Dah!....mtu yeyote aliyepata mafunzo ya kiusalama kwa kwenye taasisi husika anawezaa kushika hiyo nafasi kama amekidhi vigezo hata kama ni Daktari, Mwalimu, Mhadhiri, Mhandisi, Mchumi, Mhasibu, Mtaalamu wa Computer, n.kUnamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Bahati mbaya sana unaamini TISS hawapo kwenye Jeshi la Polisi hawa jamaa wako kila sehemu kutegemea na mission aliyopewa kwa wakati huoUnamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Bahati mbaya sana unaamini TISS hawapo kwenye Jeshi la Polisi hawa jamaa wako kila sehemu kutegemea na mission aliyopewa kwa wakati huoUnamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
TISS inaweza ingilia uchaguzi sio kupitisha mgombea ndan ya chamaTISS ilikuwa TISS kweli wakati wa Mwalim. Enzi za Mkapa ilikuwa hovyo kabisa. Iliachia Kikwete na Lowassa wachukuwe uongozi wa nchi kwa kutumia fedha, na wengi wao walinunuliwa wakawa kwenye mtandao.
France kama transit au wanakwenda kuishi huko?
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.
Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.
Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?
Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.
Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.
Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.
Huna clue yoyote, ni bora ungeuliza. Tatizo la wabongo ni ubishi bila kutafakari.TISS inaweza ingilia uchaguzi sio kupitisha mgombea ndan ya chama
Ukishalaaniwa na Jamii wewe ni SAwa na deadman,ogopa Sana jamii isikuhukumuAcha kumsagia kunguni Mtanzania mwenzako.....kama hiyo nafasi haiwezi wewe unaiweza?
Polisi hakuna Tiss? Diwani Msuya ni tiss wa miaka mingi, labda useme lingine. Ila ni lini tuliwahi kuwa na kitengo imara maana haya ni kila mwaka, Kuna kipindi Rashid othman alikua akiandamwa sana kushindwa kudhibiti raia wa kigeni kuingia kwenye majeshi.Unamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Ye ni nani nchi hiiJPM ALIFANYA KAZI NZURI SANA YA KUSAFISHA NA KUONDOA WATU KWENYE MIFUMO.
SASA JITIHADA ZOTE ZINAFANYIKA KURUDISHA MFUMO WA MAJITAKA KAMA MWANZO.
HUYO MAKONDA HATAFANYWA KITU
halina akili hilo,wananchi wanaishi maisha magumu kutokana na kupanda kwa bei za bidhaaa ,gesi n.k...We jamaaa ni kilaxa kweli,unashindwa kuandika matatizo yanayotukumba watanzania kwa wakati huu kama mlipuko wa bei za bidhaa muhimu kwa wananchi na kupanda kwa gharama za maisha,unakuja kulalamikia mambo ya Makonda hapa?
Huu ukweli unatuhusu Watanzania wote.Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )