Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

Jawabu juu ya hili lipo kwa mchungaji Calvin Robinson. Tafadhali msikilize! Anapinga sana hili suala, ni mkristo safi sana. Kwa kusimamia mafundisho ya dini kuhusu kupinga ushoga kanisa likamfukuza. Video ina dakika 5.

View: https://youtu.be/TfgTPTS5Aa8?si=n1JQCWgz4EUD0pCE

NA ndivyo ilivyo, hata Papa anazungumza unafiki mtupu akiogopa mamlaka mbalimbali za kidunia kumnyooshea kidole na kumpiga au pengine kuuondoa kitini....
Ndipo hapo naona hakuna dini hapo..
 
Jawabu juu ya hili lipo kwa mchungaji Calvin Robinson. Tafadhali msikilize! Anapinga sana hili suala, ni mkristo safi sana. Kwa kusimamia mafundisho ya dini kuhusu kupinga ushoga kanisa likamfukuza. Video ina dakika 5.

View: https://youtu.be/TfgTPTS5Aa8?si=n1JQCWgz4EUD0pCE

Nikusaidie tu si Calvin Robinson pekee ambaye amepatwa na hiyo kadhia tafuta google hawa maaskofu wawili wa kikatoliki huko marekani Askofu Jose Maria Vigano na Askofu Robert Strickland, hawa ni maadui wakubwa Papa fransis kwa kuwa ni wakatoliki haswa ambao wanashikilia ule utamaduni wa Kanisa wa kuheshimu misingi ya kiimani ya kikatoliki kwa kukemea hadharani usenge, ushoga, ufiraji, ulawiti na utoaji mimba lakini Papa fransis na vibaraka wake kama akina Askofu Robert McElroy wanawapiga vita sana hawa wazee.

Kabisa katoliki tumepata kiongozi mbaya zaidi duniani tangu Karne 16 leo tumeletewa shetani.
Papa Francis anajua anachokifanya hata ukiangalia uso wake na macho yake yanaonesha hila mbaya aliyonayo. Ndani ya Kanisa Kuna makundi mawili, kundi dogo linalomuunga mkono Papa fransis ambalo ndiyo lenye nguvu na kundi kubwa lisilo na sauti ambalo linakandamizwa
 
Niite Abdul ama Karim nifurah kwanza....

Ijumaa msikitini
Suala sio kuenda msikitini au wapi, suala wewe mahusiano yako binafsi na Mungu yakoje

Sasa unaenda huko msikitini nako ukijua imam au sheikh naye pia ni mchicha mwiba pia utahamia kwa wahindu au itakuwaje mkuu
 
Back
Top Bottom