Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huo ndo ukweli woteSomewhere nilisoma kuwa papacy=ANTICHRIST...
Hzi kauli za huyu mzee sinaanza kunithibitishia kuwa inaweza kuwa kweli....
We mbona kauli zako zinajicontradict by the way mm sio mzee mazafanta kacheze unapochezaga axee ,mm afu chukua konzi moja la kishaulin lazima litoke na nyama ya para lako.....Mzee wewe ndo unaeniita rafiki toka mwanzo, sasa hivi tena baada ya mimi kukuchinjilia mbali unajifanya hutaki urafiki
We dogo kaa mbali.
Kitimoto wangu anakula haya mashudu uliyoandikaWe mbona kauli zako zinajicontradict by the way mm sio mzee mazafanta kacheze unapochezaga axee ,mm afu chukua konzi moja la kishaulin lazima litoke na nyama ya para lako.....
Nenda kalishe pumba zako kwa kitimoto....
Ni hatari mkuu, kumbe unabii unatimia kimya kimya, tutakuja kushangaa boom mwisho huu hapa....Huo ndo ukweli wote
.Mashoga ni binadamu kama ulivyo wewe, kubali kataa ninyi nyote ni wa Mungu na anawapenda na kuwapa yaliyo sawa.
Jua likiwaka lenu nyote, mvua ikinyesha yenu wote, pumzi kawapa wote.
Utawahukumu hapa lakini wakitubu na kumrudia Muumba atawasamehe na kuwasafisha.
Yesu alikuja duniani kwa ajili ya watu wa namna hiyo, wapeni nafasi, kaeni karibu nao kama Yesu alivyofanya kukaa na wadhambi.
Unajua mkuu haya mambo ya mapenz ya jinsia moja kipnd cha nyuma yalikuwa yanashtua hata kuyasikia lakin siku yamekuwa new norm...The end is near the bible say it is , hakika mwisho unakaribia Biblia ishasema ivo usodoma sa ivii ni vitu vya kawaida sana , kuna pub flan iko kigamboni na mbagala jina kapun ukiingia hapo unakuta vishoga kila kona tena wakiona mwanume umekaza umekunja wanakuja kwenye meza yako wakiomba bia mi naviangaliagaa tuu ila moyoni daahh inasikitisha sana kuona mwanaume mwenzako yuko kwenye hali ile afu ukifii anaadhabu gani kwao....
.Huwa sielewi kwanini Papa na kanisa lake wanashindwa kunyoosha maelezo kuhusu ushoga.
Lazima wana maslahi na hizi kauli tata.
Bado hata kama ikiwa Siri yake hajakwepa dhambiImam Au Shekhe Itakuwa Siri Yake Ila Braza Papa Anataka Kuwaaminisha Wakatoliki Wote Wamulikane Tochi Mchana Kweupe Yaani Sio Shida Kwa Maneno Haya Ya Papa Namkumbuka Mzee Wa Kumiminwa.
Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa.
Ingawa kanisa hilo halikuwahi kukataza wapenzi wa jinsia moja kuwa mapadri, mwaka 2016 Vaticn ilikataza wanaume wenye tabia kama hizo kuwa viongozi au mapadri
=====================================================
The Vatican has given the green light for gay men to become priests - as long as they remain celibate.
In an unexpected adjustment to practice in the Catholic Church, the new guidelines from Italian bishops will allow gay men to enter
Although the Vatican had not explicitly prohibited gay men from entering the priesthood in the past, an instruction from 2016 barred men who have "deep-seated homosexual tendencies".
The new guidelines, approved by Italian bishops, say seminary directors should consider a priestly candidate's sexual preferences, but only as one aspect of their personality.
"When referring to homosexual tendencies in the formation process, it is also appropriate not to reduce the discernment to this aspect alone, but … to understand its meaning within the whole framework of the young person's personality," the guidelines say.
Pope Francis, who has been pontiff since 2013, has been viewed by some as having taken a more welcoming approach towards the LGBTQ+ community.
