MINOCYCLINE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2015
- 8,018
- 16,802
- Thread starter
-
- #41
Mad na Nut kama Wewe haunisumbui!!!Tatizo kubwa sana la hii nchi Ni hili wimbi la vijana wengi kubugia POMBE KALI na BANGI.
Muda wote wanaona MARUWERUWE na kuhisi his vitu hata ambavyo HAVIPO.
Bashite akimbie kwa ISSUE gani kubwa hiyo?
Serikali mpaka sasa haijaonesha Nia ya KUMSHTAKI.
Clouds wenyewe ambao ndio WAHUSIKA ( VICTIMS) mpaka sasa wamejiweka pembeni, hawatoi ushirikiano Wala KUHUSIKA kwenye KESI.
Kilichopo Ni KUBENEA KUPIGA SIASA na kuuza vipeperushi vyake tu. Hakuna kitu serious chochote mpaka sasa zaidi ya UPUMBAVU na wapumbavu tu kupata vijiagenda vya kusukumia SIKU mitandaoni.
[emoji1][emoji1][emoji1]Is there any problem with that you Nut?
Hii kauli si njema sana hasa kwa mkuu wa nchi...."Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi"Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Ni kweli Ndugu na hapa hata kama hayuko nasi duniani ila Hayati Rais Dkt. Magufuli nae alikosea sana ila tumeshamsamehe tuliokuwa tukimpenda na Kumuelewa pia.Unamchagua Polisi kuwa DG wa TISS what a joke
Tanzania Investment and Social Services.TISS n'nini?
Do you think that certified Dunce can understand you?Your opinion sir/madam! Lakini wajuzi wanajua changamoto zilizokuwepo enzi hizo kwa nchi za kiafrika na uongozi wake!
Ya Mwinyi ilikaribisha Uswahili na Upuuzi huku ya Kikwete ilikaribisha Ufisadi na Uhuni.Kwa hiyo TISS ya Mzee Mwinyi,mjomba Jakaya ni ya ..!/!/!/!/!
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa Watu wa TISS hasa DG Diwani Athumani Msuya hajui au hana Taarifa za alipo Mwalimu wa Uhalifu, Mateso, Uporaji, Chuki kwa Matajiri, Uvamizu, Mdanganyifu na Msingizia mabaya Watu Paul Christian Makonda ( Daud Albert Bashite )
Rais Samia ulishashauriwa mno Kumuondoa huyu DG Msuya kama DG hapo TISS ila huelewi na ulichokifanya ni Kuwaondoa ( Kuwabadili ) tu Wakuu wa Vitengo ila Yeye unamuacha wakati kwa Matukio kadhaa na Muhimu yaliyotokea katika Kipindi chake yameshaonyesha kuwa hiyo nafasi ni Kubwa Kwake na haiwezi.
Na kwa taarifa zisizo rasmi bado ( ila binafsi ) naziona zina Ukweli zinadai kuwa huku kupotea Kwake aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda kuna Mikono kadhaa ya Kiutaratibu kutoka kwa baadhi ya Watendaji wa Taasisi hii ( hiyo ) Nyeti kwani alijijengea ukaribu nao mkubwa na ikisemekana ( ikidaiwa ) kuwa huenda nae ni Mwenzao ( TISS Agent ) japo ninachelea Kulisadiki ( Kuliamini ) hili.
Sijalilaumu Jeshi la Polisi ( PT ) kwa Kutoonekana kwa Paul Makonda au UHAMIAJI au TAKUKURU kwa sababu zangu Binafsi ila hapa nalia na nakomaa zaidi na TISS kwani wanajua alipo Makonda na waache Kutufanya Watanzania ni Mambumbumbu.
