Je, kwa hii kauli ya Papa, ameruhusu au amekataza ushoga??

Naupenda uislamu una mafundisho ya wazi...

Japo wenye dini wana mambo mengi lakini na u feel sana uislamu ndani yangu.....

Hapa nilipo nijiita Abdul ukiachana na kumwambia huyo bibiye .....

Ila nadhani ukristo Kuna vingi vinaendekezwa,, mkuu
Sikushangai maana bila Roho wa MUNGU huwezi kutambua kanisa la kweli.Shetani ameanzisha vurugu nyingi za makanisa hadi watu wanashindwa kuelewa kanisa la kweli linalofundisha kweli ya biblia ni lipi.Mimi nakupendekezea.Huko kwenye uislamu ndo utajipoteza kabisa.Nina nondo za kutosha za kukuthibitishia hili.Nenda kwenye kanisa la waadventista wa sabato.Hao wanafundisha kweli ya biblia ingawa sio wote wanaiishi hiyo kweli.Kila swali utakalowauliza wanakujibu kwa "imeandikwa".Hakuna dini yoyote duniani ambayo inajibu maswali kwa "imeandikwa" tofauti na waadventista wa sabato.Na hiyo ndiyo imani sahihi,inayotunza kweli ya biblia.Huwezi kuitunza kweli ya biblia kama mambo ubayotafanya hayapo kwenye biblia,na unajibu ya kibiblia kwa kutumia akili yako.
 
Kale kabibi wanako kaita "baba mtatifu* ni kawakala ka shetani hapa duniani ushoga ni ushetani uliopingwa vikali na maandiko lakini yule mshenzi hajawahi kukemea zaidi sana anacho fanya ni kutaka kuwa aminisha watu kwamba huo ushetani ni jambo la kawaida kabisa, mshenzi kabisa yule na wote wanao muamini na kumfuata
Mkuu; mbona unaelekeza chuki zako binafsi kwa Papa ambaye hata hakujui wewe na wala hayumo huku Jf? Inaonekana kana kwamba unatulazimisha ss wasomaji tukubaliane na mtazamo wako.
1. Unam' address eti "kale kabibi" ilhali unajua fika kwamba yeye ni Me
2. Unasema Ushoga ni Ushetani(satanism); Toa uthibitisho.
3. Unawaita Yeye na wale wanaomwamini na kumfuata ni washenzi. Unapata wapi ujasiri huo wa kumHukumu yeye na wafuasi wake?
Ni hayo tu.
 
Naunga mkono hoja.

Mungu muweza wa yote hawezi kuumba mashoga kama hataki wawepo.
Mungu hajawahi kuumba shoga hakuna mtoto yeyote mchanga akitoka kuzaliwa anakuwacshoga toka siku ya kwanza kuzaliwa

Ushoga ni tabia mtu anaijemga mwenyewe ukubwani yeye kama yeye acha kusingizia Mungu wewe
 
Ushoga unaousemea ni ule wengine wanasema Eunuch au ni Gay? (Samahani lakini nina maana yangu kuuliza hivo)
 
Huwa sielewi kwanini Papa na kanisa lake wanashindwa kunyoosha maelezo kuhusu ushoga.
Lazima wana maslahi na hizi kauli tata.
Mimi huwa sielewi, kwanini mtu anaposhindwa kuielewa kauli fulani, basi anaielekeza upande anaoutaka yeye..!!??
 
Hivi karibuni Vatikani imeidhinisha wanaume mashoga kuwa mapadre iwapo wanaume hao watakuwa hashiriki tendo la ndoa.
Nashindwa kuelewa connection ya wanaume mashoga na tendo la ndoa - kama ni kweli maneno hayo yametoka kinywa cha papa basi hukumu kali ya ziwa liwakalo moto na kiberiti inamsubiri!

Tena waambie Wakatoliki kama huyo papa wao hasomi Biblia basi asome andiko hili

1Wakorintho 6:9; Au hamjui ya kuwa wadhalimu hawataurithi ufalme wa Mungu? Msidanganyike; waasherati hawataurithi ufalme wa Mungu, wala waabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti

Anabishana na neno la Mungu, yeye ni nani hapa duniani? Au hajui wafiraji wanafanya nini hadi waitwe hivyo?
 
Aliyetoa comment Ameandika kwa Kiswahili au
Screenshot 2025-01-12 171039.png

Taratibu tu, wamesharuhusiwa kubariki mashoga kwenye mahusiano, yaani njemba mbili zinazopakuana utumbo ni ruksa kubarikiwa kanisa katoliki, na nyie huku Tanzania mfuate, ndivyo kiongozi wenu kasema...

Taratibu tu, mapadre wataanza kuwafungisha ndoa.. baada ya hapo padre na padre ni kunyanduana... na ma sister kusagana...

Hili suala mnatetea ujinga, na pope anamung'unya maneno ili asipoteze wauini kutoka bara la Africa wajinga walipo wengi, lakini mtazoea tu...
 
Mimi huwa sielewi, kwanini mtu anaposhindwa kuielewa kauli fulani, basi anaielekeza upande anaoutaka yeye..!!??
Ni watu wa aina ya kushangaza. Wanaficha ukweli kuhusu ujinga wao (i.e kutokujua/kuelewa kwao) kwa kuleta maelezo/tafsiri /ufafanuzi yao kwa lengo la kutaka kupata maelezo sahihi; Lakini tena baadaye, bado wanaficha aibu yao baada ya kuelimishwa kwa kukaa kimya, yan hawasemi hata asante au kushukuru. Hao we waelewe hivo hivo na ishi nao hivo-hivo. Ni wakorofi kama wakorofi wengine.
 
