Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Hii tabia ya wanawake kupenda wanaume kisa magari ni mbaya sana...

Nakumbuka some years baki nikiwa chuo..

Wengi walipigwa tuu kisa gari za kukodi..

One week mtu anadump..!
 
Anaehitaji Gari ya aina yoyote mpya anione jamani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…