Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mwenyewe kashindwa kuwakata vichwa. Sisi tuwakate ili iweje? Itatusaidia nini tukiwakataHawa wangekatwa vichwa kwa kuhama kutoka utu kwenda ushoga.
Shaga siyo binadamu kama wengine, kwani wewe unajiona sawa na shoga?
Ulionà wapi Mungu anahukumu wenye dhambi hapa duniani?Mungu mwenyewe kashindwa kuwakata vichwa. Sisi tuwakate ili iweje? Itatusaidia nini tukiwakata
Najua. Nashangaa aliyesema tuwakate vichwa mashoga wakati sio kazi yetuUlionà wapi Mungu anahukumu wenye dhambi hapa duniani?
Mungu hajashindwa.
Kukata vichwa mashoga ni kazi ya binadamu Siyo ya Mungu.Najua. Nashangaa aliyesema tuwakate vichwa mashoga wakati sio kazi yetu
Umeshawakata wangapi hadi sasa hivi? Au mkwara tu kama kawa keyboard warriorKukata vichwa mashoga ni kazi ya binadamu Siyo ya Mungu.
Hata vibaka wanahukumiwa na binadamu siyo Mungu.
Kwahiyo nasisitiza tuwakate vichwa mashoga! Wewe unajihusisha na ushoga kwani?
Hata mm nashangaa. Mashoga wamejazana tele hapa Tz lakini yy hajathubu au ameshindwa kumkata kichwa walau hata mmoja ili iwe ni kwa mfano.Umeshawakata wangapi hadi sasa hivi? Au mkwara tu kama kama keyboard warrior
Kuna suala la kujiuliza ikiwa utapenda kujifunza kwa kina.Hivi wapi kwenye biblia MUNGU ameagiza watu wake wawe TAG!Ukikosa basi ujue wote ndo wale wale kasoro rangi tuKwahiy
o sina Roho Mtakatifu?
Mimi wasabato hpan......
Khery TAG Ila sio sabato
HamnaKuna suala la kujiuliza ikiwa utapenda kujifunza kwa kina.Hivi wapi kwenye biblia MUNGU ameagiza watu wake wawe TAG!Ukikosa basi ujue wote ndo wale wale kasoro rangi tu
Mshana JrMwacheni shetani afanye kazi kupitia mnyama 666
Mnyama 666 ni Papa na kanisa lake sidhani kama Kuna mgalatia halijui hili Hadi leo
Na Kwa bahati mbaya Roman Catholic ndio baba na ndio mama wa madhehebu yote kama yupo anaebisha weka historia hapa
Anglican church ilitokea wapi
Rutherlan church ilitokea wapi
Sababu church ilitokea wapi
Walokole church ilitokea wapi
.Pengine hujui sana, ila kanisa katoliki lina mapana marefu sana. Lilishajua haya toka miaka mingi iliyopita. Na pia hata mwisho wake unajulikana.
Usilihofie kanisa Katoliki maana haliko kwenye mashidano na kanisa lolote. Tuhofie roho ngapi zitapotea sababu ya kuanzisha amri mpya ambazo hazina uhusiano wowote na Mwenyezi Mungu na watu lukuki wakazifuata.
Pope hana madaraka ya kubadili amri wala mafundisho ya Mwenyezi Mungu. Nikiuangali ule uso wake unavyozidi kuwa mpana, naona taratibu ubinadamu wetu unavyokosa maana. Huwa hatuishi milele. Sasa kwanini tunaanzisha vita na Mwenyezi Mungu? Pope kwa hili amekosea na anatekeleza agenda za walimwengu
.Na hakuna mahali nimesema ziruhusiwe.
Nilichomaanisha mimi ni kua hao watu wasaidiwe. Kuwatenga, kuwatukana mitandaoni hakusaidii zaidi ya kuwapa fame na wao kutengeza dunia ya peke yao yenye ushawishi.
Waelimishwe madhara ya icho wakifanyacho kama dhambi nyingine zinavuokemewa na hiyo ikemewe, kama nyingine zinavyohubiriwa na kuachwa watu kuepukana nazo na hiyo iwemo pia.
.
Kuna mambo mengi huyafahamu kuhusu ukatoliki.
.
Hivi kweli unadhani taasisi imara kama ya upapa inaweza kutoa tamko kizembe bila kuwa imejadiliwa na kupitishwa na wenye mamlaka za juu?
Kuacha au kutokuacha ni juu yao ila wewe wafikishie ujumbe...
Hakuna namna ya kuwasaidia zaidi ya wao wenyewe kuamua kwa dhati ya mioyo yao kumrudia Mungu kwa kumaanisha. Kiufupi inabidi waokoke na waombewe ili hizo roho chafu zinazowatesa ziwatoke, nje ya hapo ni blaa blaa tu.
.
Wangapi wanaelimishwa madhara ya kitu fulani na wanaendelea kufanya?? Kuna nguvu inawafanya wasiweze kuacha mkuu.
Wafanye mambo yao kwa siri hakuna haja ya kutaka kujulikana kuwa ni mashoga, ni vitu simple tu.basi mmeshinda
mimi ningewashauri mashoga waachane na dini tu
.Papa amejaza watu anaowataka ili wabadili mafundisho ya kanisa.
Toka lini Mungu aliruhusu ushoga? Watu ni watu tu. Mkusanyiko wa watu wenye agenda moja unazaa nini?
Kwanini anazima watu wasiokubaliana na maamuzi anayoyafanya?
Shetani ameingia ndani ya kanisa na kibaya ana walinzi wake wanaotaka kutuaminisha wanaweza kubadili mafundisho ya Mwenyezi Mungu jinsi wanavyoona
.Kuacha au kutokuacha ni juu yao ila wewe wafikishie ujumbe..
Unasema waombewe halafu unasema hakuna kuwasaidia, bro mbona hueleweki, hata huko kuombea ni msaada.
Tatizo lenu mnawachukia, na chuki kwa mtu anaeamini haifai.
Chukia tabia zao chafu.
Tudumu katika dhambi ili Neema izid kua nyingi???la hashaMashoga ni binadamu kama ulivyo wewe, kubali kataa ninyi nyote ni wa Mungu na anawapenda na kuwapa yaliyo sawa.
Jua likiwaka lenu nyote, mvua ikinyesha yenu wote, pumzi kawapa wote.
Utawahukumu hapa lakini wakitubu na kumrudia Muumba atawasamehe na kuwasafisha.
Yesu alikuja duniani kwa ajili ya watu wa namna hiyo, wapeni nafasi, kaeni karibu nao kama Yesu alivyofanya kukaa na wadhambi.