Determinantor
Platinum Member
- Mar 17, 2008
- 59,045
- 94,974
Hahahahaha umeweka vyema sanaWahenga walisemaakili ni nywele kila MTU anazake.
Huyo anafikiri Idd Amin alivyoitwa muuaji au Putin anavyoitwa muuaji anadhani Putin ndio yupo Huko Ukraine anafanya hayo mauaji.
Hizo ndio Akili za Ndugu zetu. Tuende nao hivyohivyo
Unaumiza kichwa chako bureKumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;
1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.
2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?
3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.
4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Hivi kazi ya polisi ni kumtaja muuaji au kumkamata na kumfikisha mahakamani Ili Sheria ifuate mkondo wake?!!!Tundu aliambiwa na polisi amlete dereva atajiwe aliyempiga risasi hadi Tundu kamficha dereva
Huyo jamaa likuwa shegani mkubwa. Asante Mungu kwa kutupatia zawadi March 17, 2021 (ingawaje inasadikika alikata umeme tangu March 9!)Ulitaka yeye ndio akaue kwa mikono yake?? Uko na very poor reasoning capacity
1. 1.5T ,Plea bargain ChinaKumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;
1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.
2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?
3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.
4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Ukweli sikutaka kukujibu lakini ni swali la ajabu sana! Mkuu wa Nchi akifumbia mambo macho au kushabikia moja kwa moja anahusika 100%Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;
1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.
2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?
3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.
4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Hapa hakuiba wala kufanya ufisadi alichokifanya alipendelea tu nyumbani kwake,kitu ambacho kwangu ni kizuri,Mana unapopata nafasi jenga kwanza Nyumbani.
Msiba wa mkapa tulipoenda Lupaso hakukuwa na nyumba ya maana ingawa alikuwa Rais wa jamuhuri kwa Miaka 10.
Hapa ushahidi wa wizi hakuna....mana kuna baadhi ya miradi Aliiacha chato na inasonga.
Kikwete alikuwa Rais,mwanae ni mbunge na ni Naibu waziri,mke wa kikwete ni Viti maalum ila chalinze nzima kuna matatizo kibao hasa ya Maji.
Watu wasiojulikana.Unaumiza kichwa chako bure
Wanaomchukia Magufuli ni wale mafisadi, wezi, wazembe waliokuwa wanatumbuliwa, vyeti fake na CHADEMA
Lakini raia wema wote ni vipenzi wa Magufuli
Lakini raia wema wote walikuwa k
We nawe umenaswa na huo mtego... ukiulizwa JPM alimpiga risasi akwelina utajibu nini?Lakini ni za kweli.
Nakazia hapa📌🔨Ulitaka yeye ndio akaue kwa mikono yake?? Uko na very poor reasoning capacity
if there is a commission created (I don't know who appointed it?) let it come with facts and not gossip. This is the highest level of nonsense.Ushahidi wa mazingira na demeanor ya mwendazake uko abundantly.
Amini usiamini kama Nchi/serikali ingeamua kuweka tume huru ya kuchunguza na kutoa ripoti, Huyo Mtu amefanya ukatili wa ajabu sana. Alijificha tu kwenye miradi na show off za kuhadaa watu, Lakini alikuwa na ajenda ya kishetani dhidi ya watanzania Fulani.
Kama ulianzisha tume ya makinikia ulishindwaje kuunda tume ya kupotea na kuuawa kikatili kwa Wananchi wako tena katika kipindndi chako?
Pesa za Plea bargaining kama kweli zilikiwq Zina Nia njema, kwanini zikafichwe Nje ya Nchi?
Tuache mengine kama matumizi ya kibabe (mf ununuzi wa ndege) na kesi za uzushi Ili kuangamiza Binadamu wenzio.
Wewe unayetetea hayajakukuta tu, mshukuru MUNGU maana na Wewe Iko siku ungefikiwa!
Ni mpuuzi tu kama huyu niliye mkoti hapa anaweza kutetea!
Ushahidi upo sana ndiyo maana yuko motoni sasa hiviKumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;
1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.
2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?
3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.
4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Vp yule mama wa Sumbawanga aliyechaguliwa na mama.?
5. Watumishi walinyimwa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka iliyowekwa kisheria na kupanda madarajaKumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;
1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.
2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?
3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.
4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Kwani uongo??Nani alimpiga risasi Aquilina?Maaskari kwa amri ya Amir Jeshi Mkuu wa wakati huo Jpm.We nawe umenaswa na huo mtego... ukiulizwa JPM alimpiga risasi akwelina utajibu nini?
Kwa hiyo wewe ni shetani ndo maana umemuona motoni?Ushahidi upo sana ndiyo maana yuko motoni sasa hivi
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Unauhakika gani ilikuwa ni askari wetu ikiwa huma ushahidi usitia shaka laa kimya ni uzushi huo.Kwani uongo??Nani alimpiga risasi Aquilina?Maaskari kwa amri ya Amir Jeshi Mkuu wa wakati huo Jpm.
Ushahidi anao aliyekalia kiti baada ya huyo ibilisi kutoweshwa duniani, ndio maana tulioibiwa mamilioni yetu kwenye maduka ya kubadili pesa za kigeni kwa mtutu wa bunduki, tumeanza "kufutwa machozi".Wakiweka ushahidi hapa naomba ni tag maan humu ndani mafisadi wengi sana walishughulikiwa ipasavyo,
Ndo mana kweny mada kama hizi wanaropokwa matusi badala ya ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiseh kwa hyo na ww uliibiwa?Ushahidi anao aliyekalia kiti baada ya huyo ibilisi kutoweshwa duniani, ndio maana tulioibiwa mamilioni yetu kwenye maduka ya kubadili pesa za kigeni kwa mtutu wa bunduki, tumeanza "kufutwa machozi".
Wewe ni mjinga usiyejielewa Kosa la jinai ni nini?Kosa lolote la Jinai linapojitokeza hadharani na Serikali ikakaa kimya bila utaratibu wowote ea Serikali kulishughulikia basi tambua Serikali inahusika 100% bila ushahidi wowote.Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni kosa la Jinai na wala si la madai kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.Inasikitisha unapojifanya kipofu na kiziwi kwa mambo yaliyotendeka bayana tena bila kificho enzi Rais Magufuri akiwa Madarakani na Job Ndugai Spika wa Bunge wakati ule,hata Mahakama zilikuwepo wakati huo wa Magufuri,Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwepo wakati huo,je ni hatua gani stahiki zilichukuliwa na serikali yetu ya Tanzania zaidi ya kumvua Tundu Lissu majeruhi ubunge?Unauhakika gani ilikuwa ni askari wetu ikiwa huma ushahidi usitia shaka laa kimya ni uzushi huo.
Kwanini zisichukuliwe na zimewekwa benki gani? Leta ushahidi nikafungue kesi za kurudisha hizo trillionHilo halitatokea. Ila kwa Tsh 1.5 Trillion ni dhahiri zililiwa na ndiyo sababu Serikali kilishindwa kuzi account na kutoa maelezo ya uongo eti Billion 250 zilipelekwa Zanzibar huku wakijua kabisa siyo kweli.