Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Mwambieni huku hakuacha pengo lolote kitaifa, labda Kwa ndgu zake na jamii ndogo iliyomzunguka??
Iwapo ataamua kutokurudi na jua mtashusha pumzi ya ahueni,hivi sasa kusikia habari hizo mmeanza kuweweseka .
 
Lema ni muoga sana!
Kauli yako ingekuwa na mashiko kama ungeweka jina lako kamili badala ya CRIMEA, na picha yako halisi hapo kwenye AVATAR.

Hapo sasa angalau ingeeleweka. Sasa mkuu unafichama kwenye kibodi, halafu mwenzio Lema amejitosa maisha yake na familia yake, wewe, WEWE unanuia mwoga? Alipoona tishio la usalama wake na familia yake linazidi, akaomba hifadhi, akapokelewa. Mwenzio cv yake kubwa, ndani na nje anajulikana. Wewe imejitolea nini, zaidi ya kulamba kwato za mwendazake?
 
Hapa jf ni uhuru wa mtu kutumia jina atakalo!

Ukishaamua kuwa mwanasiasa kama Lema na kujiita mwanaharakati huku ukitoa vitisho kwamba huogopi chochote alafu baada ya kushindwa uchaguzi ndio unakimbia, huo ni uoga.
 
Mwanaume gani anakimbia pambano?

Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.

Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Magu mwanaume? Mwanaume gani huyo anawaogopa wapinzani kama nini sijui. Kawafungia kufanya siasa miaka 5, yeye kila siku anahutubia taifa kwenye ziara, redio, tv na magazeti vyote ni kusifu na kuabudu. halafu uchaguzi unakuja bado hajiamini, anapora uchaguzi. Mpinzani wake Tundu Lissu hadi anazuiwa ndege isitue maeneo mbalimbali kisa wivu wa nyomi. Huyo ndio mwanaume?

Magu mwanaume? Kila kona anagawa manoti ambayo wala sio yake, kayapata wapi Kibaka mkubwa huyo?
 
Mwanaume gani anakimbia pambano?

Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.

Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Una hakika ni Mungu kamuita au shetani kampiga mtama!😭😭😭
 
Hapa jf ni uhuru wa mtu kutumia jina atakalo!

Ukishaamua kuwa mwanasiasa kama Lema na kujiita mwanaharakati huku ukitoa vitisho kwamba huogopi chochote alafu baada ya kushindwa uchaguzi ndio unakimbia, huo ni uoga.
Mwanasiasa sawa, vyama vingi vinatambulika kikatiba na kisheria. Lakini huyo unamuita mwanaume ndio anawatesa kila siku. Lema kakaa miezi 4 gerezani kisa michezo ya kuigiza mahakamani. Wapo waliopoteza maisha. Wewe unajibanza halafu unadai huo ni uhuru wa jf. Kama unaamua kuutumia, huna haki yoyote kumwita Shujaa Lema mwoga. Anakuja halafu kivumbi chake utakiona. Wewe utabaki kwenye kibodi.
 
Hapa jf ni uhuru wa mtu kutumia jina atakalo!

Ukishaamua kuwa mwanasiasa kama Lema na kujiita mwanaharakati huku ukitoa vitisho kwamba huogopi chochote alafu baada ya kushindwa uchaguzi ndio unakimbia, huo ni uoga.

We muuza chiu acha umbea
 
Bob wine wa Uganda pamoja na kupigwa mabomu live hakuwahi kukimbia!

Lema ni mwoga kama kunguru
Kama mwoga angewatoeni jasho na kuwakosesha usingizi kiwango cha kupanga kila ovu,ili kukimbia kivuli chake.
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania.

IMPOSSIBLE IS NOTHING
Amechoka kupakatwa?
 
Tz imebarikiwa Sana Basi tu mwendazake alitaka kulibadilisha taifa kwa kujua au kutojua kwa nia mbaya na mungu akamkataa live,
 
Back
Top Bottom