Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Mwanaume gani anakimbia pambano?

Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.

Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Magu alikuwa anapambana na nani? Ama ukisikia neno kupambana unalibeba na kulazimisha lifit kwenye upotoshaji wako.?
 
Magu alikuwa anapambana na nani? Ama ukisikia neno kupambana unalibeba na kulazimisha lifit kwenye upotoshaji wako.?
Kwani Lema alikuwa anapambana na nani?
 
Mwanasiasa sawa, vyama vingi vinatambulika kikatiba na kisheria. Lakini huyo unamuita mwanaume ndio anawatesa kila siku. Lema kakaa miezi 4 gerezani kisa michezo ya kuigiza mahakamani. Wapo waliopoteza maisha. Wewe unajibanza halafu unadai huo ni uhuru wa jf. Kama unaamua kuutumia, huna haki yoyote kumwita Shujaa Lema mwoga. Anakuja halafu kivumbi chake utakiona. Wewe utabaki kwenye kibodi.
Lema ni mwoga tu!

Nilikuwa nacheka sana wakati wa kampeni eti anaposti haogopi chochote baada ya matokeo akala kona
 
Magu mwanaume? Mwanaume gani huyo anawaogopa wapinzani kama nini sijui. Kawafungia kufanya siasa miaka 5, yeye kila siku anahutubia taifa kwenye ziara, redio, tv na magazeti vyote ni kusifu na kuabudu. halafu uchaguzi unakuja bado hajiamini, anapora uchaguzi. Mpinzani wake Tundu Lissu hadi anazuiwa ndege isitue maeneo mbalimbali kisa wivu wa nyomi. Huyo ndio mwanaume?

Magu mwanaume? Kila kona anagawa manoti ambayo wala sio yake, kayapata wapi Kibaka mkubwa huyo?
Sasa kama Lema alikuwa siyo mwoga mbona hakujitokeza kupambana nae badala yake akaufyata?

Tena baada ya uchaguzi ndio akakimbia kabisa!

Lema ni mwoga
 
Dhalimu amekimbia vipi wakati yeye ndio alikuwa anatumia vyombo vya dola kuendesha udhalimu?
Vyombo vya dola ni kitu gani?

Mbona Museven amempiga bob wine hadi na mabomu ila hajakimbia
 
Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania.

IMPOSSIBLE IS NOTHING
Lema ni mlevi wa kupindukia anayejificha kwenye ulokole
 
Mwanaume gani anakimbia pambano?

Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.

Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Alienda kwa waome zao wakamlinde. Yule ndo bi mdogo wa amaterdam . Bi mkubw n yule shoga........😂😂😂 maliziaaa
 
Sasa kanda ya kaskazini yanini? Ndio haya mambo yanawaharibiaga.
 
Wachaga bhana angalia sasa hawezi kusema kitu bila kuleta ukanda hv kura za Arusha,Kilimanjaro,Manyara zinaweza kuamua Rais nani ktk uchaguzi???
Umenena mkuu. Chama cha chagaz na maendeleo ya kasikazin(CHADEMA) 😂😂
 
Back
Top Bottom