Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

kama CDM tulimuamini Msigwa na malalamiko yake dhidi ya CCM kwanini pia tusiamini na malalamiko yake dhidi ya CDM.

Msigwa ni haoni tofauti ya CCM na CDM, tofauti iliyopo mmoja anadola mwingine mpinzani lakini tabia ni zilezile, kote kuna wamiliki wafanya biashara, ameamua kwenda kwenye maslahi zaidi kama mtafutaji.
 
Huu siyo uthibitisho na ukienda mahakamani utashindwa vibaya sana. Lissu ndiye alimshambulia Mbowe? Mbona Lissu na Mbowe nao walifanya mkutano (baada ya ile ya Lissu na Msingwa) tena kwa kuruka kwenye chopa moja?
 
Hakuna anaeweza kumpokea lisu ktk siasa tanzania.
Wanajua ana uendawazimu kuna siku atawageuka na wao.
Lisu akitaka abaki kwenye siasa either abaki cdm au aanzishe chama chake.
 
msigwa ni mtengeneza njia tu ya Lisu kupita na kuingia CCM, na akija aje kwa heshma ana awe mwanachama mwenye adabu πŸ’
Nawaonea huruma.Vijana wanaowekeza nguvu zao Chadema wakiamini ni chama cha upinzani kinaweza kuiondoa CCM madarakani
 
Nawaonea huruma.Vijana wanaowekeza nguvu zao Chadema wakiamini ni chama cha upinzani kinaweza kuiondoa CCM madarakani
mbona unawakatisha tamaa kwa ukweli bayana namna hiyo gentleman?🀣
 
Bora Tuwaambie mapema Vijana wetu wajipange kivingine
for sure ni Muhimu sana,

ila pia ni wabishi , halafu wameathirika vibaya mno na uraibu wa mihemko, ghadhabu na matusi , sijui itakuaje. Ila pole pole ndio mwendo πŸ’
 
Hakuna anaeweza kumpokea lisu ktk siasa tanzania.
Wanajua ana uendawazimu kuna siku atawageuka na wao.
Lisu akitaka abaki kwenye siasa either abaki cdm au aanzishe chama chake.
umefungua sana akili hapo πŸ’
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…