mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 20,704
- 66,337
dini bwana, ni kipengeleHii dini iekuwa unafiki, kitabu kinasema kinyume na maneno ya Papa, je waumini wafuate lipi?
Sasa mtaishi kama wanyama..dini bwana, ni kipengele
naamini zitafutika siku moja tuishi kwa uhuru
kwani hatuishi kama wanyama?Sasa mtaishi kama wanyama..
Dini zimesaidia sana tusiishi kama wanyama...kwani hatuishi kama wanyama?
embu fikiria
Jawabu juu ya hili lipo kwa mchungaji Calvin Robinson. Tafadhali msikilize! Anapinga sana hili suala, ni mkristo safi sana. Kwa kusimamia mafundisho ya dini kuhusu kupinga ushoga kanisa likamfukuza. Video ina dakika 5.Hammaz Bwana Utam piteni hapa..
NA ndivyo ilivyo, hata Papa anazungumza unafiki mtupu akiogopa mamlaka mbalimbali za kidunia kumnyooshea kidole na kumpiga au pengine kuuondoa kitini....Jawabu juu ya hili lipo kwa mchungaji Calvin Robinson. Tafadhali msikilize! Anapinga sana hili suala, ni mkristo safi sana. Kwa kusimamia mafundisho ya dini kuhusu kupinga ushoga kanisa likamfukuza. Video ina dakika 5.
View: https://youtu.be/TfgTPTS5Aa8?si=n1JQCWgz4EUD0pCE
We nae ni mmoja waoNaunga mkono hoja.
Mungu muweza wa yote hawezi kuumba mashoga kama hataki wawepo.
Sawa mmee wanguu 🤣🤣🤣Ijumaa ijayo nikasilimu.....
Naitwa Abdulkarim
BRAZA CHOGO jina lako litakuwa kati ya Rujaina, khairaty, Sabrina, ama Jasmine ni dini gani ?
Tutasali Upanga hapo
Sawa aaaanh!!!!!
Nikusaidie tu si Calvin Robinson pekee ambaye amepatwa na hiyo kadhia tafuta google hawa maaskofu wawili wa kikatoliki huko marekani Askofu Jose Maria Vigano na Askofu Robert Strickland, hawa ni maadui wakubwa Papa fransis kwa kuwa ni wakatoliki haswa ambao wanashikilia ule utamaduni wa Kanisa wa kuheshimu misingi ya kiimani ya kikatoliki kwa kukemea hadharani usenge, ushoga, ufiraji, ulawiti na utoaji mimba lakini Papa fransis na vibaraka wake kama akina Askofu Robert McElroy wanawapiga vita sana hawa wazee.Jawabu juu ya hili lipo kwa mchungaji Calvin Robinson. Tafadhali msikilize! Anapinga sana hili suala, ni mkristo safi sana. Kwa kusimamia mafundisho ya dini kuhusu kupinga ushoga kanisa likamfukuza. Video ina dakika 5.
View: https://youtu.be/TfgTPTS5Aa8?si=n1JQCWgz4EUD0pCE
Niite Abdul ama Karim nifurah kwanza....Sawa mmee wanguu 🤣🤣🤣
mambo Abdul mmee wanguuNiite Abdul ama Karim nifurah kwanza....
Ijumaa msikitini
Mkuu samahani hivi we ni jinsia gani?mambo Abdul mmee wanguu
🤣🤣🤣🤣 ningejuwa kusoma na kuandika kingereza ningemuita dr namugariUshoga sasa RUKSAAAAH, ni mwendo wa kupakuana vinyeo kwa RAHA ZOTEEE bila TASHWISHWI.
Cc: Kijana masikini Dogoli kinyamkela Labella Poor Brain Mbaga Jr Extrovert Tlaatlaah chiembe ChoiceVariable
Ooh salama khabity ..mambo Abdul mmee wanguu
Suala sio kuenda msikitini au wapi, suala wewe mahusiano yako binafsi na Mungu yakojeNiite Abdul ama Karim nifurah kwanza....
Ijumaa msikitini
Mungu aliumba mwanaume na mwanamke tu sio shoga.Naunga mkono hoja.
Mungu muweza wa yote hawezi kuumba mashoga kama hataki wawepo.
Daddy nataman kunyonya alambaOoh salama khabity ..
Washindaje my angel 😂
Aliwaumba lini?Mungu aliumba mwanaume na mwanamke tu sio shoga.