KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 20,118
- 40,850
Mie sio mchochezi kabisa......btw mtoa mada anashauri kuandaa list vipi umesha chukua kalam na karatasi[emoji1]
Mkuu usemacho sio kwel,after all laiti kama ungefuatilia mada kwa makin usingenijudge hivyo aisee,UNAJUA KUMWAMBIA MTU MZIMA ANA MAWAZ YA KITOTO NI TUSI ZITO,MAANA MTOTO HAJUI HATA JINSIA YAKE,UKIMVALISHA SKIRT/GAUN ANAONA KAPENDEZ(HATA KAMA NI WA KIUME)kama kwel unaustarab nitake radhi aisee!!!..Mawazo ya mtoa mada ni mawazo ya kitoto.......ni mawazo ya mtu asiyejimini na mwenye mashaka mengi kwenye maisha yake......
Mkuu usemacho sio kwel,after all laiti kama ungefuatilia mada kwa makin usingenijudge hivyo aisee,UNAJUA KUMWAMBIA MTU MZIMA ANA MAWAZ YA KITOTO NI TUSI ZITO,MAANA MTOTO HAJUI HATA JINSIA YAKE,UKIMVALISHA SKIRT/GAUN ANAONA KAPENDEZ(HATA KAMA NI WA KIUME)kama kwel unaustarab nitake radhi aisee!!!..
Sawa Mkuuu!!..Nakutaka radhi mkuu......ulimi ulinitereza......[emoji122]
Sawa Mkuuu!!..
Umeona eehh unataka kupata idadi ili iweje.....wakati mwengine tunatafuta matatizo wenyewe anaweza kukupa idadi ikakuletea jeraha la moyo kila unapomtazama mke/mume.....ukishapata idadi ndio umewajua na sura pia idadi inaweza ongezea hata akiwa kwenye mahusianoMawazo ya mtoa mada ni mawazo ya kitoto.......ni mawazo ya mtu asiyejimini na mwenye mashaka mengi kwenye maisha yake......
Kuna wanaokuwa kwenye mahusiano hata rafiki hawajui wanakutana faragha kwa siri je hao utapataje idadi?....ukweli wa idadi itabaki kwa muhusika mwisho wa siku mtaishia kufanganyana na siku ukipata ukweli unazidi kuumiaKamwe hatakuambia ukweli,ila kama unampango nae ulizia kimya kimya maana kujua background nayo inaumuhimu wake mfano kama alie soma nae secondary anakwambia alikua na mabwana 10 mpk anamaliza shule au kama unapata story kuwa kila bwana aliekua nae lazima alifilisika inakupa picha flani,background muhimu sana na sio lazima akwambia find other sources..[emoji849]kama umepata mwanamke ila unakuja kujua alikua muuza bar sehemu nadhan kuna picha flan utaipata
Kuna maswali mengine sio ya kuuliza eti kati ya mm na ma ex wako nani aliekua vzur kitandani hahaaha unaweza kupewa jibu na likawa la kweli hadi ukadata..[emoji1495]
Wakati Mwingine jifunze kutofautisha kati ya STATEMENT na INTEROGATIVE,ni vizur ukaelew nimeuliz SWALI lililo na OPTION,je kipi kilicho bora,KUJUA au KUTOJUA?Umeona eehh unataka kupata idadi ili iweje.....wakati mwengine tunatafuta matatizo wenyewe anaweza kukupa idadi ikakuletea jeraha la moyo kila unapomtazama mke/mume.....ukishapata idadi ndio umewajua na sura pia idadi inaweza ongezea hata akiwa kwenye mahusiano
Kuna wanaokuwa kwenye mahusiano hata rafiki hawajui wanakutana faragha kwa siri je hao utapataje idadi?....ukweli wa idadi itabaki kwa muhusika mwisho wa siku mtaishia kufanganyana na siku ukipata ukweli unazidi kuumia
Hapo sasa..halafu ukijua?!!
Wakati Mwingine jifunze kutofautisha kati ya STATEMENT na INTEROGATIVE,ni vizur ukaelew nimeuliz SWALI lililo na OPTION,je kipi kilicho bora,KUJUA au KUTOJUA?