Mhandisi Mzalendo
JF-Expert Member
- Aug 23, 2010
- 8,069
- 15,029
Hata wayahudi hawali nguruwe lakini wanaua vitoto vichanga huko Gaza.its crazy, wanakuambia uache kula nguruwe lakini wanakuruhusu kumuua muyahudi na mkristo na utaapata thawabu maradufu.
Such a tantalizing ideology.👿
HairuhusiwiJe ni ruksa kwao kuvuta sigara?
Umenena vyema japokuwa wewe sio muislamuKwa mujibu wa mafundisho yao uislamu unatakaza kujidhuru ,Dharar.
Hivyo kukuta mwislamu anavuta sigara ni kama tu kumkuta mlokole akipasua amri ya sita madhabahuni na muumini wake tu
YeahUmenena vyema japokuwa wewe sio muislamu
Na huu ndio ukweli usio na shakaPombe haina shida ama katazo kwa mtu yoyote kutumia, vile vile bangi, sigara n.k !
Hizi dini zinapumbaza tu watu !
Wewe kama unamudu kutumia kileo tumia, ukiona haumudu acha kabisa
Lete ushahidi kwamba kuua sio dhambi?Kula Nguruwe ni Dhambi.
Lakini Kuua sio dhambi.
Hao watu bn
Acha udini, wakristo wakatoliki Pombe na Sigara ruksa. Kwanini husemi hao unakimbilia waislam?Wasalaam waleikhum ndugu zangu waislam na wakristo....
Ni kawaida kwa waumini wa kislamu kukuta hawatumii pombe kwa kuwa imekatazwa kwenye maandiko. Ila sigara kwao ni kama chanda na pete!! Ukitembelea nchi nyingi za kiislamu kuna uvutaji mkubwa wa sigara na siku hizi shisha.
Je ni ruksa kwao kuvuta sigara?
Wewe ulienda kufanya nini kwa hiyo muislam aliyekuwa anakunywa gongo kwa kificho?Kuna jamaa jana nimemkuta anakunywa gongo, muislamu, nikamuuliza nguruwe unakula? Anasema Hali eti ni dhambi kubwa.
Nikaona haya mazezeta kweli
Mkuu kwanza futa kauli.Acha udini, wakristo wakatoliki Pombe na Sigara ruksa. Kwanini husemi hao unakimbilia waislam?
Hivyo kabisa.
Tulikuwa tunakunywa nae gongo, nilimshauri baada ya kunywa gongo tukale kitimoto rost na ndizi za kutoshaWewe ulienda kufanya nini kwa hiyo muislam aliyekuwa anakunywa gongo kwa kificho?
Gongo hainywewi hadharani.
So wanaovuta wanatenda dhambi? Pia ni kifungu gani wamekataza?Hairuhusiwi