Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

Je kwa tukio la Msigwa, Lissu ataanza kumuheshimu Mbowe kwa kuipanga Kanda ya Nyasa na kuona mbele?

Hakuna kitu kama hicho,yeye Msigwa Kila siku alikuwa analalamikia matendo ya rushes za uchaguzi ndani ya ccm,iweje leo aikimbie rushes ndani ya Chadema na kuifata iliyopo ccm?Huyu hajaondoka Chadema kwaajili ya rushwa,bali ameondoka kwaajili ya mshiko ule aliokuwa anausema rafiki yake Lisu.

kama CDM tulimuamini Msigwa na malalamiko yake dhidi ya CCM kwanini pia tusiamini na malalamiko yake dhidi ya CDM.

Msigwa ni haoni tofauti ya CCM na CDM, tofauti iliyopo mmoja anadola mwingine mpinzani lakini tabia ni zilezile, kote kuna wamiliki wafanya biashara, ameamua kwenda kwenye maslahi zaidi kama mtafutaji.
 
Uthibitisho kwamba hakumlenga Msigwa ni pale ambapo baada ya Msigwa kushindwa uwenyekiti wa kanda ya Nyasa alianza kumshambulia Mbowe vikali sana. Na baada ya kumshambulia hata hivyo aliruka mpaka singida akaungana na Lissu ambapo Lissu alimpokea na kumkaribisha.
Huu siyo uthibitisho na ukienda mahakamani utashindwa vibaya sana. Lissu ndiye alimshambulia Mbowe? Mbona Lissu na Mbowe nao walifanya mkutano (baada ya ile ya Lissu na Msingwa) tena kwa kuruka kwenye chopa moja?
 
Lissu alienda Iringa akimtetea Msigwa kwa nguvu zote hata kumdhalilisha Mh. Mbowe, je Lissu ataanza kuheshimu beacons za siasa za upinzani, hasa Mbowe zinapotoa msimamo?

Je Lissu bado hajajua huyo anayemuita "Abdul" alikuwa anawasiliana na nani (kama ni kweli, maana Lissu kwa uongo)? Je alienda kumtetea mtu wa Abdul akamuacha mtiifu wa chama chake?.

The Abdul Myth is bigger than Lissu, its possible hata Lissu haelewi mishipa ya Abdul ilivyojaa katika mwili wa CDM, who is Abdul, and how deep he is within CDM?

Msigwa aliposhindwa uchaguzi wa kanda alienda kuripoti moja kwa moja kwa Lissu na kupiga naye mikutano, is Lissu next? Je msigwa amehama CDM baada ya kuongea na Lissu katika mikutano ya hadhara wakiwa wamemtenga Mbowe?
Hakuna anaeweza kumpokea lisu ktk siasa tanzania.
Wanajua ana uendawazimu kuna siku atawageuka na wao.
Lisu akitaka abaki kwenye siasa either abaki cdm au aanzishe chama chake.
 
msigwa ni mtengeneza njia tu ya Lisu kupita na kuingia CCM, na akija aje kwa heshma ana awe mwanachama mwenye adabu 🐒
Nawaonea huruma.Vijana wanaowekeza nguvu zao Chadema wakiamini ni chama cha upinzani kinaweza kuiondoa CCM madarakani
 
Nawaonea huruma.Vijana wanaowekeza nguvu zao Chadema wakiamini ni chama cha upinzani kinaweza kuiondoa CCM madarakani
mbona unawakatisha tamaa kwa ukweli bayana namna hiyo gentleman?🤣
 
Bora Tuwaambie mapema Vijana wetu wajipange kivingine
for sure ni Muhimu sana,

ila pia ni wabishi , halafu wameathirika vibaya mno na uraibu wa mihemko, ghadhabu na matusi , sijui itakuaje. Ila pole pole ndio mwendo 🐒
 
Hakuna anaeweza kumpokea lisu ktk siasa tanzania.
Wanajua ana uendawazimu kuna siku atawageuka na wao.
Lisu akitaka abaki kwenye siasa either abaki cdm au aanzishe chama chake.
umefungua sana akili hapo 🐒
 
Back
Top Bottom