Je, Kuna watu wasio na Imani na Rais? Mbona nguvu kubwa inatumika kuwaaminisha Watu mazuri yake? Wanaomsifu wana Iman naye?

Beatrice Kamugisha

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2019
Posts
762
Reaction score
6,984
Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania

Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali wanachowaza kutumpaka mafuta Ili wateuliwe Tena na Tena. Wengi wa wanaokesha wakiimba Wana imani na Mhe. RAIS ni wale Watu ambao siyo wabunifu, siyo wachapa kazi, siyo viongozi wenye ueledi wala uwezo wakutenda Bali ni wale Watu wa bla bla.

Kitendo Cha Watu wasioweza kufikiri kukesha kusifu kunamfanya RAIS aonekane kama labda ameanza kampeni nje ya muda au Bado anao wapinzani wengi ambao hata kama watadhibitiwa ndani ya chama chake Bado Wana nguvu kubwa ya kumwkwamisha wakiowemo waombaji Hawa.

Kama Mhe. RAIS anataka kugombea 2025 ni lazima kuanzia Sasa aweke mbele Watu waliopo serious, apange safu ya Watu serious, afanye tathimini ya Hawa wanaomsifu je lengo lao ni madaraka au ni kweli wanazungumza kutoka moyoni, ajiuize mtangulizi wake si alisifiwa? Je Leo waliomsifu wapo naye kiroho?

Kiongozi Makini Kwa Karne ya dot com na utandawazi lazima awekeze Kufanya kazi na Watu productive katika Kila sekta kujiimarisha kupitia huduma Kwa Umma. Watu wanaipiga makofi Bungeni kuanzia hotuba inaanza Hadi inaisha si Watu wakuwaaminj Kwa sababu hata huko majimboni bila dola hakuna ushindi kwao. Mhe. RAIS change strategy, biashara ya kusifiwa imepitwa na wakati, piga marudfuku
 
Unaweza kukuta tatizo namba moja ni huyo rais ndio maana anapenda kusifiwa.

Kama rais ana uwezo mdogo, ni lazima apende kusifiwa ili afiche udhaifu wake.

Matokeo yake unakuta chain ya wenye uwezo mdogo wanatake advantage ya kuficha uwezo wao mdogo.
 
Sintochoka kurejea maandiko matakatifu Mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.[/B]

Kwa maana hiyo msaidizi anabaki kuwa msaidizi tu kwa mawazo na matendo. Kamwe hawezi kuwa na maamuzi yake na kama anayo ni ya ushauri siyo ya kutekelezwa.

Hivyo basi, Rais aliyeko madarakani sifa anazopewa zinamlemaza kwa kuwa ameumbwa kuwa msaidizi na si kiongozi
 
Naunga mkono hoja, zisisifiwe hotuba, ahadi na maneno bali sifa ziende kwa vitendo vinavyofanyika, na matokeo chanya, yaani don't praise the promises, praise the results.
p
Halafu mambo ya kusifia ahadi tulishasahau.

Hapa tuliambiwa kuna pesa zimetolewa vinajengwa vituo zaidi ya 300 vya afya hadi sasa hatujaona hata msingi.
 
Wewe bure kabisa kichwani Chawa mkubwa kabisa nawewe unatafuta kuchaguliwa
Mimi ni Mtanzania, nimewaona viongozi wetu wa baadhi ya mihimili na udhaifu wao, nikaona wanahitaji kusaidiwa, nikajipima uwezo wangu wa kusaidia na kujilinganisha na baadhi ya waliopo, nikaona naweza kusaidia, na hoja zangu kwanini nagombea, nikaziweka mezani
nikajaza fomu nikaomba kuteuliwa, nikajipatia kura moko.
Nikarejea humu kukubali matokeo Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe! na nikasema wazi CCM inakosa baadhi ya viongozi wazuri kwasababu za kijinga sana za watu wanaoitwa wajumbe! Uchaguzi 2020 - Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...
P
 
Kama wewe ungemsaidia nini jpm?Mbona nawe ni walewale!Mlisifia JKNHP,SGR na madaraja kama Tanzanite,Busisi/Kigongo;Vipi hadi sasa matokeo?
Nchi hii inahitaji Katiba Mpya ya Wananchi na siyo sifa za chama wala za Mwenyekiti.Mifumo yetu inaruhusu upuuzi wowote kufanyika ndani ya ofisi za umma na isiwe issue kwa wahusika.
Tunahitaji Katiba Mpya.
 
