Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

Mashoga ni binadamu kama ulivyo wewe, kubali kataa ninyi nyote ni wa Mungu na anawapenda na kuwapa yaliyo sawa.
Jua likiwaka lenu nyote, mvua ikinyesha yenu wote, pumzi kawapa wote.

Utawahukumu hapa lakini wakitubu na kumrudia Muumba atawasamehe na kuwasafisha.

Yesu alikuja duniani kwa ajili ya watu wa namna hiyo, wapeni nafasi, kaeni karibu nao kama Yesu alivyofanya kukaa na wadhambi.
Kwahiyo mkuu Vishu Mtata ushoga uwe ruksa?
 
Suala sio kuenda msikitini au wapi, suala wewe mahusiano yako binafsi na Mungu yakoje

Sasa unaenda huko msikitini nako ukijua imam au sheikh naye pia ni mchicha mwiba pia utahamia kwa wahindu au itakuwaje mkuu
Naupenda uislamu una mafundisho ya wazi...

Japo wenye dini wana mambo mengi lakini na u feel sana uislamu ndani yangu.....

Hapa nilipo nijiita Abdul ukiachana na kumwambia huyo bibiye .....

Ila nadhani ukristo Kuna vingi vinaendekezwa,, mkuu
 
Mashoga ni binadamu kama ulivyo wewe, kubali kataa ninyi nyote ni wa Mungu na anawapenda na kuwapa yaliyo sawa.
Jua likiwaka lenu nyote, mvua ikinyesha yenu wote, pumzi kawapa wote.

Utawahukumu hapa lakini wakitubu na kumrudia Muumba atawasamehe na kuwasafisha.

Yesu alikuja duniani kwa ajili ya watu wa namna hiyo, wapeni nafasi, kaeni karibu nao kama Yesu alivyofanya kukaa na wadhambi.
Ur not serious my frnd sijui unaamini kama mungu yupo ila ukiamini kama yupo kemea hivyo vitendo wanavyofanya hao binadam mashoga iwe Mwanaume au mwanamke , just imagin kaka yako, mdogowako au mwano wa kiume anakunjwa Saba we ungemchukuliaje au ungesikiaje , afu unasema watakuja kuungama wasamehewe sababu mungu husamehe yyte alietambua kosa lake ok fine kama hawajaungama na Mungu akawachukua we unadhan kinachofata ni nn hapo, Holly fire will be on them god Forbid....
 
Naupenda uislamu una mafundisho ya wazi...

Japo wenye dini wana mambo mengi lakini na u feel sana uislamu ndani yangu.....

Hapa nilipo nijiita Abdul ukiachana na kumwambia huyo bibiye .....

Ila nadhani ukristo Kuna vingi vinaendekezwa,, mkuu
Ukristu uko wazi yaani labda kwa kuwa ukristu una uhuru sana ndo maana kila mmoja akiwa na maarifa kidogo anakuja na doctrine yake, ila kiukweli mafundisho ya kikristu yako wazi kabisa na msingi wetu sisi ni biblia ambayo ipo wazi kwa kila mtu, inakemea kila aina ya ubaya na uchafu. Unachopaswa kujua ni kuwa shetani hahawahi kuchoka kuwinda roho za watu hapa duniani na silaha yake kubwa ni kupiga kwenye misingi ya watu vijana tunaita kwenye mshono "si mnasema Kanisa katoliki mnatii kiongozi wenu eeh haya namfanya mtumwa wangu" tunasahau kuwa hata papa alizaliwa, akabatizwa, alizini, alifanya dhambi zingine akatubu na anaweza tena kutumiwa na shetani hata baada ya kuwa na mamlaka ndani ya Kanisa.

YESU aliiangalia sura ya Petro halafu akakemea "Rudi nyuma shetani" je itashindikana kwa huyu fransis?

Tuditegemee watu watulindie Imani zetu, hata wa dini zingine Wana changamoto zao nyingi sana ni kwa kuwa bado hujaxijua
 
Ur not serious my frnd sijui unaamini kama mungu yupo ila ukiamini kama yupo kemea hivyo vitendo wanavyofanya hao binadam mashoga iwe Mwanaume au mwanamke , just imagin kaka yako, mdogowako au mwano wa kiume anakunjwa Saba we ungemchukuliaje au ungesikiaje , afu unasema watakuja kuungama wasamehewe sababu mungu husamehe yyte alietambua kosa lake ok fine kama hawajaungama na Mungu akawachukua we unadhan kinachofata ni nn hapo, Holly fire will be on them god Forbid....
He's not serious at all, ye na Papa fransis wote walewale
 
Huwa sielewi kwanini Papa na kanisa lake wanashindwa kunyoosha maelezo kuhusu ushoga.
Lazima wana maslahi na hizi kauli tata.
Papa na wenzake wengi huko magharibi hawana shida na ushoga ila wanajua kwa Wakatoliki wengine Africa na sehemu kubwa ya Asia hawakubali kabisa hilo jambo kwa hiyo wanatafuta namna ya ku balance.
 
Kuna kitu hakieleweki hapa nacho ni ushoga au homesexuality , kwamba kanisa linakataza watawa kuoa lakini linakubali watawa mashoga kanisani au wanakubali watu wenye jinsi mchanganyiko.?.

Maana kanisa haliwezi kuzuia watawa wasifanye ngono alafu ,wakaruhusu mashoga kuja kufanya liwati kanisani 😂
 
Suala sio kuenda msikitini au wapi, suala wewe mahusiano yako binafsi na Mungu yakoje

Sasa unaenda huko msikitini nako ukijua imam au sheikh naye pia ni mchicha mwiba pia utahamia kwa wahindu au itakuwaje mkuu
Imam Au Shekhe Itakuwa Siri Yake Ila Braza Papa Anataka Kuwaaminisha Wakatoliki Wote Wamulikane Tochi Mchana Kweupe Yaani Sio Shida Kwa Maneno Haya Ya Papa Namkumbuka Mzee Wa Kumiminwa.
 
Mashoga ni binadamu kama ulivyo wewe
Ushoga sio maumbile bali ni tabia. Hakuna mtu anaumbwa shoga tena hasa ukilitumia neno lenyewe la Gay. Maana yake anayepelekewa moto na anayempelekea moto mwenzake wote ni magay. kiswahili tushazoea shoga ni yule anayepelekewa moto tu.

Sasa hebu niambie Binadamu gani alozaliwa halafu akawa anawafir* wenzake kisha eti tuseme ni maumbile? Hapo hakuna cha maumbile bali ni tabia.

Ndio maana mambo haya huyasikii kwa Orthodox.

Labda nlichomuelewa Papa ni kwamba kama wakitubu na kutorudia kufanya tena michezo hiyo michafu, basi wanastahili kuwa viongozi.

Ila je wewe bwana mtumishi utajisikiaje kuongozwa ibada na mtu unayejua kabisa kwamba alikuwa bwabwa??

akili kumkichwa
 
Halafu hawa Gwey men wanapesa sanaaaaa hata wawe wafanyakazi pesa yao lazima iwe nzuriiii

Nimeyaona enzi za miaka mingi nikiwa mdogo kijijini kimoja niliishi na kusoma nao.
 
Back
Top Bottom