Mbona ni kama wewe ndo umenunuliwa kufanya upotoshaji humu??Wizara ya Habari ,TCRA na vyombo vyote husika vifuatilie trend hii ya wanaojiita wanahabari ...usije kushangaa wamelipwa kuhujumu mji huu muhimu kwa utalii Nchini.
Huwa inachekesha sana kwamba kila mtu analipwa kuchafua jambo fulani la serikali kumbe ni wao wenyewe wanavurunda halaf wanategemea watu wakae kimya kwa kutumia nguvuRejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko ambayo ni mengi kuliko haya yanayopewa kipaumbele na yenye kuumiza saikolojia ya binadamu.
Wizara ya Habari ,TCRA na vyombo vyote husika vifuatilie trend hii ya wanaojiita wanahabari ...usije kushangaa wamelipwa kuhujumu mji huu muhimu kwa utalii Nchini.
Ni hayo tu kutoka pande za OLOLOO!
KWA HISANI YA MTU WA CHUGA!!
Kama timu chawa wa mama mnaendelea kuteka na kuuwa wananchi unataka waongelee mambo gani ambayo ni muhimu kuzidi uhai wa watu??Rejea aina ya habari kutoka kwa waandishi feki wa mitandaoni kila wanapotoa taarifa kuhusu mkoa wa Arusha huongelea mauaji tu husikii habari za matukio mazuri yanayotokea huko..