Marco Polo
JF-Expert Member
- Jan 16, 2014
- 11,786
- 18,562
Toka nilivyoona ile video ya papa akimbagua waziwazi askofu mweusi napatwa na mashaka na Hawa watu.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hyu Papa si ndiye walimkemea miaka ya hivi karibuni?Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa.
Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri
=====================================================
The Vatican has given the green light for gay men to become priests - as long as they remain celibate.
In an unexpected adjustment to practice in the Catholic Church, the new guidelines from Italian bishops will allow gay men to enter
Although the Vatican had not explicitly prohibited gay men from entering the priesthood in the past, an instruction from 2016 barred men who have "deep-seated homosexual tendencies".
The new guidelines, approved by Italian bishops, say seminary directors should consider a priestly candidate's sexual preferences, but only as one aspect of their personality.
"When referring to homosexual tendencies in the formation process, it is also appropriate not to reduce the discernment to this aspect alone, but … to understand its meaning within the whole framework of the young person's personality," the guidelines say.
Pope Francis, who has been pontiff since 2013, has been viewed by some as having taken a more welcoming approach towards the LGBTQ+ community.
This has included allowing priests to bless same-sex couples on a case-by-case basis - but the admittance of gay men into the priesthood has remained a taboo subject
Source: Sky News
Wabongo ni wazee wa kunyoosha vidole tu, kusema mitandaoni washoga wauwawe, sijui wapigwe, wafungwe ilhali wapo mitaani kwao na wanawajua wala hawahangaiki kuwafungulia mashtaka.Dar imewahi kuwa na sheikh wa mkoa shoga na hakuwahi kukemewa kokote na vingozi au waumin wenzake na linajulikana kabisa punga lile
Kuna kiongoz tena mkubwa sana ni sagaj la kufa mtu
Lakini hutosikia wabongo wakiwakemea
Wewe ndo uwe unasoma kabla ya kureply.Acha kuwatetea kitendo wanachokifanya usiwatetee japo ni binaadam ila wana kiuka uhuru waliopewa mbona mbuzi na ng'ombe wao hawana izo ila ss binaadam kamili ndio tunafanya ushenzi huo, acha kuwatetea kemea inapobid , nadhan ww unandugu au mtt shoga huna budi tuu kuwatetea ila endelea tuu , unakinzana na kaulizako au upokoment huwa huangalii we unapost tuu , kweli Watu pipo tupo tofauti jaribu kusoma unachandika b4 posting....!!?
Sawa mwalim wa kiswahil nakubaliana kutokukubaliana na ww.....Wewe ndo uwe unasoma kabla ya kureply.
Wapi nimewatetea?? Kuwaita binadamu ni kuwatetea.
Ni kitendo kibaya , Yes, lakini haiwaondolei sifa ya wao kua watu kama mimi na wewe.
Na sio kukemea pekee, wapewe elimu, na ulinde familia yako kwa kuipa elimu stahiki wasiangukie huko.
Tuliza jazba pia unapoandika mkuu, reply yako ina makosa kibao ya uandishi.
Unakubali kutoelewa na sio kutokubaliana maana sikutoa maoni yenye mjadala wa kukubali / kukataa, toka mwanzo hukuelewa.Sawa mwalim wa kiswahil nakubaliana kutokukubaliana na ww.....
Acha kujificha kwenye kivuli chako mwenyewe, mwenye macho haambiwi ona hadhira tayari ishapata majibu na kung'amua....
Akili ni nywele kila mtu anazake , sijui we mwenzangu umepeleka wapi zako , by the way im not hire to argue with you my frnd , try to be humble you will lern many things my frnd....Unakubali kutoelewa na sio kutokubaliana maana sikutoa maoni yenye mjadala wa kukubali / kukataa, toka mwanzo hukuelewa.
Hiyo avatar unayoiona hapo ina nywele??Akili ni nywele kila mtu anazake , sijui we mwenzangu umepeleka wapi zako , by the way im not hire to argue with you my frnd , try to be humble you will lern many things my frnd....
Hio Avatar ni upara tena tako la mtoto kabisa na miwani juuu kama mwalim flan ivii yule mnokooooHiyo avatar unayoiona hapo ina nywele??
Akili kama ni nywele mimi hizo nywele sina.
Andika kiswahili tu nitakuelewa, huo uandishi mbovu wa lugha ya watu sio sawa.
Yaaah mimi ndieHio Avatar ni upara tena tako la mtoto kabisa na miwani juuu kama mwalim flan ivii yuoe mnokoooo
Nakataa ushoga kwa nguvu zote, haufai hata kidogo.Aaahh ok inatosha kusema ur not my friend my friend...??
Inahitajika degree kama 2 ivii na Phd kujielewa ulikosea wapi , by the way kataa ushoga....
Intovert plus introvert ndipo shida inapoanza , sijawahi na sitiwah kuwa na rafiki sampuli yako, hilo bichwa linastahili Makonzi tu yakutosha ili likae sawa....Nakataa ushoga kwa nguvu zote, haufai hata kidogo.
Kikwete alipoulizwa kuhusu hilo suala alisema kua ni aibu hata kuliongelea kwa tamaduni zetu, na kweli kabisa ni aibu.
Inatia hasira ukiwa na roho ndogo unaweza mkata shingo mwanao.
Mimi sina rafiki, kaa mbali nami.
Hatukubali nyie muwe na hivyo mlivyo na tuendelee nanyi mkiwa hivyo. Kukaa na shoga kumweleza aache ushoga ni sawa lakini si kumfanya yeye awe kiongozi wa kiimani. So hapo kwa kweli mtatuona wabaya lakini hatukubali haijalishi utajitetea vipiMashoga ni binadamu kama ulivyo wewe, kubali kataa ninyi nyote ni wa Mungu na anawapenda na kuwapa yaliyo sawa.
Jua likiwaka lenu nyote, mvua ikinyesha yenu wote, pumzi kawapa wote.
Utawahukumu hapa lakini wakitubu na kumrudia Muumba atawasamehe na kuwasafisha.
Yesu alikuja duniani kwa ajili ya watu wa namna hiyo, wapeni nafasi, kaeni karibu nao kama Yesu alivyofanya kukaa na wadhambi.
Hata mimi sikubaliani na hilo.Hatukubali nyie muwe na hivyo mlivyo na tuendelee nanyi mkiwa hivyo. Kukaa na shoga kumweleza aache ushoga ni sawa lakini si kumfanya yeye awe kiongozi wa kiimani. So hapo kwa kweli mtatuona wabaya lakini hatukubali haijalishi utajitetea vipi
Mzee wewe ndo unaeniita rafiki toka mwanzo, sasa hivi tena baada ya mimi kukuchinjilia mbali unajifanya hutaki urafikiIntovert plus introvert ndipo shida inapoanza , sijawahi na sitiwah kuwa na rafiki sampuli yako, hilo bichwa linastahili Makonzi tu yakutosha ili likae sawa....
Ni changamoto sana kuukubali ushoga maana sio ugonjwa bali maamuzi.Mashoga ni binadamu kama ulivyo wewe, kubali kataa ninyi nyote ni wa Mungu na anawapenda na kuwapa yaliyo sawa.
Jua likiwaka lenu nyote, mvua ikinyesha yenu wote, pumzi kawapa wote.
Utawahukumu hapa lakini wakitubu na kumrudia Muumba atawasamehe na kuwasafisha.
Yesu alikuja duniani kwa ajili ya watu wa namna hiyo, wapeni nafasi, kaeni karibu nao kama Yesu alivyofanya kukaa na wadhambi.