This has included allowing priests to bless same-sex couples on a case-by-case basis - but the admittance of gay men into the priesthood has remained a taboo subject
Source: Sky News
.
Nawaonea huruma ndugu zangu wakatoliki ambao hawataki kuukubali huu ukweli mchungu.
.
Kumekuwa na sarakasi nyiiingi kwenye hili swala...kama kitu ni haramu kwanini papa asinyooshe tu maelezo kwamba ni marufuku??
.
Hii zunguka zunguka inaashiria watu wanaandaliwa kisaikolojia. Papa atapitisha ndoa za jinsia moja, yawezekana isiwe Francis lakini ni swala la muda tu.
Na hakuna mahali nimesema ziruhusiwe..
Umejibu vizuri sana ila kuna kitu umesahau kukisema kuhusu ndoa za jinsia moja.
.
Hakuna mahali Mungu ameruhusu ndoa za jinsia moja...never ever. Biblia iko straight kwamba wafiraji wala walawiti hawataurithi ufalme wa Mungu; Rejea 1 Kor 6: 9-11.
.
Mungu anawapenda wenye dhambi lakini anachukia dhambi wanazozifanya... tusichanganye hayo mambo mawili.
Ninaandika chochote ninachotaka kwa namna nayotaka mimi hayo maswali yako peleka bungeni, Kuna sehemu hapo umelazimishwa kukubaliana na mtazamo wangu 🤔🤔 tuliza kihere kihere 🚮🚮Mkuu; mbona unaelekeza chuki zako binafsi kwa Papa ambaye hata hakujui wewe na wala hayumo huku Jf? Inaonekana kana kwamba unatulazimisha ss wasomaji tukubaliane na mtazamo wako.
1. Unam' address eti "kale kabibi" ilhali unajua fika kwamba yeye ni Me
2. Unasema Ushoga ni Ushetani(satanism); Toa uthibitisho.
3. Unawaita Yeye na wale wanaomwamini na kumfuata ni washenzi. Unapata wapi ujasiri huo wa kumHukumu yeye na wafuasi wake?
Ni hayo tu.
Naam! Nakunukuu hapa: "tuliza kihere kihere". Imekuwa ni bahati ya kipekee sana kukutana viherehere wawili (mm na ww)hapa jamvini. Kwanza, heri ya mwaka mpya broo. Sasa mkuu; ww ulisoma hiyo mada huko ulikoisoma halafu kwa kiherehere chako ukaileta hapa kwa maGT. na unadhani tutakuacha upite hv-hv? Na mm nimekuwa kiherehere wa kwanza kwa kutoa angalizo. OK. Tukutane basi bungeni kuziwasilisha hoja na maswali yetu. Asante bro.Ninaandika chochote ninachotaka kwa namna nayotaka mimi hayo maswali yako peleka bungeni, Kuna sehemu hapo umelazimishwa kukubaliana na mtazamo wangu 🤔🤔 tuliza kihere kihere 🚮🚮
Inaonekana kuwasema mashoga limekuuma sana na bila shaka wewe utakua ni mmoja wao cha msingi tuu ni kwamba maumivu yakikuzidia chamoa vaa uende 🚮🚮🚮Naam! Nakunukuu hapa: "tuliza kihere kihere". Imekuwa ni bahati ya kipekee sana kukutana viherehere wawili (mm na ww)hapa jamvini. Kwanza, heri ya mwaka mpya broo. Sasa mkuu; ww ulisoma hiyo mada huko ulikoisoma halafu kwa kiherehere chako ukaileta hapa kwa maGT. na unadhani tutakuacha upite hv-hv? Na mm nimekuwa kiherehere wa kwanza kwa kutoa angalizo. OK. Tukutane basi bungeni kuziwasilisha hoja na maswali yetu. Asante bro.
Ushauri umezingatiwa.Inaonekana kuwasema mashoga limekuuma sana na bila shaka wewe utakua ni mmoja wao cha msingi tuu ni kwamba maumivu yakikuzidia chamoa vaa uende 🚮🚮🚮