Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

Nyuma ya hayo unayo yaona kuna mashaka makubwa na hofu juu ja kifo cha jpm ..walio furahia kifo hicho wana hofu kubwa ya maisha yao kutokana na hicho kifo hiyo ndiyo sababu ....majuzi mzee wa ccm kule zanzibar katekwa na kuumizwa vibaya na watu wanao mchukia jpm kwa sababu kataja jina la magufuli kwa kulisifia ...niliwahi kuwaambia wapinzani wa tz kuwa wasifikili kuwa jpm kufa kwake kutafungua mlango wa demokrasia !!bila ya kujua kifo cha jpm kina mkono wa mtu au la hawa kunielewa lakini baada ya kuonja joto ya jiwe sasa wameona isiwe tabu wamekubali kulamba asali tu...hakina mbowe na kujiunga kwenye vita ya kupigana na MAREHEMU ,,VITA AMBAYO TEAM SA100 AMBAYO NI KIKUNDI KIOVU CHA MSOGA NA WAARABU MAFISADI KINA PENDA HIYO VITA wao kwao kipaumbele chao cha kwanza 1 na cha 2 na cha 3 ni vita dhidi ya MAREHEMU.
Kwa samia vita vya kiuchumi na vita vya ufisadi siyo kipaumbele chake hata kidogo ...na hii ndiyo sababu watz wenye akili tuna muona NI MPUMBAVU KAMILI
 
Vipi nguvu kubwa ya kumponda kila asubuhi, mchana, alasiri, jioni, usiku, usiku wa manane na alfajiri unaizungumziaje mdau?!!!!
Anapondwa kwa kukosa akili ya kiuongozi hata mtoto mwenye miaka 8 anaweza kutumia akili kubwa kuliko huyo ajuza zuzu na mpumbavuu namba moja tz
 
Kwani katiba mpya ni roboti kwamba itajiendesha tu.? Kwamba watawala wakikata kukunja kushoto yenyewe itawafosi wakunje kushoto kama wanavyotakiwa? Ni lipi jrma lililopo kwenye katiba hii ya sasa ulilolisimamia hata kwa kuitisha maandamano au press conference?

Unadhani hata ukiwekewa yale unayoyataka wewe kwenye katiba mpya, bilakutumia nguvu mbadala yatasimamiwa.? Kwa afrika hii yenye watu wenye njaa ni ngumu kudhania katiba mpya ndio itakupa suluhisho. Wako wapi kina Mbowe.?
 

Hizi sifa za kijinga ziliasisiwa na kushika kasi kipindi cha Magufuli. Hawa wanaosifia sasa, bado wako kwenye hangover ya utawala ule wa Magufuli.
 
Naunga mkono hoja, zisisifiwe hotuba, ahadi na maneno bali sifa ziende kwa vitendo vinavyofanyika, na matokeo chanya, yaani don't praise the promises, praise the results.
p
Du wewe mayala nani kakuazima akili siku ya leo ?[emoji849][emoji849][emoji849]mimi siungi mkono utapeli ila leo nadiliki kusema huyo aliye kuazima hizo akili usimrudishie akikataa kukuuzia bora umtapeli tu ..ili ubakinazo ..kwamara ya kwanza nimeona akili kwenye bichwa lako maana bichwa lako lilikuwa kama dustbin [emoji1005] la makaratasi yenye maneno mengi ila ni uchafu tu
 
Wewe bure kabisa kichwani Chawa mkubwa kabisa nawewe unatafuta kuchaguliwa
Umesoma alicho sema ukamwelewa maana ulicho andika kinapingana na ulicho mshutumu Pascal Mayalla njoo huone watu wako walio kuwa wanakuunga mkono wakati ulipokuwa hauna ubongo ...sasa hapo ndiyo uamini kuwa ulikuwa hauna ubongo tofauti na leo[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Mbona jpm ndo alikuwa anapenda kuabudiwa na kusifiwa mpaka akaanzisha kipindi Cha kishindo Cha jpm kupia tbc. Gazet au chombo Cha habari kisichomsifu tu kinafinguwa mfano Tanzania daima, mwanahalisi nk
 
Hizi sifa za kijinga ziliasisiwa na kushika kasi kipindi cha Magufuli. Hawa wanaosifia sasa, bado wako kwenye hangover ya utawala ule wa Magufuli.
Jpm alisifiwa hadi nje ya nchi usitake kutudanganya ina maana ccm ya jpm ilikuwa hadi huko nje ..kumbuka jpm alipo wasili uwanjani south afrika alivyo shangiliwa hadi vyombo vya habari vya huko vikashangaa
 
Unaweza kukuta tatizo namba moja ni huyo rais ndio maana anapenda kusifiwa.

