Tzmzalendo og
JF-Expert Member
- Dec 30, 2018
- 337
- 136
S ndo wamiriki hao mkuu unashangaa nnSasa kanda ya kaskazini yanini? Ndio haya mambo yanawaharibiaga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
S ndo wamiriki hao mkuu unashangaa nnSasa kanda ya kaskazini yanini? Ndio haya mambo yanawaharibiaga.
Pia na nabii tito🤣🤣Mungu mbariki Nabii Lema
Vyombo vya dola ni kitu gani?
Mbona Museven amempiga bob wine hadi na mabomu ila hajakimbia
Mkuu rekebisha kidogo hapo, sema "Lile dikteta uchwara liko motoni jehanamu"jembe lile uchwala lipo chato
Arejee nyumbani sasa maana hata ibilisi naye amesharejea kwao jehanamu, alipitia mlango wa chatoKaandika hivi kupitia twitter:
Mwenyeketi Freeman Mbowe Karibu sana Arusha, ningetamani kuwepo,lakini nina matumaini tutaungana pamoja katika ujenzi wa Nchi na Chama siku za hivi karibuni.Kanda ya Kaskazini tutaendelea kuwa mstari wa mbele kujenga na kuimarisha demokrasia Tanzania.
IMPOSSIBLE IS NOTHING
Basi Lisu ni mwogaVyombo vya dola ni taasisi zote za mabavu. Kwani Lisu anafanya siasa kwa kufuata mbinu za Bob Wine?
Basi Lisu ni mwoga
Sasa kwa akili yako unafikiri hana ulinzi?Mwoga ni yule aliyekuwa anazungukwa na mitutu na helkopta juu. Mbona mama Samia ni mwanamke lakini hatuoni ulinzi ule?
Anao ulinzi ila sio ule wa kishamba na kiburi cha madaraka.Sasa kwa akili yako unafikiri hana ulinzi?
Lisu ni mwoga alikimbia kitisho cha kwenye simu
Eventually kafa kizembe na covidMwanaume gani anakimbia pambano?
Magu ni mwanaume kapambana hadi tone la mwisho Mungu alipoamua kumuuita.
Sasa Lema anakimbilia kwa wanaume wenzie kweli?
Kuepuka kifo toka kwa majambazi kama Magu ni busara, siyo woga. Kina Mawazo, Azory Gwanda, Ben Saanane ni wahanga wa ujambazi na uuaji huu.Sasa kama Lema alikuwa siyo mwoga mbona hakujitokeza kupambana nae badala yake akaufyata?
Tena baada ya uchaguzi ndio akakimbia kabisa!
Lema ni mwoga
Maneno meengi point hakuna..Kuepuka kifo toka kwa majambazi kama Magu ni busara, siyo woga. Kina Mawazo, Azory Gwanda, Ben Saanane ni wahanga wa ujambazi na uuaji huu.
Hata Nyerere mwaka 1964 jeshi lilipoasi, alitafuta hifadhi mpaka hali ilipotulia. Magu hajui siasa. Aliua watu kweli kweli. Hata Mbowe, kwa mara ya kwanza, ilibidi akimbie nchi. Unapoona doves na Moderates kama Mbowe wanakimbia, ujue kuna shida kubwa sana.
Kuwa mpinzani hapa Tanzania haijawahi kuwa jambo rahisi. Ni majasiri tu wanadiriki kuhatarisha maisha yao na ya familia zao kwa kuingia siasa za upinzani.
Watu wamehujumiwa biashara zao, miradi yao. Magu alikwenda mbali zaidi ya awamu zote zilizomtangulia
Weye umepigwa mara ngapi?Ushabiki mwingine mnajivika utadhani hauna kichwa.Vyombo vya dola ni kitu gani?
Mbona Museven amempiga bob wine hadi na mabomu ila hajakimbia