Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Je, kwa ujumbe huu kwa Mbowe, Godbless Lema anapanga kurudi nyumbani hivi karibuni?

Kaandika hivi kupitia twitter:

Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania.

IMPOSSIBLE IS NOTHING
Arejee nyumbani sasa maana hata ibilisi naye amesharejea kwao jehanamu, alipitia mlango wa chato
 
Mwoga ni yule aliyekuwa anazungukwa na mitutu na helkopta juu. Mbona mama Samia ni mwanamke lakini hatuoni ulinzi ule?
Sasa kwa akili yako unafikiri hana ulinzi?

Lisu ni mwoga alikimbia kitisho cha kwenye simu
 
Sasa kwa akili yako unafikiri hana ulinzi?

Lisu ni mwoga alikimbia kitisho cha kwenye simu
Anao ulinzi ila sio ule wa kishamba na kiburi cha madaraka.

Kitisho cha kwenye simu wakati ana ulemavu wa kupigwa risasi kwa maagizo ya dhalimu.
 
Mwanaume gani anakimbia pambano?

Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.

Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Eventually kafa kizembe na covid
 
Sasa kama Lema alikuwa siyo mwoga mbona hakujitokeza kupambana nae badala yake akaufyata?

Tena baada ya uchaguzi ndio akakimbia kabisa!

Lema ni mwoga
Kuepuka kifo toka kwa majambazi kama Magu ni busara, siyo woga. Kina Mawazo, Azory Gwanda, Ben Saanane ni wahanga wa ujambazi na uuaji huu.

Hata Nyerere mwaka 1964 jeshi lilipoasi, alitafuta hifadhi mpaka hali ilipotulia. Magu hajui siasa. Aliua watu kweli kweli. Hata Mbowe, kwa mara ya kwanza, ilibidi akimbie nchi. Unapoona doves na Moderates kama Mbowe wanakimbia, ujue kuna shida kubwa sana.

Kuwa mpinzani hapa Tanzania haijawahi kuwa jambo rahisi. Ni majasiri tu wanadiriki kuhatarisha maisha yao na ya familia zao kwa kuingia siasa za upinzani.

Watu wamehujumiwa biashara zao, miradi yao. Magu alikwenda mbali zaidi ya awamu zote zilizomtangulia
 
Maneno meengi point hakuna..

Lema ni mwoga basi
 
Back
Top Bottom