Fuatilia siasa za nchi mbalimbali Duniani, RAIS wa nchi anapokuwa katika miaka ya uongozi ambayo siyo ya uchaguzi uwezi kusikia kusifu na kumwabudu Kama ilivyo Tanzania

Hali inayoendelea nchini Kwetu inafanya baadhi ya Watu kuhoji labda wanaosema Wana imani na RAIS hawana Imani naye Bali wanachowaza kutumpaka mafuta Ili wateuliwe Tena na Tena. Wengi wa wanaokesha wakiimba Wana imani na Mhe. RAIS ni wale Watu ambao siyo wabunifu, siyo wachapa kazi, siyo viongozi wenye ueledi wala uwezo wakutenda Bali ni wale Watu wa bla bla.

Kitendo Cha Watu wasioweza kufikiri kukesha kusifu kunamfanya RAIS aonekane kama labda ameanza kampeni nje ya muda au Bado anao wapinzani wengi ambao hata kama watadhibitiwa ndani ya chama chake Bado Wana nguvu kubwa ya kumwkwamisha wakiowemo waombaji Hawa.

Kama Mhe. RAIS anataka kugombea 2025 ni lazima kuanzia Sasa aweke mbele Watu waliopo serious, apange safu ya Watu serious, afanye tathimini ya Hawa wanaomsifu je lengo lao ni madaraka au ni kweli wanazungumza kutoka moyoni, ajiuize mtangulizi wake si alisifiwa? Je Leo waliomsifu wapo naye kiroho?

Kiongozi Makini Kwa Karne ya dot com na utandawazi lazima awekeze Kufanya kazi na Watu productive katika Kila sekta kujiimarisha kupitia huduma Kwa Umma. Watu wanaipiga makofi Bungeni kuanzia hotuba inaanza Hadi inaisha si Watu wakuwaaminj Kwa sababu hata huko majimboni bila dola hakuna ushindi kwao. Mhe. RAIS change strategy,biashara ya kusifiwa imepitwa na wakati, piga marudfuku
Ukweli hawana imani naye maana wengi wanampaka mafuta awateue basi
 
Mimi ni Mtanzania, nimewaona viongozi wetu wa baadhi ya mihimili na udhaifu wao, nikaona wanahitaji kusaidiwa, nikajipima uwezo wangu wa kusaidia na kujilinganisha na baadhi ya waliopo, nikaona naweza kusaidia, na hoja zangu kwanini nagombea, nikaziweka mezani
nikajaza fomu nikaomba kuteuliwa, nikajipatia kura moko.
Nikarejea humu kukubali matokeo Uchaguzi 2020 - Wana JF, nipeni Pole. Msinicheke wala msinibeze; nimegombea ubunge Kawe kupitia CCM nimeambulia kura 1. Ama kweli CCM ina wenyewe! na nikasema wazi CCM inakosa baadhi ya viongozi wazuri kwasababu za kijinga sana za watu wanaoitwa wajumbe! Uchaguzi 2020 - Je, wajua kuna watu wazuri, waadilifu wenye uwezo, wanaotaka kuingia Bungeni kulisaidia Taifa, Bunge na kumsaidia JPM kwa dhati, lakini kwa vile...
P

Bora hawakukuchagua Mkuu Pasco, uko soo biased saa nyingine, ulikua unapinga kina Mdee kufukuzwa lakini juzi Mwana CCM mwenzio tena mtu mzima kapigwa umetulia tuliiii..lol
 
We ni mdumilakuwili hakuna mtu atakuchagua
 
Bora hawakukuchagua Mkuu Pasco, uko soo biased saa nyingine, ulikua unapinga kina Mdee kufukuzwa lakini juzi Mwana CCM mwenzio tena mtu mzima kapigwa umetulia tuliiii..lol
Huyu ni msaka fursa wala hana lolote ndio maana dikteta alimwita njaa na wakati wanafahamiana kumbe muda mrefu sn
 
Sintochoka kurejea maandiko matakatifu Mwanzo 2:18 Bwana Mungu akasema, Si vema huyo mtu awe peke yake, nitamfanyia msaidizi wa kufanana naye.[/B]

Kwa maana hiyo msaidizi anabaki kuwa msaidizi tu kwa mawazo na matendo. Kamwe hawezi kuwa na maamuzi yake na kama anayo ni ya ushauri siyo ya kutekelezwa.

Hivyo basi, Rais aliyeko madarakani sifa anazopewa zinamlemaza kwa kuwa ameumbwa kuwa msaidizi na si kiongozi
Sifa zinawaharibu sn
 
Back
Top Bottom