Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
49,390
Reaction score
152,301
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania.

IMPOSSIBLE IS NOTHING
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyeketi @freemanmbowetz Karibu sana Arusha,ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja ktk ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania.IMPOSSIBLE IS NOTHING
Dalili ya mvua ni mawingu
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania.

IMPOSSIBLE IS NOTHING
Asante Mhe Lema. Yule jamaa aliyelaanika Mungu alimpiga pigo moja la mauti.
 
Mwambieni huku hakuacha pengo lolote kitaifa, labda Kwa ndgu zake na jamii ndogo iliyomzunguka??
 
Back
Top Bottom