Je, kuwa na gari ni kivutio kwa wadada katika mahusiano?

Ukiwa na gari hata kama sura yako n kama harmorapa utaonekana handsome kama idriss sultan
 
Wanaume tujue kitu kimoja mwanmke ni msaidizi ( submissive ) sio mtumwa (slave) nieleweke hapa na mwanaume ni mamlaka (Authority).Hivyo basi mambo yote yenye kukupa mamlaka fulani humvutia mathalani pesa, nyumba,gari nk.kwa mfn wa gari ikiwa unayo means una mamlaka ya kimjongeo(motion).kwann asikupende sasa?.
NB:Wanaume tuache kulalamika tafuta mamlaka yako BE A MAN.
 
Mmmmh... hakuna asiyependa vizur.
Gari ni usafiri
Gari ni hadhi
Gari ni heshima
Gari ni utajiri
Gari ni utanashati

Sio lazima gari liwe niliyosema.
Mwambie likiwa lako ukipanda hata kama una njaa ya siku 3 hukondi
 
hahahah jitahidi ununue wakina Daby wasije wakamchukua na magari yao
Acha tu akina DAB hawa wanachukua tu bmw za watu. Na hata hvy nikisikia tu fununu kuwa Dab anamtaka najiondoa mapema maana huchelewi jina kulikuta kwenye list ya madawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…