Nzwangendaba
JF-Expert Member
- Nov 9, 2019
- 518
- 722
Ni njia sahihi kutegemea upo upande gani wa shilingi kwa mfano yeye yupo kwao kwa hiyo hata mkifa mtazaliana tena tutaendelea kukusanya kodi, punda ife mzigo ufike
Njia yoyote inayiyofatwa au itayogundulika hata ya chanjo, ni eventually kuiharakisha "herd immunity" iwe faster.Ukisoma alama za nyakati inawezekana herd immunity ndio mbinu ambayo tumechaguliwa, maana hata mkuu kwenye hotuba yake alisema kwamba "huu ugonjwa baadaye tutajenga immunity". Inawezekana wanaofanya maamuzi wameshatuchagulia namna ya kupambana nao, kwa kuwa wao wao wameshika mpini na sisi tumeshika makali tujiandae kisaikolojia kwa lolote.
Sasa wewe chanjo unayo?Ukiona mtu ana suggest hii njia ya kukabiliana na corona, ujue huyu ni MUUAji WA MAKUSUDI. Herd immunity inatumika kama una chanjo na si vinginevyo! Ukiitumia naturally utamaliza the entire city!
Herd immunity itapatikana ni suala la muda, swali muhimu ni kwa gharama ipi ?Njia yoyote inayiyofatwa au itayogundulika hata ya chanjo, ni eventually kuiharakisha "herd immunity" iwe faster.
Immunity itakuwepo tukitaka tusitake Kwa njia yeyote ile. Hakuna virus anaepiganwa nje ya mfumo wa kuwa na immune nae.
Tusijidanganye.
Huyo ",Mzee mekko" wako hakuna mahali aliposema tunafanya "herd immunity".Hakuna mahali popote hapa duniani mpaka sasa ambapo Herd immunity imeweza kufaa katika Corona. Nina uhakika mzee Meko hajui hata maana ya herd immunity sembuse mantiki.
Ni uwendawazimu kuwaza kichawi halafu ukategemea matokeo ya kisayansi.
Sisi tumeambiwa tujifukize na virusi vitapasuka pasuka kwa mvuke wa joto!
Sikiliza wewe. Herd immunity inatakiwa ifanyike kwa mpangilio. Nchi nyingi za zilizoendelea wanaamini kwenye herd immunity lakini wanachofanya ni kujaribu ku-control kusiwe na wagonjwa wengi wanaohitaji ''tiba'' kwa wakati mmoja.Sasa wewe chanjo unayo?
Kichwa chako kazi Yake Ni kushonea mawigi ...Sweden wanatumia. Hakuna Lockdown Sweden na shule hazijafungwa.
Mimi sina na hakuna chanjo iliyothibitishwa duniani mpaka sasa, kama zipo, basi ninkwenye majaribio tu.Sasa wewe chanjo unayo?
Ukiamua kukubali kupata herd immunity watu wanakufa pia. Au haujui maana ya Herd immunity ?Maana yake unaacha population ipate maambukizi ili baadae wengi wakiambukizwa virus anakuwa hacirculate tena maana wengi wameproduce antibodies.Kichwa chako kazi Yake Ni kushonea mawigi ...
Hiyo Sweden Leo tu Kuna vifo 80+... Na case mpya 1000... Ina jumla ya vifo 2000+...
Halafu chizi Kama wewe unaleta uchizi kwenye Mambo serious. Pumbavu.View attachment 1433726
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi sina na hakuna chanjo iliyothibitishwa duniani mpaka sasa, kama zipo, basi ninkwenye majaribio tu.
Lakini Mimi naitumia tiba mbadala kwa kujikinga na familia yangu na kuihamasisha jamii kujikinga kwa tiba mbadala badala ya kubweteka.
Hakuna "shortcut" ya miili yetu kupambana na kirusi. Kumbuka hilo.
Unajuwa kwanini Corona anaitwa "novel"..."?
Sio kwamba tumewaruhusu, wamejiruhusu, tumekuwa tukiaminishwa kwamba mfumo wetu wa uongozi upo kwa ajili yetu lakini si hivyo, wananchi wapo kwa ajili ya serikali na hata tukifa wengi kama serikali itaendelea kuwepo hamna litakalo haribika nchi itaendelea kuwepo.tusiwaruhusu wa trade maisha yetu kiasi hiki. ndio mana yy kakimbilia chattle afu sisi katuacha tuaskilizia sirens za ambulance tu sio? manake kwasasa mbali na mask mtu unahitaji sound proof gadget kama unaish maeneo jiran na hosp. manake sio kwa hayo makelele ya ambulance