Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Hii tabia ya wanawake kupenda wanaume kisa magari ni mbaya sana...

Nakumbuka some years baki nikiwa chuo..

Wengi walipigwa tuu kisa gari za kukodi..

One week mtu anadump..!
 
Back
Top Bottom