Je, kutatokea nini Lissu akihukumiwa kunyongwa hadi kufa?

Utakuwa ndiyo Mwanzo wa Ugaidi orijino...
Polisi hakuna atakaye kaa Lindoni salama ..ni kuviziwa na kuchinjwa
 
Si
Si jamaa wameishakomaa kwamba hawakutajwa wala kuandikwa kweney commital, nahisi majaji watasjikilia hapohapo na kuwaondoa kinamna hiyoo
 
Inasikitisha
 
Naona Lissu anapambania watu ambao, hawapo tayari kwa mapambano, wangapi tupo kujitoa kama afanayavyo Lissu ili kurekebisha Taifa ambalo limeshapotea na kudhaurika uso wa dunia
Pangekuwa na watu 50 wenye uchungu na Lissu wangetumia fujo zote kuhakikisha jamaa anakuwa relleased, matokeo yake Lisu anateseka peke yake wakati wengine wanafurahia maisha uraiani.
 
Ex-VP na Ex-PM, na IGP, CDF
 
Husikariri maisha ata MO29 viongozi walipuuza hivi hivi, ogopa mwanadamu, mfano MO29 CCM hisingetumia risasi za moto aisee ikulu ilikuwa inaondoka
Mambo ya kukadiria watu kwa macho huwa yanawagharimu wengi. Mwanadamu ni kiumbe Tata haswa!
 
Anaweza kuhukumiwa kunyongwa hadi kufa......ikapigwa dana dana akiwa ndani... Mara paap ,msamaha wa Rais ...
Sijajua maridhiano itakuwaje
 
Mwenyezi Mungu atuepushe, hilo lisitokee!
 
Mbingu zitakataa kumpokea na milango yote itafungwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…