Je, kuna ushahidi Hayati Magufuli alimuua nani, aliiba nini na alimpora nani hela?

Wahenga walisemaakili ni nywele kila MTU anazake.
Huyo anafikiri Idd Amin alivyoitwa muuaji au Putin anavyoitwa muuaji anadhani Putin ndio yupo Huko Ukraine anafanya hayo mauaji.

Hizo ndio Akili za Ndugu zetu. Tuende nao hivyohivyo
Hahahahaha umeweka vyema sana
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Unaumiza kichwa chako bure

Wanaomchukia Magufuli ni wale mafisadi, wezi, wazembe waliokuwa wanatumbuliwa, vyeti fake na CHADEMA

Lakini raia wema wote ni vipenzi wa Magufuli

Lakini raia wema wote walikuwa k
 
Tundu aliambiwa na polisi amlete dereva atajiwe aliyempiga risasi hadi Tundu kamficha dereva
Hivi kazi ya polisi ni kumtaja muuaji au kumkamata na kumfikisha mahakamani Ili Sheria ifuate mkondo wake?!!!
Hao polisi wamechukua hatua gani dhidi ya huyo mhalifu aliyepiga mtu risasi kwa nia ya kuua?
 
Ulitaka yeye ndio akaue kwa mikono yake?? Uko na very poor reasoning capacity
Huyo jamaa likuwa shegani mkubwa. Asante Mungu kwa kutupatia zawadi March 17, 2021 (ingawaje inasadikika alikata umeme tangu March 9!)
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
1. 1.5T ,Plea bargain China
2. Ben Saanane .Lissu assasination attempt.
3. Bureau De Change.
4. "Hauwezi kuniambia mimi hivyo" ,"serikali yangu","kikwete una huruma ingekuwa mimi nusu yao wangepotea"
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Ukweli sikutaka kukujibu lakini ni swali la ajabu sana! Mkuu wa Nchi akifumbia mambo macho au kushabikia moja kwa moja anahusika 100%
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

1.5 trillion hakuwahi kusema chochote na alikandamiza hii hoja!
Sasa hivi tunapata ukweli zaidi baada ya kuonekana account huko china.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?
hivi aliwahi kusemea viroba vya binadamu waliookotwa beach?
Hivi aliwahi kuruhusu uchunguzi wa kupotea kwa watu kama Ben saanane ?
Hivi aliwahi kuruhusu uchunguzi wa mbunge aliyekuwa akimpinga kupigwa risasi 38?
Tafakari jijibu mwenyewe!

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.
Hivi kuna ushahidi aliwahi kukemea vitendo vya vijana wake akina Bashite kuhusu kukwapua magari na Nyumba za watu kama kina GSM?
Hivi ule uporaji wa fedha bank binafsi za watu uliwahi kutolewa maelezo?

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina
la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.

Hivi ni kwa katiba ipi alikataza mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa?
Ukweli nina mengi mno!
 
Hapa hakuiba wala kufanya ufisadi alichokifanya alipendelea tu nyumbani kwake,kitu ambacho kwangu ni kizuri,Mana unapopata nafasi jenga kwanza Nyumbani.
Msiba wa mkapa tulipoenda Lupaso hakukuwa na nyumba ya maana ingawa alikuwa Rais wa jamuhuri kwa Miaka 10.
Hapa ushahidi wa wizi hakuna....mana kuna baadhi ya miradi Aliiacha chato na inasonga.
Kikwete alikuwa Rais,mwanae ni mbunge na ni Naibu waziri,mke wa kikwete ni Viti maalum ila chalinze nzima kuna matatizo kibao hasa ya Maji.

Unaumiza kichwa chako bure

Wanaomchukia Magufuli ni wale mafisadi, wezi, wazembe waliokuwa wanatumbuliwa, vyeti fake na CHADEMA

Lakini raia wema wote ni vipenzi wa Magufuli

Lakini raia wema wote walikuwa k
Watu wasiojulikana.
 
Ushahidi wa mazingira na demeanor ya mwendazake uko abundantly.
Amini usiamini kama Nchi/serikali ingeamua kuweka tume huru ya kuchunguza na kutoa ripoti, Huyo Mtu amefanya ukatili wa ajabu sana. Alijificha tu kwenye miradi na show off za kuhadaa watu, Lakini alikuwa na ajenda ya kishetani dhidi ya watanzania Fulani.

Kama ulianzisha tume ya makinikia ulishindwaje kuunda tume ya kupotea na kuuawa kikatili kwa Wananchi wako tena katika kipindndi chako?

Pesa za Plea bargaining kama kweli zilikiwq Zina Nia njema, kwanini zikafichwe Nje ya Nchi?
Tuache mengine kama matumizi ya kibabe (mf ununuzi wa ndege) na kesi za uzushi Ili kuangamiza Binadamu wenzio.

Wewe unayetetea hayajakukuta tu, mshukuru MUNGU maana na Wewe Iko siku ungefikiwa!

Ni mpuuzi tu kama huyu niliye mkoti hapa anaweza kutetea!
if there is a commission created (I don't know who appointed it?) let it come with facts and not gossip. This is the highest level of nonsense.
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
Ushahidi upo sana ndiyo maana yuko motoni sasa hivi

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Kumekuwa na kelele nyingi sana kuhusu Hayati Rais Magufuli, nataka ushahidi wa haya niliyoyasikia;

1. Ufisadi/Mwizi - Nataka kujua Hayati Magufuli alifisadi nini au aliiba nini na je kuna mahali amewekeza hizo pesa alizo fisadi, mwenye uelewa na hili aliweke hapa kwa uzuri kabisa wengine tuelewe.

2. Muuaji/Shetani - Je, alimuua nani?

3. Alipora mali za watu - Je, alipora mali za kina nani na kwa njia gani? Tafadhali iwe in detail ili tupate kuelewa kwa pamoja na tusipige kelele, ikiwezekana kama kuna ushahidi tuweke.

4. Dikteta uchwara - Je, udikteta wake ni upi? Tuwekane sawa ili tujue kwa undani, maana kuna watu ukitaja jina la Magufuli wanaweza kukuzaba kibao.
5. Watumishi walinyimwa nyongeza ya mshahara ya kila mwaka iliyowekwa kisheria na kupanda madaraja
 
Wakiweka ushahidi hapa naomba ni tag maan humu ndani mafisadi wengi sana walishughulikiwa ipasavyo,
Ndo mana kweny mada kama hizi wanaropokwa matusi badala ya ushahidi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Ushahidi anao aliyekalia kiti baada ya huyo ibilisi kutoweshwa duniani, ndio maana tulioibiwa mamilioni yetu kwenye maduka ya kubadili pesa za kigeni kwa mtutu wa bunduki, tumeanza "kufutwa machozi".
 
Aiseh kwa hyo na ww uliibiwa?
Tueleze ilikuaje
 
Unauhakika gani ilikuwa ni askari wetu ikiwa huma ushahidi usitia shaka laa kimya ni uzushi huo.
Wewe ni mjinga usiyejielewa Kosa la jinai ni nini?Kosa lolote la Jinai linapojitokeza hadharani na Serikali ikakaa kimya bila utaratibu wowote ea Serikali kulishughulikia basi tambua Serikali inahusika 100% bila ushahidi wowote.Tukio la kupigwa risasi Tundu Lissu ni kosa la Jinai na wala si la madai kwa mujibu wa sheria za nchi yetu.Inasikitisha unapojifanya kipofu na kiziwi kwa mambo yaliyotendeka bayana tena bila kificho enzi Rais Magufuri akiwa Madarakani na Job Ndugai Spika wa Bunge wakati ule,hata Mahakama zilikuwepo wakati huo wa Magufuri,Vyombo vya ulinzi na usalama vilikuwepo wakati huo,je ni hatua gani stahiki zilichukuliwa na serikali yetu ya Tanzania zaidi ya kumvua Tundu Lissu majeruhi ubunge?
 
Hilo halitatokea. Ila kwa Tsh 1.5 Trillion ni dhahiri zililiwa na ndiyo sababu Serikali kilishindwa kuzi account na kutoa maelezo ya uongo eti Billion 250 zilipelekwa Zanzibar huku wakijua kabisa siyo kweli.
Kwanini zisichukuliwe na zimewekwa benki gani? Leta ushahidi nikafungue kesi za kurudisha hizo trillion
 
Back
Top Bottom