Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Hakuna kitu kama hicho,yeye Msigwa Kila siku alikuwa analalamikia matendo ya rushes za uchaguzi ndani ya ccm,iweje leo aikimbie rushes ndani ya Chadema na kuifata iliyopo ccm?Huyu hajaondoka Chadema kwaajili ya rushwa,bali ameondoka kwaajili ya mshiko ule aliokuwa anausema rafiki yake Lisu.
kama CDM tulimuamini Msigwa na malalamiko yake dhidi ya CCM kwanini pia tusiamini na malalamiko yake dhidi ya CDM.
Msigwa ni haoni tofauti ya CCM na CDM, tofauti iliyopo mmoja anadola mwingine mpinzani lakini tabia ni zilezile, kote kuna wamiliki wafanya biashara, ameamua kwenda kwenye maslahi zaidi kama mtafutaji.