Hujielewi,Sweden wameamua kuacquire Herd immunity. Hakuna Lockdown wala nini. Wameamua watu waugue baadae wakiwa wengi watakuwa wamepata Herd immunity. Muwe mnafikiria basi.Samahani sana, lakini nashindwa kujizuia kukuambia..., 'you're out of your mind', au hata hujui unachoandika hapa.
This is new infectious disease. Ndo maana wanaongelea Herd immunity. Wao wanahisi mtu akishaugua hawezi ugua tena,ama ikitokea kaugua basi itakuwa katoka hali sio kali sana. Ni hypothesis maana mpaka sasa huu ugonjwa unatuletea mpya kila leo.Mbona kipindupindu kila kikija kinatusombwa Kama kawaida au hujui. Tumia kichwa vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Usitake kuwa mjuaji na kuvunga watu na kitu usichokielewa kabisa.Hujielewi,Sweden wameamua kuacquire Herd immunity. Hakuna Lockdown wala nini. Wameamua watu waugue baadae wakiwa wengi watakuwa wamepata Herd immunity. Muwe mnafikiria basi.
Fuatilia habari za kimataifa. Na wamesema wanaelekea kuipata. Kwani hata BoJo alitaka kutumia hii njia sema projection ikaonyesha watakufa watu 500,000 ndo wakaamua kuachana nayo.Usitake kuwa mjuaji na kuvunga watu na kitu usichokielewa kabisa.
Weka 'source' yako hapa, wanaojua kusoma na kuelewa habari kama hizi wakusahihishe ulichoshindwa kukielewa wanachokifanya Sweden, kama kweli kuna la tofauti wanalofanya wao.
Hebu kwanza, ni kama ninakuchanganya na yule 'Victoire' wa siku zote hapa JF, au huyu mwingine?Hujielewi,Sweden wameamua kuacquire Herd immunity. Hakuna Lockdown wala nini. Wameamua watu waugue baadae wakiwa wengi watakuwa wamepata Herd immunity. Muwe mnafikiria basi.
Kama BoJo aliogopa hiyo 500,000, mbona huelezi hao Sweden wamezuia vipi hata 100,000! Huoni kwamba unajichanganya?Fuatilia habari za kimataifa. Na wamesema wanaelekea kuipata. Kwani hata BoJo alitaka kutumia hii njia sema projection ikaonyesha watakufa watu 500,000 ndo wakaamua kuachana nayo.
Wao wanafanya zile basics. Mfano kunawa mikono,social distance. Ila Shule,kazi,usafiri,bar vinafanya kazi. Wana vifo vingi kuliko nchi yeyote hapo Scandinavia. Ila wameamua kujitoa mhaga. Watu wengi waugue ili baadae maambukizi yapungue.Kama BoJo aliogopa hiyo 500,000, mbona huelezi hao Sweden wamezuia vipi hata 100,000! Huoni kwamba unajichanganya?
Wanajuta sasa hivi Waziri Mkuu wao anatamani kuomba wafunge Bar, isitoshe wao hawakufuata hiyo herd immunity shida ilikuwa kushawishi Bunge kuruhusu kuzuia uhuru wa watu maana sheria hiyo haijawahi kutokea kwao toka Dunia imeumbwa, mwisho wa siku wakaruhusu watu wafuate sheria za kujikinga lakini sasa hivi kwa siku 150 + na WanajutaSweden wanatumia. Hakuna Lockdown Sweden na shule hazijafungwa.
Kajitoa mhanga Yesu itakuwa wa Swedish? Tutashangilia kama wameamua "kujitoa mhanga" kwa ajili yetu, au unaonaje?Wao wanafanya zile basics. Mfano kunawa mikono,social distance. Ila Shule,kazi,usafiri,bar vinafanya kazi. Wana vifo vingi kuliko nchi yeyote hapo Scandinavia. Ila wameamua kujitoa mhaga. Watu wengi waugue ili baadae maambukizi yapungue.
Ndo nikasema kwetu Tanzania haitawezekna kutokana mpaka sasa hakuna vaccine na pia nchi yetu mfumo wa huduma ya afya ni uozo mtupu. Hivyo mpaka ujenge hiyo kinga utakuwa umeua raia wengi mno. Mimi naona catastrophe kabisa.
Mimi nitakujibu swali la 2.Mkuu naomba ufafanue maswali yafuatayo.
1. Je, serikali imeweka wazi kwamba imeamua kuacha COVID19 isambae ili kujenga kinga kwa jamii yote? Au intelijensia yako ndo inaonesha serikali imekusudia iwe hivyo?
2. Mbali na chanjo (vaccination program), kuna ugonjwa wowote umewahi kuzuilika/kutokomezwa kwa herd immunity inayotokana na "field infection"?
Ndiyo ninaishi hapa Stockholm.Shahidi ni mimi mwenyewe.Kajitoa mhanga Yesu itakuwa wa Swedish? Tutashangilia kama wameamua "kujitoa mhanga" kwa ajili yetu, au unaonaje?
Una ushahidi na uliyoyaandika au unakisia tu?
Kwa hiyo na wewe ni mhanga wa wa-swede?Ndiyo ninaishi hapa Stockholm.Shahidi ni mimi mwenyewe.
Ndiyo ila nipo mzima wa afya. Nafuata njia zote za kujikinga. Mengine namuachia Mungu.Inshallah tutavuka salama .Kwa hiyo na wewe ni mhanga wa wa-swede?