusaidia walau kufanya maamuzi ambayo kwakiasi flani hayatatuumiza sana mbeleni.
 
unavosema unaeza ishi na mme/mke mwenzio kwan akikuambia idadi atakuonyesha mmoja mmoja? na ukiambiwa idadi faida ni nn?
 
stress nyingine tunajitafutia wenyewe, ni sawa na mtu anaewaza mamaake amewahi kutembea na wanaume wangapi [emoji21] [emoji21] [emoji21]
some things are better left unsaid.
 
kufanya hivyo ni sawa na kupanda basi ktkt ya safari na kulazimisha lirudi kwanza liliko anzia safari
 
Mwanamke ambaye alishatembea na watu zaidi ya watano ni hafai uyo tayar ni mke wa mtu ,tena ni Malaya kabisaaaa,hafaiii
 
Km kuna sehemu mwanamke hatakwambia ukweli ni hapo kwa wapenzi wake wa awali. Kuna mmoja sifamiani nae lakin nilimtania kuwa nilishawahi kuwa nae miaka ya awali, lakini aliamini kweli nilimgonga lakini nilimtania haikuwa kweli. Nikagundua hajui hata list ya waliomgonga
 
Ok....kama upo na mzima afya...basi kheri maana ni kitambo sijakuona barazani.....

Mpaka nikahisi labda ulileta uchochezi ukawekwa ndani.....
Mie sio mchochezi kabisa......btw mtoa mada anashauri kuandaa list vipi umesha chukua kalam na karatasi[emoji1]
 
Back
Top Bottom