Kama rais ana uwezo mdogo, ni lazima apende kusifiwa ili afiche udhaifu wake.

Matokeo yake unakuta chain ya wenye uwezo mdogo wanatake advantage ya kuficha uwezo wao mdogo.
Uzi huu ufungwe kwani comment hii imejibu na mpaka maswali ya nyongeza.
 
Mkuu wengi tutakuelewa haijalishi negatively au positively, Ninachokiona uzi wako umebeba ujumbe mzito sana.
 
Jpm alisifiwa hadi nje ya nchi usitake kutudanganya ina maana ccm ya jpm ilikuwa hadi huko nje ..kumbuka jpm alipo wasili uwangani south afrika alivyo shangiliwa hadi vyombo vya habari vya huko vikashangaa
Mkuu mambo kama hayo yanafichwa kwa masirahi binafsi ya wengine lakini ukweli ni kwamba Jpm kila alipowasili somewhere hata kama watu wasingeshangilia mawe yangeshangilia.
 
Jpm alisifiwa hadi nje ya nchi usitake kutudanganya ina maana ccm ya jpm ilikuwa hadi huko nje ..kumbuka jpm alipo wasili uwangani south afrika alivyo shangiliwa hadi vyombo vya habari vya huko vikashangaa

Nimecheka kwa nguvu, kweli nimeamini nyie wajinga itachukua muda kumalizika.
 
Haya ni matokeo ya kuchagua na kuteua viongozi bila utaratibu na sifa zinazoeleweka zaidi ya wale wanaosifu na kuabudu.
Ni uthibitisho wa uwepo wa ujinga na uzuzu kwa kiwango kikubwa.
Watu wenye akili wanajua kuwa Rais yupo, anachapa kazi, serikali ipo na wao wanaendelea na shughuli zao kama biashara, kilimo na njia nyingine za uzalishaji.
Wale chawa (kama wanavyofahamika siku hizi), ambao kiukweli hawafai kuchaguliwa au kuteuliwa ndiyo hao wanaosifu na kuabudu.
Hata hivyo, kwa bahati mbaya sana, mfumo wa kupata viongozi unatumia zaidi uchawa na matokeo yake ndiyo haya.
Kwa mfano tu, wakuu wa wilaya na wakurugenzi wanatakiwa wawe watumishi wazoefu, wanaoijua jamii vilivyo lakini wanateuliwa hata malimbukeni kutoka kwenye kundi la chawa.
 
Sifa zinawaharibu sn
Ila na wao wawe wakali Sasa kukataa hizo sifa badala yake wasifuji waambiwe watoe matokeo ya nini kimefanyika na kinaonekana siyo uongouongo na nini kikifanyika sehemu husika kitatatua changamoto za eneo, ila Sasa mtu anasifu weweee kama vile malaika anamsifu Mungu na kumbe kutoka moyoni anazomea Ili unayesifiwa upite sehemu husika na matokeo ya kweli hayapo kinachobaki unaonekana tapeli na unashirikiana na msifiaji kutapeli watu.
 
Hizi sifa za kijinga ziliasisiwa na kushika kasi kipindi cha Magufuli. Hawa wanaosifia sasa, bado wako kwenye hangover ya utawala ule wa Magufuli.
Ila JPM alikuwa mjanja bwana Kuna watu walimsifu na aliwaweka pembeni na kingine alitoka mwenyewe kufungua miradi kuhakikisha kama kweli imefanyika na ubora wake japo wasifiaji walikuwa wanampamba vitu vipo ila hakukubali kubeba sifa bila kuhakikisha kama kweli kitu kimefanyika.
 
Nimecheka kwa nguvu, kweli nimeamini nyie wajinga itachukua muda kumalizika.
Mhukumu mtu kwa mabaya yake Ila na mazuri yake yakubali pia, huo ndo usitaraabu wa mtu mwenye hekima, mabaya yatakuwa fundisho kwamba hayafai kuwepo na mazuri yatakuwa fundisho kwamba yanafaa kuwepo.
 
Wewe mwenyewe ndiye mwenye matatizo kwa kushindwa kwako kuona kuwa hao watu wanafanya kazi waliyotumwa waifanye.

Huyo unayemtoa kwenye mpango huo ndiye mwenye kazi yake.
Sasa ninakuliza, kwa nini uzunguke kote huko, ukijua mwenye kazi ni nani?

Inaonekana nawe unajivisha uchawa kivyako tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…