Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Nyuma ya hayo unayo yaona kuna mashaka makubwa na hofu juu ja kifo cha jpm ..walio furahia kifo hicho wana hofu kubwa ya maisha yao kutokana na hicho kifo hiyo ndiyo sababu ....majuzi mzee wa ccm kule zanzibar katekwa na kuumizwa vibaya na watu wanao mchukia jpm kwa sababu kataja jina la magufuli kwa kulisifia ...niliwahi kuwaambia wapinzani wa tz kuwa wasifikili kuwa jpm kufa kwake kutafungua mlango wa demokrasia !!bila ya kujua kifo cha jpm kina mkono wa mtu au la hawa kunielewa lakini baada ya kuonja joto ya jiwe sasa wameona isiwe tabu wamekubali kulamba asali tu...hakina mbowe na kujiunga kwenye vita ya kupigana na MAREHEMU ,,VITA AMBAYO TEAM SA100 AMBAYO NI KIKUNDI KIOVU CHA MSOGA NA WAARABU MAFISADI KINA PENDA HIYO VITA wao kwao kipaumbele chao cha kwanza 1 na cha 2 na cha 3 ni vita dhidi ya MAREHEMU.Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania
Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali wanachowaza kutumpaka mafuta Ili wateuliwe Tena na Tena. Wengi wa wanaokesha wakiimba Wana imani na Mhe. RAIS ni wale Watu ambao siyo wabunifu, siyo wachapa kazi, siyo viongozi wenye ueledi wala uwezo wakutenda Bali ni wale Watu wa bla bla.
Kitendo Cha Watu wasioweza kufikiri kukesha kusifu kunamfanya RAIS aonekane kama labda ameanza kampeni nje ya muda au Bado anao wapinzani wengi ambao hata kama watadhibitiwa ndani ya chama chake Bado Wana nguvu kubwa ya kumwkwamisha wakiowemo waombaji Hawa.
Kama Mhe. RAIS anataka kugombea 2025 ni lazima kuanzia Sasa aweke mbele Watu waliopo serious, apange safu ya Watu serious, afanye tathimini ya Hawa wanaomsifu je lengo lao ni madaraka au ni kweli wanazungumza kutoka moyoni, ajiuize mtangulizi wake si alisifiwa? Je Leo waliomsifu wapo naye kiroho?
Kiongozi Makini Kwa Karne ya dot com na utandawazi lazima awekeze Kufanya kazi na Watu productive katika Kila sekta kujiimarisha kupitia huduma Kwa Umma. Watu wanaipiga makofi Bungeni kuanzia hotuba inaanza Hadi inaisha si Watu wakuwaaminj Kwa sababu hata huko majimboni bila dola hakuna ushindi kwao. Mhe. RAIS change strategy,biashara ya kusifiwa imepitwa na wakati, piga marudfuku
Kwa samia vita vya kiuchumi na vita vya ufisadi siyo kipaumbele chake hata kidogo ...na hii ndiyo sababu watz wenye akili tuna muona NI MPUMBAVU KAMILI