unaweza ukiwa unamuona mara kwa mara, stori zile zileUnawezaje kumchoka mtu unayempenda?
Mbaga Jr hapa ushatoswa kijanja pole sana mkuuHahaa. Huyo mbona kama ana dalili za majivuno? Sasa akipewa cheo cha Uaskofu itakuwaje?
Yakobo 4:6
“Mungu huwapinga wenye kiburi, huwapendelea wanyenyekevu.”
Ebu cheki ile avatar sio ya kichungaji kabisa ndo mana Setfree kamkimbia kwa kutumia nenoChunga sana kauli zako bwana mdogo, kama huwezi kuzichunga tafuta mchungaji, yaani unathubutu kumwita Tajiri Sina BAYA Mhuni?
Hahahahaha sio wote ni GTKwanini siku hizi JF kuna maswali ambayo majibu yake yapo wazi na yanajulikana?
Kwa hiyo wewe hufanyi mapenzi mkuu? Unafanya nini hapa duniani, Evelyn Salt ameshakuwa bro usimsikilize😅Experience sina, si tulikubaliana Mapenzi yamefutwa Mkuu
Labda 😎Inatumia umeme itakuwa 😂😂
Kenge kabisa anayevuja damu 🤣🤣🤣🤣Mara tatu ni nyingi sana... ukipiga kimoja tu unamwona kama kima.
Inakuwaje sii wanaendelea kugegedana.Najiuliza hawa wanaogegedana sana na wanakuja wanaoana inakuwaje hapo
😀😀hayo nimewaachia nyie, nimekuja duniani kusifu na kuabudu 😅Kwa hiyo wewe hufanyi mapenzi mkuu? Unafanya nini hapa duniani, Evelyn Salt ameshakuwa bro usimsikilize😅
we unajua nini 😁Sijui kwa kweli 🤣
Upendo ni lugha ya maneno na vitendo ukiishia kwenye maneno vinasahaulika.NRNE
Ipo hivi kuna jirani yangu hapa karibia kila siku mpenzi wake anakuja wanapika, wanakula wanalala na kuamka wote labda akisafiri ndiyo mwanamke ataondoka, ila jamaa akirudi mwanamke anakuja naye.
Sasa ninajiuliza hii kuwa wote muda mrefu kwa watu ambao hamjaoana je kunaimarisha mahusiano?
Naombeni majibu na ushuhuda
secretarybird
Nomadix
Tajiri Sina BAYA
Mbaga Jr
Castle_Lite
Sawa mkuuInakuwaje sii wanaendelea kugegedana.
Wewe ni sista endslea na kazi ya kusambaza neno la mungu achana na ngono au maisha ya watu