Ni changamoto sana kuukubali ushoga maana sio ugonjwa bali maamuzi.
Hivyo Papa mwenyewe anakosea watu kesho kutwa tutaambiwa kuna padri mwanamke itakuwaje?
So hili sio jambo la kupuuzia wala kulikalia kimya
Maamuzi yanaweza kubadilishwa, ni vizuri kukaa nao na kuwarekebisha maana maamuzi yao yana sababu.
 
View attachment 3199796
Taratibu tu, wamesharuhusiwa kubariki mashoga kwenye mahusiano, yaani njemba mbili zinazopakuana utumbo ni ruksa kubarikiwa kanisa katoliki, na nyie huku Tanzania mfuate, ndivyo kiongozi wenu kasema...

Taratibu tu, mapadre wataanza kuwafungisha ndoa.. baada ya hapo padre na padre ni kunyanduana... na ma sister kusagana...

Hili suala mnatetea ujinga, na pope anamung'unya maneno ili asipoteze wauini kutoka bara la Africa wajinga walipo wengi, lakini mtazoea tu...
View attachment 3199796
Taratibu tu, wamesharuhusiwa kubariki mashoga kwenye mahusiano, yaani njemba mbili zinazopakuana utumbo ni ruksa kubarikiwa kanisa katoliki, na nyie huku Tanzania mfuate, ndivyo kiongozi wenu kasema...

Taratibu tu, mapadre wataanza kuwafungisha ndoa.. baada ya hapo padre na padre ni kunyanduana... na ma sister kusagana...

Hili suala mnatetea ujinga, na pope anamung'unya maneno ili asipoteze wauini kutoka bara la Africa wajinga walipo wengi, lakini mtazoea tu...
1. Hiyo Taarifa mbona ni ya BBC 2023 mkuu? Hivi BBC mwaka 2023 ndo walikuwa wasemaji wa Ofisi ya Papa?
 
View attachment 3199796

1. Hiyo Taarifa mbona ni ya BBC 2023 mkuu? Hivi BBC mwaka 2023 ndo walikuwa wasemaji wa Ofisi ya Papa?
Sasa kama habari ni ya 2023 ambapo ni juzi hapa unasema si kweli?
Pope aache kumumunya maneno awaruhusu tu muanze kubanduana...
BBC sio simulizi na sauti wala channels za youtube za udaku wa Zuchu na Diamond...
Ni kituo cha habari professional, na wanapotoa habari hawakurupuki ujue wamejiridhisha...
Kama walichosea ni uongo kanisa katoliki lingefungua ashitaka dhidi ya BBC...

Hio habari ilitolewa na vyombo karibu vyote vikubwa duniani na videos zipo, ila bado unabisha...

Hebu nitolee ujinga wako. Usinipotezee muda
 
Sawa mkuu. Asante.
 
Sawa mkuu. Asante.
Wewe ni mjinga..
Nakuwekea source halafu badala ya kujibu kwa akili unabishana na source ambayo ipo wazi...
JAribu kufungua kichwa chako kiwe huru sio kupelekeshwa na mahaba au kubisha ili mradi uonekane umebisha...
Unapoona kuna ukweli tafakari na utoe hoja zenye kuleta maana...
 
Kwahiy
Sikushangai maana bila Roho wa MUNGU huwezi kutambua kanisa la kweli.Shetani ameanzisha vurugu nyingi za makanisa hadi watu wanashindwa kuelewa kanisa la kweli linalofundisha kweli ya biblia ni lipi.Mimi nakupendekezea.Huko kwenye uislamu ndo utajipoteza kabisa.Nina nondo za kutosha za kukuthibitishia hili.Nenda kwenye kanisa la waadventista wa sabato.Hao wanafundisha kweli ya biblia ingawa sio wote wanaiishi hiyo kweli.Kila swali utakalowauliza wanakujibu kwa "imeandikwa".Hakuna dini yoyote duniani ambayo inajibu maswali kwa "imeandikwa" tofauti na waadventista wa sabato.Na hiyo ndiyo imani sahihi,inayotunza kweli ya biblia.Huwezi kuitunza kweli ya biblia kama mambo ubayotafanya hayapo kwenye biblia,na unajibu ya kibiblia kwa kutumia akili yako.
o sina Roho Mtakatifu?

Mimi wasabato hpan......

Khery TAG Ila sio sabato
 
Somewhere nilisoma kuwa papacy=ANTICHRIST...

Hzi kauli za huyu mzee sinaanza kunithibitishia kuwa inaweza kuwa kweli....
 
Wewe ni mjinga..
Nakuwekea source halafu badala ya kujibu kwa akili unabishana na source ambayo ipo wazi...
JAribu kufungua kichwa chako kiwe huru sio kupelekeshwa na mahaba au kubisha ili mradi uonekane umebisha...
Unapoona kuna ukweli tafakari na utoe hoja zenye kuleta maana...
Kiongozi; Wewe umeniambia: "Hebu nitolee ujinga wako. Usinipotezee muda"
Nami nimekubali kwa kusema: "Sawa mkuu. Asante".
Sasa mbona tena unanirudia na kuniambia mimi ni mjinga. Kwani ule ujinga wa kwanza umeisha?
 
Back
Top Bottom