Huko nyuma niliwahi kusema kama kweli TISS ingekuwa Imara kama Wenzao wa Israel, China, Uingereza, Rwanda, Misri, Pakistan, Algeria, Cuba, Korea Kaskazini, India na Ufaransa wala huyu Paul Makonda asingekuwa na Jeuri aliyokuwa nayo kwa Mamlaka yake ila TISS ilimlea, ikamdekeza, ikamchelewesha, akawasumbua, akawatumia ajuavyo na leo ndiyo yamekuwa haya na tumefikia hapa.
Natamani mno kuiona ile TISS imara iliyokuwa Kipindi cha Hayati Baba wa Taifa Mwalimu Nyerere na ya Hayati Rais Mstaafu Benjamin Mkapa kwani ndizo zilikuwa TISS Imara, zinazojitambua hasa Kiutendaji kiasi cha Kusifika na Kuogopeka sana ndani na nje ya Tanzania.
Uzi huu uwasaidie katika Kujitathmini!!!!
Sikumbuki ni lini Mightier Mimi nimepata BAN hapa JamiiForums kwani najua vyema Mipaka na Maadili ya Jukwaa hili.Huyu Mkuu anaongoza kwa kula umeme hapa JF
kama atakuwa amekimbilia ulaya ni rahisi mtu, wanaweza kumuextradite haraka, au hao hata wakijua tu kuwa yupo huko wanaweza kumfurusha akarudi hapa chap. cha muhimu tuangalie mahakama inasemaje tu basi.Nafikiri kinachofuatwa sasa ni utaratibu tu asipotokea tena bas mahakama itatoa hati ya kukamatwa kwake...
Sio kila kitu ni lazma TISS wahusike navyo kwa maana hata jurisdiction ya TISS haiwapi mamlaka ya kukamata Mtuhumiwa zaidi ni Jeshi la Polisi tu.
I agree with your opinion 100% Chief.Huyu arudishwe polisi kuwa IGP, TISS atafutwe mtu Makini atayemsaidia mama
Kumekucha..... halafu mnasema kuwa hii Mipango yote TISS hawajui na Wapumbavu wengine bila hata ya Aibu mnawatetea kuwa siyo Jukumu lao.
Kama Mimba ya mwanae Keegan imesaidiwa na Kuratibiwa na Mashine za Maabara huko Ng'ambo unadhani ana Ubavu wa Kukijua Kifaransa Ndugu?Republique de Francais. Kilugha cha Kifaransa amejiandaa?
Nikiwa DG wa TISS nitahakikisha zile TISS imara za Nyerere na Mkapa hasa Kiutendaji na Kiumakini zinarejea huku nikiongezea na Utaalam wa sasa wa Israel, Rwanda na China.Acha kumsagia kunguni Mtanzania mwenzako.....kama hiyo nafasi haiwezi wewe unaiweza?
Akikamatwa na Shutuma zake zikiwa nyingi na Mahakama ikiamua atangulizwe mbele ya Haki nitaiheshimu na Kuiamini mno Mahakama ya Tanzania.Bashite ni lzm ajibu matendo yake
Hayati Mzee Samuel Sitta. Inajulikana.PCM ni mtumishi, ingawa aliyempa ajira alishakufa kitambo, sio huyu wa mwaka jana..
Ukiwa na Akili zinazofanya kabisa Kazi utanielewa ni kwanini nawahusisha na nawalaumu sana TISS juu ya Kutoonekana au Kupotea Kwake Paul Christian Makonda, ila ukiwa na Ubongo wenye Usaha, Utomvu na Uliosindikwa kamwe hutonielewa na utaona au utahisi nimekurupuka tu hapa.TISS wanahusika vipi na kupotea kwake? Naona ni mapema sana kuanza kuwalaumu kwa swala hilo.
Ukiwa na Akili zinazofanya kabisa Kazi utanielewa ni kwanini nawahusisha na nawalaumu sana TISS juu ya Kutoonekana au Kupotea Kwake Paul Christian Makonda, ila ukiwa na Ubongo wenye Usaha, Utomvu na Uliosindikwa kamwe hutonielewa na utaona au utahisi nimekurupuka tu hapa.