Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

Je kuna waandishi au vyombo vya habari vimelipwa kuichafua ARUSHA kabla ya AFCON??

funaku

JF-Expert Member
Joined
Oct 12, 2011
Posts
39,468
Reaction score
31,952
Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu.

Wizara ya Habari ,TCRA na vyombo vyote husika vifuatilie trend hii ya wanaojiita wanahabari ...usije kushangaa wamelipwa kuhujumu mji huu muhimu kwa utalii Nchini.

Ni hayo tu kutoka pande za OLOLOO!

KWA HISANI YA MTU WA CHUGA!!
 
Tuache kuongelea ubinadamu tuongelee barabara na majengo mkuu?Kuna msiba kwako tukifika tuongelee nyumba na magari yako na si kuomboleza?Jamii kwanza,kwenye hilo hakuna aliyeihujumu Afcon.Ajali,mauaji,vifo,mienendo mibaya ya vijana ni lazima viripotiwe jamii ijifunze.Maendeleo ya vitu bila utu si maendeleo.Jamii yenye furaha kwanza.
 
Wizara ya Habari ,TCRA na vyombo vyote husika vifuatilie trend hii ya wanaojiita wanahabari ...usije kushangaa wamelipwa kuhujumu mji huu muhimu kwa utalii Nchini.
Mbona ni kama wewe ndo umenunuliwa kufanya upotoshaji humu??

Utu na uhai wa wananchi inapaswa kuwa kipaumbele..

Kuibuka kwa Kesi za Ugaidi Tanzania; Ni Mkakati wa Usalama au Mwelekeo Mpya wa Kisiasa? | JamiiForums Tanzania Kuibuka kwa Kesi za Ugaidi Tanzania; Ni Mkakati wa Usalama au Mwelekeo Mpya wa Kisiasa?

PostGE2025 - Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii | JamiiForums Tanzania PostGE2025 - Video zaidi ya 300 za mauaji yaliyofanywa wakati wa uchaguzi zimewekwa kwenye google drive: Pitia link hii
 
Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu.

Wizara ya Habari ,TCRA na vyombo vyote husika vifuatilie trend hii ya wanaojiita wanahabari ...usije kushangaa wamelipwa kuhujumu mji huu muhimu kwa utalii Nchini.

Ni hayo tu kutoka pande za OLOLOO!

KWA HISANI YA MTU WA CHUGA!!
Huwa inachekesha sana kwamba kila mtu analipwa kuchafua jambo fulani la serikali kumbe ni wao wenyewe wanavurunda halaf wanategemea watu wakae kimya kwa kutumia nguvu
 
Sioni dalili ya AFCON kufanyika kwenye hii ardhi ya utawala wa kizimkazi ni suala la muda tu,na sijui hizo gharama za kujenga na kurekebisha viwanja mtazifidia wapi
YU BERA WOCHI YUA BAKI
 
Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko..
Kama timu chawa wa mama mnaendelea kuteka na kuuwa wananchi unataka waongelee mambo gani ambayo ni muhimu kuzidi uhai wa watu??

Kuna huyu mwenzenu alisema Rachel mmemteka tayari na yupo kwenye "mikono salama", nasikia tayari mmeshamuua !!

Rachel Dangwa yuko 'kwenye Mikono Salama' | JamiiForums Tanzania https://www.jamiiforums.com/threads/rachel-dangwa-yuko-kwenye-mikono-salama.2460187/
 
Back
Top Bottom